Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

Kwa nini wachungaji wanaona kutokuolewa ni janga na si kutokuoa ni janga pia. Statistics duniani ni dhahiri wanawake ni wengi kuliko wanaume. Wachungaji sijui mapastor wageuze huu muziki iwe tune nyingine. Mimi sioni kama wanawasaidia zaidi ya kuwaogopesha na wasichana kuanza kulazimisha ndoa matokeo yake maumivu mbele ya safari. Acheni Mungu afanye yake isiwe ni namna ya kutengeneza sadaaaaak. Tuhurumiane mweh!

Wewe huelewi impact ya wanawake kutoolewa ni nini kiroho na kama ungekuwa unahitaji kuelewa naamini ungejaribu kumuuliza Mwakasege ili akufunulie anamaanisha nini ..ila uko hapa unaendeleza ubishi wakati haya mambo ya kiroho wala hayahitaji debate
 
Solution yao ni Uislam tu hakuna zaidi.

Hapo ndipo mtaelewa ndoa za wake wengi zilivyo na maana.

Maana wanaume kidogo kuliko wanawake duniani. Halafu robo ya hao wanaume ni mashoga.

Majanga!

Umenihamasisha kuongeza mke wa pili.
 
Waoji wapo ila hamuwaoni kutokana na vigezo mlivyoweka kutaka mwanaume;
1. Aliyetia rasta na kuvaa hereni
2. Kutaka wanamuziki, au star wa bongo movie
3. Kutaka mwanaume aliyetayari kukubali kila utakachoongea au kushauri bila kupingwa
4. Kumtaka mwanaume aliye tayari kuishi na wewe na kukukubali kama ulivyo bila kushauri lolote mfano kama unapendelea club akuache ukajiachie na marafiki, kuvaa ovyo, kula hotelini hata kama mna uwezo wa kupika nk.
5. Kumtaka mwanaume awe tayari kugawana zamu za kupika, kufua nguo na kubeba mtoto wakati wewe ukiangalia TV


Kwa tabia hizi hakuna mwanaume serious na mwenye kutaka bright future atakuwa tayari kukuoa.
Wanaume wanataka waoe MKE NA MAMA WA WATOTO wake ambaye wakikaa wanaweza panga mambo muhimu kuhusu maisha yao ya sasa na baadaye, watoto wao na future yao na si mwanamke ambaye hana foresight bali yeye anaona mume kama source of income kwa mambo yake ya ovyo ovyo.

Si kweli kwamba waoji hawapo huo ni uongo na mtazamo wako ni wa aina ya wanawake nilioeleza hapo juu. Hatuna tu statistics kila wiki dar yenyewe wanaume wanaofunga ndoa ni wengi mno kwa hiyo ukiona hujaolewa usiseme waoaji hawapo labda wewe sema sijapata wa vigezo vyako

Umemaliza kila kitu na aliye na macho amesikia.
 
Yuko bize anajega ghorofa Segerea. Linajaribia kuisha. Ukimpata huyo binti ni zali la mentali.

Kama ana sura ya baba yake hilo zali linipite. Mfano ouma dada ya obama mimi hata bure sichukui.

Mimi kwangu kwa mwanamke cha kwanza mvuto, cha pili mvuto na cha tatu mvuto.
 
Kuna semina ya mwalimu Mwakasege imeisha leo viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam.

Jana alisema wale wanaotafuta wachumba wasimame niwaombee ,My God zaidi ya nusu ya mabinti waliokuwepo viwanjani kwenye semina walisimama na kuombewa.

Kivumbi leo akiitimisha semina akasema jana nimeshangazwa na idadi ya wanaotafuta wachumba naomba msimame niwaombee tena ,hali ikawa zaidi ya jana niite ni umati wa single ladies who are searching ukasimama kwa maombi.

Naandika haya kwa uchungu kwani kuna wengine walikuwa above 35 ukiwaangalia usoni na its seems hawajawahi kuolewa.

