TANZIA Mzee wa Mjegejege afariki dunia

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1710921290492.png
Msanii wa Vichekesho Nchini Tanzania 🇹🇿 Umar Lahbedi Issa, Maarufu Kwa Jina la Mzee wa Mjegeje, Amefariki Dunia Leo Alfajili Katika Hospitali ya Mwananyamala Alipokuwa Akipatiwa Matibabu. Taarifa za awali zimesema mchekeshaji huyo alikuwa akisumbuliwa na Ini pamoja na Figo.

Meneja wa Msanii Huyo, Real Jimmy Amethibitisha Taarifa Hizo.


Video iliyompa umaarufu​
 
Back
Top Bottom