Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

Mwakasege ashangaa wasichana wa Dar kutoolewa

Sasa mbona nikipita humu nakuta wadada wanaotafuta waume wanaweka mashart kibao mara,uwe na vitz,uwe na misuri mikubwa, uwe na kengeza,uwe na kisogo kirefu etc kumbe kuna shida hivi!!! Nafikiri wengi wa hawa mabinti zetu wa Dar wameathiriwa na tamthilia wanafikiri maisha yale ndo halisi, "wanataka wanaume wa kuonekana nao, si wanaume wa kuishi nao kwa ndoa" Hata hivyo wao ni wengi na wanaume ni wachache. Tuwaombee walio tayari kuolewa waolewe nao wajipange kwa maisha ya ndoa si ya tamthilia!!!
 
Una uhakika gani hana mchumba wa kumuoa? Kama wewe huamini katika kusaidiwa kiroho kaa na matatizo yako kamwe usimsemee mtu kwa sababu ni mtumishi au mtoto wa mtumishi hujui vita na changamoto zake. Kuna somo alitoa Mwl Mwakasege kwamba sio wote wana wito wa ndoa hivyo ni vema mtu akajijengea maisha yake kwanza na awe na ndoto na maono binafsi. Achana na ya wengine, hamna wito na nyakati za kufanana.

Sasa huyo mtumishi kashindwa kutatua changamoto za binti yake anayemjua vizuri ndiyo atakwenda kutatua changamoto za watu baki?

Huyu ana tofauti gani na mganga wa kienyeji masikini anayedai kuwa na uwezo wa kutajirisha watu wengine?
 
naomba kupingana na wewe,tatizo la wnawake kutoolewa linatokana na wanawake kuwezeshwa wanadhani kazi na elimu ndio kila kitu wanaleta ujuaji mwingi baadae wanagundua kuwa mwanamke hata uwe na klla kitu ndoa ni muhimu sana ,cheki zamani mama zetu hawakusoma sana na waliolewa wakawa watiifu kwawaume zao kwani walijua wakileta ujinga wakiachwa maisha yatakuwa magumu

Usimsomeshe binti yako ili uokoe ndoa yake.
 
Wanaringa sana, wanachagua kama nyanya
Mwisho wa siku wanafunuliwa na kutemwa
 
Tatizo machuguzi ni mengi Pamoja na masharti....
 
kumbe nimepishana na bahati leo... sijui kwanini sikwenda!!!

pale ni kukalili hata wadada watatu waliosimama baada ya seminar unamfata... hata angekua mgum vipi lazma akubali
Hahahah! Yani hapo ni Kama kumsukuma mlevi. Unajipatia totoz kiulaini
 
naomba kupingana na wewe,tatizo la wnawake kutoolewa linatokana na wanawake kuwezeshwa wanadhani kazi na elimu ndio kila kitu wanaleta ujuaji mwingi baadae wanagundua kuwa mwanamke hata uwe na klla kitu ndoa ni muhimu sana ,cheki zamani mama zetu hawakusoma sana na waliolewa wakawa watiifu kwawaume zao kwani walijua wakileta ujinga wakiachwa maisha yatakuwa magumu

Wanawake wa bongo hawajawezeshwa bado wewe.

Wangewezeshwa kikweli hata hizo ndoa zisingeliliwa hivyo, watu wangekuwa wako shule wanasoma, wakimaliza hapo wanazaa nje ya ndoa na kule watoto wao wenyewe.

Familia za kibongo ngapi zina mwanamke kama the main breadwinner katika hii urban demographic?
 
Sasa huyo mtumishi kashindwa kutatua changamoto za binti yake anayemjua vizuri ndiyo atakwenda kutatua changamoto za watu baki?

Huyu ana tofauti gani na mganga wa kienyeji masikini anayedai kuwa na uwezo wa kutajirisha watu wengine?

Unaelewa neno mganga hajigangi kumbe, kama hutaki maombezi tulia waache wenzio waombewe. Kutokuolewa au kuolewa binti wa mtumishi hakukusaidii wewe wala dada zako. Kaa kwenu na utubu maana watumishi wana ahadi "kila ulimi utakaoinuka kuwahukumu utahukumiwa kuwa mkosa. ." Maana mahusiano yao na Mungu huyajui.
 
Waoaji wenyewe hakuna siku hizi.

Hapana hlo atasikubali waoaji wapo wengi sana tatzo mwanamke ukishaanza kumuhubilia ukwerii wako basi ushakuwa buzi virungu mtindo mmoja mwishowe na ww unasema kwan nn unakula then unasepa mana asubuh asubh hta ujaamka unaona sms ooh baby nitumie ela mwenzio cna hta wkt jana umemwambia kuwa imetoka kulipa kodi ya nyumba mbya zaidi hataki kujua unaishije wala kipato chko kipoje yy akishataka ela ww umtumie tu araf ukimwambia cna ntakutumia ksho atakwambia oooh ww mbahiri xna
Kudadeki zke mbio tu karii
 
Wengi wao ambao hawajaolewa wapo lile lichama chakavu,amieni 'mabadiliko' muone huo msururu wa watangaza nia.
 
Waoaji wenyewe hakuna siku hizi.

