Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,080
- 10,441
Khaa!! Unazidi kunichaganya chief. Ina maana wanaume wao hawahitaji kuoa? Au wao umri wao ume-pause? Au wanaume ni wachache kulinganisha na wanawake? Point yako ni ipi chief? :glasses-nerdy:Mkuu mimi nmesema kuhus kuona baina ya wanaume?
Nlicho manisha ni kwamba wenye uhitaji wa kuolewa ni wengi mno...
Hii hali sio nzuri mkuu..na ukiangalia wengi wao umri ulishawatupa mkono