TANZIA Mwalimu Alex Kashasha, mchambuzi nguli wa Soka afariki dunia

Aug 19, 2021

Mchambuzi nguli wa soka nchini mwalimu Alex Kashasha amefariki dunia leo Agosti 19,2021 kwenye hospitali ya Kairuki jijini Dar es salaam.

Bado haijatambulika ni ugonjwa gani ulikuwa unamsumbua mwalimu Kashasha ambaye alijizoea umaarufu mkubwa miongoni mwa wapenda soka kutokana na aina yake ya uchambuzi.

Kaa Karibu na Phoenix Browser Kuweza kupata taarifa zaidi juu ya kifo cha mchambuzi huyu ghuli nchini

Bwana ametoa Bwana Ametwaa Jina lake Lihimidiwe h

i
images-343.jpg


images-344.jpg


Screenshot_20210819-174453.jpg
 
Back
Top Bottom