Waoji wapo ila hamuwaoni kutokana na vigezo mlivyoweka kutaka mwanaume;
1. Aliyetia rasta na kuvaa hereni
2. Kutaka wanamuziki, au star wa bongo movie
3. Kutaka mwanaume aliyetayari kukubali kila utakachoongea au kushauri bila kupingwa
4. Kumtaka mwanaume aliye tayari kuishi na wewe na kukukubali kama ulivyo bila kushauri lolote mfano kama unapendelea club akuache ukajiachie na marafiki, kuvaa ovyo, kula hotelini hata kama mna uwezo wa kupika nk.
5. Kumtaka mwanaume awe tayari kugawana zamu za kupika, kufua nguo na kubeba mtoto wakati wewe ukiangalia TV


Kwa tabia hizi hakuna mwanaume serious na mwenye kutaka bright future atakuwa tayari kukuoa.
Wanaume wanataka waoe MKE NA MAMA WA WATOTO wake ambaye wakikaa wanaweza panga mambo muhimu kuhusu maisha yao ya sasa na baadaye, watoto wao na future yao na si mwanamke ambaye hana foresight bali yeye anaona mume kama source of income kwa mambo yake ya ovyo ovyo.

Si kweli kwamba waoji hawapo huo ni uongo na mtazamo wako ni wa aina ya wanawake nilioeleza hapo juu. Hatuna tu statistics kila wiki dar yenyewe wanaume wanaofunga ndoa ni wengi mno kwa hiyo ukiona hujaolewa usiseme waoaji hawapo labda wewe sema sijapata wa vigezo vyako
 
Sasa huyo mtumishi kashindwa kutatua changamoto za binti yake anayemjua vizuri ndiyo atakwenda kutatua changamoto za watu baki?

Huyu ana tofauti gani na mganga wa kienyeji masikini anayedai kuwa na uwezo wa kutajirisha watu wengine?

Yule binti ana mchumba !!!
 
Mwakasege amesahau kwamba neno la Mungu linasema kwamba siku za mwisho Wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema,Tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe,lakini tuitwe tu kwa jina lako;utuondolee aibu yetu ?
(ISAYA 4:1)
 
Mkuu naomba nikukumbushe kuna kitu Mwl alikosea Jana Kama sababu Mojawapo ya kutoolewa ni KUFANYA MAAGANO au "KIAPO" hii unakuta mdada akitongozwa na Mkaka mdada anasema Ana Mchumba.Mchumba mwenyewe hata mahari hajatoa,unakuta Yule "mchumba"wake kamwahidi Atamuoa hivyo asiwe na mwingine,mwingine na KIAPO cha damu hakuna Kuwa na mwanaume mwingine,matokeo yake Mkaka anapata mwanamke Mwingine Yule Mdada anashindwa kupata mwanaume kwasababu alishafungwa na KIAPO..
Ewe mdada kataa viapo visivyokuwa na msingi,mwanaume hata mahari hajatoa eti anakuwekea KIAPO na wewe unakubali wanaume wengine wakija unawaambia Una Mchumba,wakati huna uhakika Kama atakuoa,mwisho wa siku mwanaume Yule anaoa/anapata mwanamke mwingine wewe unabaki na yeye moyoni na KIAPO chako.
Uchumba sio Ndoa."by Mwl mwakasege"

Alikosea au alikisema??
 
Huna akili munambefu kama huwezi kuishi na mwanamke usiingize chama kama mdomo zege usaidiwe sio unatupia lawama watu wengine
 
Unaelewa neno mganga hajigangi kumbe, kama hutaki maombezi tulia waache wenzio waombewe. Kutokuolewa au kuolewa binti wa mtumishi hakukusaidii wewe wala dada zako. Kaa kwenu na utubu maana watumishi wana ahadi "kila ulimi utakaoinuka kuwahukumu utahukumiwa kuwa mkosa. ." Maana mahusiano yao na Mungu huyajui.

"Mganga hajigangi" ni msemo wa waganga waongo kuridhisha wajinga wanaoibiwa.

Hao watumishi matapeli tu, hawana lolote ambalo wanaweza kufanya ambalo mkusanyiko wa watu wenye akili zao hautaweza kufanya.

Haya, na tuone hiyo hukumu basi.

Mtu kashindwa kumuoza bintiye, leo atoe ushauri na maombi kuoza wengine.

Ni sawasawa na kuenda kupata ushauri wa kupunguza uzito kutoka kwa mtu mwenye tatizo la uzito kwake.

Au uende kuomba ushauri wa kuacha ulevi kwenye nyumba iliyojaa walevi.

Hapo kinachotokea ni kwamba desperate people will believe anything that gives them promise.

Ukiweka jina la mungu ndiyo kabisaa, watu eanaondoa akili zote na kuachia autopilot ya maombi.

Kwa imani kama hizi tutazidi kuwa masikini kwa miaka mingi sana tu.
 
Mwakasege amesahau kwamba neno la Mungu linasema kwamba siku za mwisho Wanawake saba watamshika mtu mume mmoja wakisema,Tutakula chakula chetu na kuvaa nguo zetu wenyewe,lakini tuitwe tu kwa jina lako;utuondolee aibu yetu ?
(ISAYA 4:1)
Aisee patamu hapo. On a serious note nadhani ukosefu wa ajira na pato la uhakika ndio sababu kuu ya wanaume
kukwepa kuoa.
 
Minimesoma nimeolewa nanimtiifu ,usilazimishe shida za kwenu kwenye maisha ya watu,kama wewe huolewi/huoi jiongeze ujue tatizo sio kukaa kujadili huduma za watu,ooh watoto wawatu kunamtu asietaka binti ake aolewe kwa heshima au kijana wake aoe?kutokuoa pia ni ulemavu maana huwezi kuongoza mwanamke mmoja utaweza hata ukiranja wewe?
 
Back
Top Bottom