Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

Mwakyembe apanda treni kwenda Bungeni Dodoma

hahahahhaa,,,,nadhan si kwa mawaziri tu,hata

Nadhani nchi hii imekumbwa na tatizo lingine kubwa la watu wake kutojua na kuweka umhimu wa mda.

Najua watu watasema ni njia ya kujiridhisha kwa kuangalia miradi iliyo chini ya wizara, lakini je matatizo ya TRL yamemalizika ya kimikataba ambayo was a serious issue?

Navyojua mimi safari ya treni hadi Dodoma ni zaidi ha masaa 14, mda huu unatosha kwa waziri kuwa amefanya kazi nyingi sana na kuwa amefanya maamuzi mengi sana ofisini tena yenye tija zaidi kuliko hili la kusafiri na teni.

Kama Waziri anaweza kufanya kazi ya kuhesabu madaraja kwenye njia ya treni je watendaji wako wapi? Au ndo kutowaamini na kufikiri wanawapinga/wahujumu mawaziri ili washindwe kufanya kazi zao za kiwaziri na waondolewe ili waje maswahiba zao?

Mtizamo wangu mimi katika hili simuungi mkono waziri Mwakyembe na kutumia usafiri wa treni hadi Dom kwa sababu moja nimesema kuhusu matumizi mabaya ya mda, pili risk kama ambavyo baadhi wamesema kuharibika kwa treni porini hivyo kuhitaji rescue, tatu hujuma ambazo zinaweza kufanyika juu yake ukizingatia yaliyomtokea huko nyuma.

Mhe Mwakyembe has emerged to be a popularist minister who uses whatever it is as a political platform, I guess he has a hidden agenda, watu kama hawa hawafai kabisa katika uongozi ambao wananchi maskini wanawategemea, mwisho wa siku akipata uongozi mkubwa nchi anaweza kuwa kama JK kama alivyoanza na anakoishia uongozi wake ambsko ni kubaya by losing popularity.

Umekurupuka hujaelewa kinachozungumzwa. Mheshimiwa Mwakiembe hajapoteza muda wowote. Alikuwa anaelekea Bungeni Dodoma, akaona achukue usafiri wa treni ili pia apate nafasi ya kujionea mwenyewe malalamiko yaliyopo siku nyingi juu ya ubovu wa usafiri wa treni. Hata kama asingepanda hiyo treni, angetumia usafiri mwingine kumfikisha Dodoma kwa ajili ya shughuli za bunge zinazoendelea sasa. Alichofanya ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwani bungeni atafika na pia atayaona na kujua matatizo ya treni yetu yeye mwenyewe bila kusimuliwa. BIG UP MWAKIEMBE.
 
Hilo treni lingekuwa linafika Mwanza ningefurahi, lakini linaishia Dodoma wala! hakuna cha ajabu. Na inawezekana ndio mara ya kwanza kekwea gogo.
 
Eti anapoteza mada kupanda treni!
Kama DSM ameondoka jioni which means asbi ndo atakuwa amefika Dodoma sasa huo mda umepoteaje unless kama unatak kuniambia na usiku afanye kazi.Tena kwa ilo inabidi kumpongeza as anafanya kazi usiku ie an overtime for him.
Ebu tujaribu kuwa critical sio kuleta hoja zisizo na msingi apa Wanga ndo wako bize usiku sio wafanyakazi wa Calibre yake kama waziri.
 
Humu jf watu wengi walipenda kusikia Zitto au Mnyika, au Mdee ndo wamepanda treni kwenda dom, ungeshangaa misifa watakayopewa! Ila kwakua si wa cdm basi wanasema vingine!
 
Mbona kama kwetu ndio kitu cha ajabu??? Hembu angalia waziri mkuu wa England kwao ni vitu vya kawaida!
cameron-_2103720b.jpg

Prime Minister David Cameron and Deputy Prime Minister Nick Clegg ride a train to a cabinet meeting at the 2012 Olympic Games site in London
 
Akishakuambia hicho unachodai alificha katika ripoti ya Richmond utafanya nini wewe kajamba nani? Mnapiga kelele tu wakati hamna uwezo wa kubadilisha chochote hata kama mngeambiwa the so called ukweli!! Suppose wewe ndio ungekuwa kwenye hiyo kamati ungesema?? au kazi kupiga kelele zisizo na maana. Mlipoambiwa ya Mzee wa vijisenti mlichukua hatua gani?? mbona mmeishia kuimba nyimbo zisizo na kiitikio?? Fikiri kabla ya kuongea siyo unaropoka ovyo tu kama mtu anayeharisha chooni.

Mariavictma. Ambacho mimi ningekifanya kama ni kweli ni mambo ambayo hayasemeki ningejitoa kwenye hiyo kamati na sio kufanya misrepresentation Bungeni alafu niendelee kujiaminisha kwa watanzania kwamba mimi ni muwajibikaji.
 
