Landala
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 997
- 473
kwa hiyo shangingi linabaki dar au?
shangingi lake nimeliona maeneo ya Morogoro ndani akiwemo nyumba ndogo ya mheshimiwa aliyelishwa sumu.
kwa hiyo shangingi linabaki dar au?
According to Clouds FM,
Dr Harrison Mwakyembe amefanya supprise visit na kusafiri kwa treni kutoka Dar kuelekea Dodoma kuhudhuria kikao cha bunge. Mud si mrefu tutafahamu alichokusudia kufanya hiyo suprise.
Mwakyembe Oyeeeeee............! Lau kama mawaziri wote wangekuwa wanafuatilia mambo kama huyu jamaa, nchi hii ingekuwa imeendelea sana.
Mh,!!!!????:confused2::confused2: hili sasa swali la mwaka.
Jamaa ana hasira na watu fulani, Kama ana uwezo aboreshe usafiri wa tren awaharibie biashara wafanyabiashara wa mabasi ya usafirishaji
Hivi Mwakyembe kapona ule ugonjwa uliompeleka India? au anaishi kwa matumaini tu?.Jitihada zote hizi!!!!...
kwa kupanda treni,,,mbona magufuli anayatumia mabarabara yake,,,,mbona jk alikataa kunywa maji ya kutoka nje ya nchi wakat hapa kuna akina kilimanjaro,pinda alikataa shangingi,,,je akipanda ndege mbona hamshangai wakat ni sekta yake?????hapo hajamsaidia mtu,,,kwanza anaenda bure tu