Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,324
Reaction score
56,062
Kuna semina ya mwalimu Mwakasege imeisha leo viwanja vya chuo kikuu cha Dar es salaam.

Jana alisema wale wanaotafuta wachumba wasimame niwaombee ,My God zaidi ya nusu ya mabinti waliokuwepo viwanjani kwenye semina walisimama na kuombewa.

Kivumbi leo akiitimisha semina akasema jana nimeshangazwa na idadi ya wanaotafuta wachumba naomba msimame niwaombee tena ,hali ikawa zaidi ya jana niite ni umati wa single ladies who are searching ukasimama kwa maombi.

Naandika haya kwa uchungu kwani kuna wengine walikuwa above 35 ukiwaangalia usoni na its seems hawajawahi kuolewa.

Ila hakuacha kuwapa tip kuwa wadada wengi wa mjini wanaenda sana kwa waganga kwa ajili ya mambo ya mahusiano.

Dada zetu wanahitaji maombi sana kuna pepo baya limeandama.
 
Hata mimi nmeona mkuu hali ni mbaya mno...kwa mabinti...

Ila kama ni kweli wataamua kubadili njia zao na tabia zao...

Kama vile mwalimu alivyovunja maagano ya kishetani leo..

Bhasi mungu atawafungulia njia..
 
AMEN imeniogopesha sana hali ni mbaya naamini wamefunguliwa
 
mdukuzi

Mbona jibu lipo tatizo la wadada kutoolewa ni kukubali kutoa haki ya ndoa wakati bado hata ndoa yenyewe ukiwauliza wote ni bikila utakuta no ukiuliza wanawapezi utaambiwa yes tena hata zaidi ya wawili Vijana wanapopata haki zote za ndoa uchelewa kufunga ndoa maana wsmeshaoa tayari
 
Last edited by a moderator:

hapo tatizo ni sisi waoaji,hakuna anayetaka kununua mbuzi kwenye gunia
 
Tatizo lingine wanawake pia wanachagua sana. Wengi wanataka vijana wazuri (handsome). Sasa hao wazuri wanatakiwa na wasichana wengi. Matokeo yake wanawachezea tu. Ni kama mfano wa paka akiingia kwenye panya wengi anaua wengine lakini hali. Yaani anawaharibia maisha tu kwa sababu wanajileta wenyewe.
 
Back
Top Bottom