Umekurupuka hujaelewa kinachozungumzwa. Mheshimiwa Mwakiembe hajapoteza muda wowote. Alikuwa anaelekea Bungeni Dodoma, akaona achukue usafiri wa treni ili pia apate nafasi ya kujionea mwenyewe malalamiko yaliyopo siku nyingi juu ya ubovu wa usafiri wa treni. Hata kama asingepanda hiyo treni, angetumia usafiri mwingine kumfikisha Dodoma kwa ajili ya shughuli za bunge zinazoendelea sasa. Alichofanya ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja kwani bungeni atafika na pia atayaona na kujua matatizo ya treni yetu yeye mwenyewe bila kusimuliwa. BIG UP MWAKIEMBE.

Hemu tuwekee list ya matatizo ambayo Mwakyembe alitegemea kujionea mwenyewe au alijionea yeye mwenyewe kwa kusafiri na hiyo treni hako katrip kamoja. tusaidie ndugu yetu.
 
9p4rf.jpg

Russia's Prime Minister Vladimir Putin travels in Russia's first high speed train Sapsan in Leningrad Region
 
Havanyi kwa ajili ya kusevu, anapanda treni ili kujua matatizo yanayoikabili. acheni jembe letu lipige kazi.
 
Daraja la TATU la Mwakyembe ni tofauti na Daraja la TATU la Baba_Enock...!
 
Mwakyembe kupanda Train Kwa Watanzania ni sawa na kipofu kuona Punda! Back to work!
 
Uraisi huu unatafutwa kwa sifa mfu hizi! warudishe miVX na V8 zote watumie Vitz labda ndo tutawaelewa hawa.
 
hahahahhaa,,,,nadhan si kwa mawaziri tu,hata

Nadhani nchi hii imekumbwa na tatizo lingine kubwa la watu wake kutojua na kuweka umhimu wa mda.

Najua watu watasema ni njia ya kujiridhisha kwa kuangalia miradi iliyo chini ya wizara, lakini je matatizo ya TRL yamemalizika ya kimikataba ambayo was a serious issue?

Navyojua mimi safari ya treni hadi Dodoma ni zaidi ha masaa 14, mda huu unatosha kwa waziri kuwa amefanya kazi nyingi sana na kuwa amefanya maamuzi mengi sana ofisini tena yenye tija zaidi kuliko hili la kusafiri na teni.

Kama Waziri anaweza kufanya kazi ya kuhesabu madaraja kwenye njia ya treni je watendaji wako wapi? Au ndo kutowaamini na kufikiri wanawapinga/wahujumu mawaziri ili washindwe kufanya kazi zao za kiwaziri na waondolewe ili waje maswahiba zao?

Mtizamo wangu mimi katika hili simuungi mkono waziri Mwakyembe na kutumia usafiri wa treni hadi Dom kwa sababu moja nimesema kuhusu matumizi mabaya ya mda, pili risk kama ambavyo baadhi wamesema kuharibika kwa treni porini hivyo kuhitaji rescue, tatu hujuma ambazo zinaweza kufanyika juu yake ukizingatia yaliyomtokea huko nyuma.

Mhe Mwakyembe has emerged to be a popularist minister who uses whatever it is as a political platform, I guess he has a hidden agenda, watu kama hawa hawafai kabisa katika uongozi ambao wananchi maskini wanawategemea, mwisho wa siku akipata uongozi mkubwa nchi anaweza kuwa kama JK kama alivyoanza na anakoishia uongozi wake ambsko ni kubaya by losing popularity.

Mkuu una ndugu yako TT nini unamhurumia. Mwakyembe ni mfano wa kuigwa. Hapa watu wanalalamika inflation wakati mkuu wa nchi na wale wa wizara husika hawajawahi kwenda Sokoni. Unafikiri wanajali? Huyu kafanya kwa vitendo na nia yake pia ni kujua muda wa treni na matatizo mengine. Kwako wewe ni kosa? Siku hizi kuna laptops na Ipad inaweza kumfanya aweze fanya kazi mumo humo kwenye treni. Na kwanza wanatakiwa wawe wanalipanda viongozi wote kama watu wengine. Kama linachukua muda mrefu then watafute ufumbuzi ili litumie huo muda uutakao. Mwakyembe is a good leader for sure.
 
Ni mnafiki tu, kupanda treni sio kutatua matatiza ya usafiri wa treni.

  • :drama:
 
Hapo sasa, sio apande first class halafu alete story za ajabu ajabu

Mpwa amepanda first class halafu sasa hiyo surprise ameitoa wapi na booking najua pale mpaka wiki 2 ndio unapata nafasi !
 
Back
Top Bottom