labda ninafsi ningependa kufahamishwa kuwa ni Waziri yupi mwingine aliyewahi kupanda Treni???? kwa safari za kikazi.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
labda ninafsi ningependa kufahamishwa kuwa ni Waziri yupi mwingine aliyewahi kupanda Treni???? kwa safari za kikazi.
MIZAMBWA
NABII MTARAJIWA!!!
kwa hiyo shangingi linabaki dar au?
hahahaa ! tunywe watz wote! for EAChahahahhaa,,,,nadhan si kwa mawaziri tu,hata anaewateua
hebu nieleweshe vizuri, kwa kupanda treni ameokoa nini?!, hivi dereva na msaidizi wake nao walipanda treni?, hakuchukua mgao wa mafuta ya shangingi kwenda ddm?
mwingine ni prof kapuya
kwa hiyo mwakiembe siyo wa kwanza ila kipindi hicho media zilikuwa sio kama sasa
mwakiembe sasa hivi anacheza na media tu kwani siyo haki yake kupanda tren?
Je shangingi lake lilibaki dar?
Je mwkyembe alipanda tren la mizigo?
Kila mtu ana haki sawa katika nchi hii kutokana na katiba yetu.
Je tren ya abiria kila mtu akipanda aende cloud fm kusema kuwa amepanda tren?
Achane kuona wana siasa ni mungu watu
mwingine ni prof kapuya
kwa hiyo mwakiembe siyo wa kwanza ila kipindi hicho media zilikuwa sio kama sasa
mwakiembe sasa hivi anacheza na media tu kwani siyo haki yake kupanda tren?
Je shangingi lake lilibaki dar?
Hujui unachohitaji na unachotaka... stori ndefu isiyo na maana yoyote!Nadhani ni wewe mwenye kukurupuka na hauko analytical enough kwa kutetea mambo ya ajabu, unapofikiria kitu hebu jaribu kuangalia na upande mwingine wa shilingi.
Kuna mtu katoa observation moja ndogo but very logical, kuwa je waziri wa nishati akalale ktk nyumba isiyo na umeme ndo ajue matatizo ya mgawo wa umeme? Na waziri wa afya je afanyeje kujua matatizo ya wagonjwa?
Kama unakuja na hoja ya kutembea usiku na hoja ya ndege wawili jiwe moja, that is a childish argument, je miradi inakaguliwa usiku kama madai ya kusafiri usiku? Unaweza ona nini usiku katika njia ya treni na ukizingatia sehemu kubwa ni pori?
Ili ndg yangu uwe effective ktk utawala try to specialize by doing one thing at a time, vinginevyo utakujapata stress ya kuwa na pending issues mana utakuwa na issues nyingi but all unfinished.
Do you know the pressure ya Budget kwa mawaziri kipindi hiki hadi apate mda wa kukagua mradi. Cheza na bunge hili wewe, nadhani wewe bado dogo ki umri kuweza jua mambo. But I believe one day u gonna know what exactly I mean.
Kama Mwakyembe angetaka kujua matatizo ya watanzania, kwa nini kipindi anaumwa alienda India Apolo hosp na si Mwananyamala? Ili aje atueleze matatizo ya tiba ya watanzania?