Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

Katika kufanya surprise kwa wafanyakazi wa reli na wananchi kwa ujumla waziri wa Uchukuzi Dr. Harison Mwakyembe kaamua kupanda treni ya njia ya kati kuelekea mjengoni Dodoma leo hii.

Anasubiriwa atoe dodoso la safari na malengo ya safari yake

Safi sana! Tunataka watu kama hawa ili nchi ifike pale panapostahili, na siyo kukaa tu ofisini ukisubiri kuletewa hali halisi ya mambo yalivyo kwa wananchi! Na mimi naona walimchelewesha kumpa nafasi kama hiyo toka awali!
 
Hakuna tofauti na ziara za Jakaya Kwenye ofisi za wizara. Matatizo ya hizo treni yako kwenye ofisi huku makao makuu, muache atafute cheap popularity, atapoteza vyote viwili, mtoto na mbeleko.

ur ryt mdau,,,,matatizo ya tren hata me ambae sifany kaz wizaran nayajua
 
urais unatafutwa kwa nguvu zote!

Kweli wanadamu hata ufanyeje huwezi kuwaridhisha. Hii haina tofauti na kumnunulia nguo mtu uliyeona anauhitaji kisha anakwambia "kwani mimi nimekwambia nahitaji hiyo nguo yako?" Jamani hebu mwacheni waziri afanyekazi yake. Mnataka afanye nini ili mridhike enyi wanadamu?
 
Hii sumu aliyolishwa Mwakyembe inaelekea ni nzuri sana...inabidi na mawaziri wote wapewe dozi ili uzalendo urudi...!

Mkuu unadhani aliempa atakubali kuitoa kwa wengine ukichukulia lengo lake halikufanikiwa?
 
Kweli wanadamu hata ufanyeje huwezi kuwaridhisha. Hii haina tofauti na kumnunulia nguo mtu uliyeona anauhitaji kisha anakwambia "kwani mimi nimekwambia nahitaji hiyo nguo yako?" Jamani hebu mwacheni waziri afanyekazi yake. Mnataka afanye nini ili mridhike enyi wanadamu?

yupo kwenyemchakato wakufanya upembuzi yakinifu kwaajiri yakuanza ujenzi mara moja. :majani7:
 
Back
Top Bottom