Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Baada ya kufika daslam,tuka vuka boda SA kupiga dili moja Kali sana mpaka sasa tuko orange groove hapa Jo'burg mambo ni faya..Tumepiga mpunga Wa kutosha wiki kama mbili hivi nitarejea daslam na ka vw golf kisha nirudi zangu kuvua kijijini kwetu da maisha ya SA si mchezo full bata ..mwakani tena panapo majaaliwa.
 
Kitu pekee nimefanikiwa ni kula tunda kimasihara, niliahidi ndoa sasa imeota mbawa.... nitajipanga upya InshaAllah.
 
Pole sn mkuu,ilikiwaje kama hautajali lakini?
Huu mwaka shetani amefanikiwa kucheza na familia yangu.....dah..
Ameirarua vipandevipande.....ila namshukuru Mungu kwa uhai....familia ya watoto watatu kwishney...

Sasa itabidi nitafute Foreigner tu....from Asia or Europe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kiongozi, tupo wengi tulioomba huu mwaka upite tukiwa hai tu. Kwa kweli ulikuwa mwaka tasa kwangu. Nimepoteza vingi vya thamani mwaka huu, kazi ya 2.4m take home plus kushinda mahakamani mwaka mzima kwa kesi ya madai ya kutungwa. Kikubwa kutenganishwa na mwanangu mpendwa, hakika sitakusahau 2019.
Pole ndugu yangu,ni kipindi kigumu sn lakin usikate tamaa. Mungu aliyekubariki awali bado yu hai,endelea kumtumainia hatakuacha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom