Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
yale yale ya kukodi ndege kwenda Iringa then gari lake linaenda na dereva kwa ajili ya kumzungusha mjini IringaKwahiyo gari yake imeenda tupu au kapakia abria.
yale yale ya kukodi ndege kwenda Iringa then gari lake linaenda na dereva kwa ajili ya kumzungusha mjini IringaKwahiyo gari yake imeenda tupu au kapakia abria.
kwa hiyo shangingi linabaki dar au?
itakuwa imeenda tupu, halafu watanzania walivyo wepesi kuchotwa akili wamemuona boooonge la waziri
kweli tunastahili umaskini tulio nao. kama tunamponda mwakyembe kwa kupanda treni hii ni hatari
Hakuna tofauti na ziara za Jakaya Kwenye ofisi za wizara. Matatizo ya hizo treni yako kwenye ofisi huku makao makuu, muache atafute cheap popularity, atapoteza vyote viwili, mtoto na mbeleko.
kweli tunastahili umaskini tulio nao. kama tunamponda mwakyembe kwa kupanda treni hii ni hatari
Mimi nakataa unafiki na sifa za kijinga. Huyu jamaa aache maigizo. Siku zote anakwenda kwao Mbeya,huwa anatumia treni za TAZARA?
hahahahhaa,,,,nadhan si kwa mawaziri tu,hata
Nadhani nchi hii imekumbwa na tatizo lingine kubwa la watu wake kutojua na kuweka umhimu wa mda.
Najua watu watasema ni njia ya kujiridhisha kwa kuangalia miradi iliyo chini ya wizara, lakini je matatizo ya TRL yamemalizika ya kimikataba ambayo was a serious issue?
Navyojua mimi safari ya treni hadi Dodoma ni zaidi ha masaa 14, mda huu unatosha kwa waziri kuwa amefanya kazi nyingi sana na kuwa amefanya maamuzi mengi sana ofisini tena yenye tija zaidi kuliko hili la kusafiri na teni.
Kama Waziri anaweza kufanya kazi ya kuhesabu madaraja kwenye njia ya treni je watendaji wako wapi? Au ndo kutowaamini na kufikiri wanawapinga/wahujumu mawaziri ili washindwe kufanya kazi zao za kiwaziri na waondolewe ili waje maswahiba zao?
Mtizamo wangu mimi katika hili simuungi mkono waziri Mwakyembe na kutumia usafiri wa treni hadi Dom kwa sababu moja nimesema kuhusu matumizi mabaya ya mda, pili risk kama ambavyo baadhi wamesema kuharibika kwa treni porini hivyo kuhitaji rescue, tatu hujuma ambazo zinaweza kufanyika juu yake ukizingatia yaliyomtokea huko nyuma.
Mhe Mwakyembe has emerged to be a popularist minister who uses whatever it is as a political platform, I guess he has a hidden agenda, watu kama hawa hawafai kabisa katika uongozi ambao wananchi maskini wanawategemea, mwisho wa siku akipata uongozi mkubwa nchi anaweza kuwa kama JK kama alivyoanza na anakoishia uongozi wake ambsko ni kubaya by losing popularity.
Ni kweli huyu jamaa alikuwa chini ya Magufuri, na hakuweza kupanda treni hiyo haimanishi kuwa yeye ni mwoga bali hakutaka kuingilia kazi wizara nyingine. Kumbuka kuwa wao walikua ujenzi.
Umenishangaza. Cheap popularity? Ninamfahamu Mwaakyembe, personally, lakini sio sana. Ilitosha kukutana naye MARA MOJA TU ili kumwelewa. Ni msikivu, anasikiliza ushauri wa watu, hata kama hakufahamu. Jaribu kumtafuta, uone atakujibu nini. Unadhani kulishwa sumu ni mchezo?
Cheap popularity indeed! Yaani kiongozi anawajibika ipasavyo kusimamia RASILMALI ZETU, we unamwona anatafuta umaarufu? Hao wanaokwiba hizo RASILMALI kwako sio shida?
Duh! Kaka AIBU!
According to Clouds FM,
Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya hiyo suprise.
Msimamo wangu uko pale pale, huyu Jamaa ni Mmoja kati ya wanasiasa waongo katika Taifa hili, ni mmoja kati ya wanasiasa wanaotafuta sifa zisizo na msingi wowote ule, na katika hili anatafuta cheap popularity.
Mpaka sasa kitu pekee nachojua anaweza kukifanya kwa ufanisi mkubwa ni kutengeneza uongo na kuchafua watu wengine, Mpaka siku atakapoliambia Taifa ni mambo gani kamati yake ya Richmond iliyaficha kwenye report yake ndio naweza nikaanza kumsikiliza.
Mtu yeyote makini ni lazima ajiulize, kwa nini CCM inashindwa kumfukuza Lowasa with all the damage kamati ya mwakyembe ilimfanyia ni lazima aquestion credibility ya huyu jamaa.
Hapa ni uraisi unatafutwa hakuna kingine, wanao mfahamu mwakyembe hawashangai ila waio mjua watashangaa sana, HUYU JAMAA NI ZAIDI YA SITA KATIA KUTAFUTA SIFA,
Tatizo si kupanda tren kwa sababu hata Yule Raisi wa Korea kaskazini mpaka mautu yanamkuta alikuwa kwenye tren ya nch yake,
E KUPAJNDA KUTAFUFUA TREN? JE KUTAFUFUA RELI YA TANGA ARUSHA?