stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 18,068
- 27,927
Shida ni tabia,wanawake wengi wanajisahau sana wanapokuwa kwenye mahusiano,unamkuta na tabia ambayo ni nzuri na anakuvutia kwa tabia yake lakini baada ya kuwa yuko ndani ya ulingo tabia inabadilika,na kikubwa kinachowaponza ni kusikiliza ushauri wa nje either kwa marafiki,ndugu n.k amabao mara nyingi huwa hawana lengo zuri kwenye mahusiano ya wenzao,lakini wanasahau kwamba inapofikia kwenye nani anatakiwa kumuoa mwenzake jibu linabaki kuwa ni mwanaume,mwisho wa yote mwanaume akishaona vinamfika kooni anaamua kuacha,ndio maana utakuta kuna wimbi kubwa la wanawake ambao wameshapitiwa na kuachwa.