Daviie
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,292
- 1,483
Doh, aisee... Hongera! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nashukuru Mungu, nimepata mahaba motomoto kutoka kwa bwana yule! mwaka ulikuwa mtamu sana kwangu...
Doh, aisee... Hongera! [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nashukuru Mungu, nimepata mahaba motomoto kutoka kwa bwana yule! mwaka ulikuwa mtamu sana kwangu...
Pole sana mkuu. Bora uhaiMambo yameniharibikia sana ila nashukuru bado napata pumzi
Shukran mkuu, sometimes nahisi nipo kwenye kisiwa kisicho na kiumbe hai yeyote kwani kila nikijitahidi ndio kwanza narudi nyuma hatua tatu.inaumiza sanaPole sana mkuu. Bora uhai
Huu mwaka shetani amefanikiwa kucheza na familia yangu.....dah..
Ameirarua vipandevipande.....ila namshukuru Mungu kwa uhai....familia ya watoto watatu kwishney...
Sasa itabidi nitafute Foreigner tu....from Asia or Europe.
Acha TU mwanamke ameamua kusepa baada ya kipato kupungua....na watoto.Ilikuwaje mkuu? Wamekimbia?au wametwaliwa?
mkuu huyo fund anakojoa juu ya paa?Nimefanikiwa japo Kujenga nyumba yangu japo sijamalizia. Mungu akisaidia 2020 nitaimaliziaView attachment 1288396
Uishe'Uwishe'?
hayo sio mafanikioNimefanikiwa kuwa na Afya njema kwa mwaka mzima bila kukanyaga hosptali.
Hili kwangu ni jambo kubwa sana na la kumshukuru MUNGU
Kuna tatizo la kiufundi mwaka Huu ngoja nisubirie 2020
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Komediani
Pole Sana but majaribu na nyakati mbali mbali hayana budi kujaDa ulikuwa mwaka mgumu sana kwangu nimempoteza mwangu , nimempoteza dada yangu, nikaibiwa pikipiki mbili hakika ulikuwa mwaka mgumu sana ...
Sawa kabisa.Uishe
Mkuu kwani ujakwenda kazini?Sawa kabisa.
Afadhali mimi kiazi kuliko wewe gimbiWe kweli kiazi
Binti kunakipidi ulipata mushikeri manusura huikimbie ID yakoKuna tatizo la kiufundi mwaka Huu ngoja nisubirie 2020