Ila hakuacha kuwapa tip kuwa wadada wengi wa mjini wanaenda sana kwa waganga kwa ajili ya mambo ya mahusiano.

Dada zetu wanahitaji maombi sana kuna pepo baya limeandama.

Vp Mathna Wanakubali Ili Wanusuriwe Kirahisi!
 
Kwakweli maombi yanaitajika tatizo wanaume mmezid kuwa mibahili ndomana tunachagua

Kuimba kupokezana bibie. Mkioana si mnachangia kipato? Iweje umbebeshe Mwana wa mwenzio furushi lote?
 
Kuna semina ya mwalimu Mwakasege imeisha leo viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam.

Jana alisema wale wanaotafuta wachumba wasimame niwaombee ,My God zaidi ya nusu ya mabinti waliokuwepo viwanjani kwenye semina walisimama na kuombewa.

Kivumbi leo akiitimisha semina akasema jana nimeshangazwa na idadi ya wanaotafuta wachumba naomba msimame niwaombee tena ,hali ikawa zaidi ya jana niite ni umati wa single ladies who are searching ukasimama kwa maombi.

Naandika haya kwa uchungu kwani kuna wengine walikuwa above 35 ukiwaangalia usoni na its seems hawajawahi kuolewa.

Ila hakuacha kuwapa tip kuwa wadada wengi wa mjini wanaenda sana kwa waganga kwa ajili ya mambo ya mahusiano.

Dada zetu wanahitaji maombi sana kuna pepo baya limeandama.

Mtoa mada acha kumlisha maneno mtumishi wa Mungu
Au serious kweli alisema hivyo? Natamani ht nilete audio hapa bt siwezi ku upload.

Mwakasege alikuwa anafundisha kuhusu uhusiano wa viti vya Enzi na viapo!!!

Eneo la kiapo, limefunga wengi bila kujua na wengi wanaomba hawajui watavukaje hapo kwny hicho kifungo..
Ndo akatoa mfano, wa
Mdada ambae alienda kwa mganga akiwa Binti na kumfunga mume wa mtu ili awe nae, akasema wadada wengi wa mjini wanaelewa nachosema, kuhusu huo mfano. na huyu dada baadae aliokoka, lkn yule mwanaume aliendelea kumfuata.... Ss dada akaona shida na hajui jinsi ya kutoka ndo alienda kwa mwakasege akafundisha jinsi ya kutengua na kubatilisha kiapo hicho kwa damu ya Yesu.

Kwahiyo akasema Kuna wengine both men & women wamefungwa na viapo kutoka kwa waganga, boyfriend /girlfriend, uchumba ambao umevunjika, ndoa labda mwenza kafariki, au kwa kutamkiwa, au kutamka, kuapa kuapishwa, kuapizwa nk. hivyo Yale maneno yakakufunga ...na huwezi kuvuka hapo Lzm utangue kiapo Kwanza ndipo uingie uhusiano mwingine na uishi vzr, Na Kuna jinsi ya kutengua kwa damu ya Yesu,na alitufundisha.

So alisema wale ambao wanashindwa kuoa /kuolewa na umri umefika na hawaelewi kwann hawavuki hapo wasimame ili avenger na kubatilisha hivyo viapo vilivyopo either kwa kujua au kutojua.... hakuombea watu wala kushangaa wadada hawajaolewa coz alikuwa anatangua viapo for both wadada na wakaka..

Kumbuka kiapo kinakwamisha mpk maisha ya mtu binafsi.
Na, kumbuka Kuna agano
 
Kwakweli maombi yanaitajika tatizo wanaume mmezid kuwa mibahili ndomana tunachagua

Bora mbahiri kwa familia yake atatoa bila kupenda ni MIVIVU! hana hili wala lile, tupa tupa akipata hela kesho hana lazima aimalize
 
Back
Top Bottom