Ka uko serious ni pm uwezi jua.
Sana hata mmoja asinhebakia...
Tatizo wanawake wengi yaani + wanaume wanawake.
Waoaji wajitokeze jamani...
Mbona binti yake rubani hajaolewa
Hapa nipo...ila sharti nijaribu engine kama inafanya kazi.
wanaume sio sana na ukiona hajaoa ujue bado mambo yake ya kiuchumi hayajakaa sawa ila yakikaa sawa sio kwamba atakosa mtu inabaki uamuzi tu na muda
Khee! Kwaheri
Waoaji wenyewe hakuna siku hizi.
Solution yao ni Uislam tu hakuna zaidi.
Hapo ndipo mtaelewa ndoa za wake wengi zilivyo na maana.
Maana wanaume kidogo kuliko wanawake duniani. Halafu robo ya hao wanaume ni mashoga.
Majanga!
Tabia za dada zetu siku hizi ni chafu sn ht ukitafuta kwa darubin huoni anaefaa kuitwa mama watoto,
Solution yao ni Uislam tu hakuna zaidi.
Hapo ndipo mtaelewa ndoa za wake wengi zilivyo na maana.
Maana wanaume kidogo kuliko wanawake duniani. Halafu robo ya hao wanaume ni mashoga.
Majanga!