Da ulikuwa mwaka mgumu sana kwangu nimempoteza mwangu , nimempoteza dada yangu, nikaibiwa pikipiki mbili hakika ulikuwa mwaka mgumu sana ...
Huu mwaka shetani amefanikiwa kucheza na familia yangu.....dah..
Ameirarua vipandevipande.....ila namshukuru Mungu kwa uhai....familia ya watoto watatu kwishney...
Sasa itabidi nitafute Foreigner tu....from Asia or Europe.
Sio mafanikio bali nini au unahitaji kupata nini ili kupima kiwango cha mafanikio?hayo sio mafanikio
Pole sana kiongozi, tupo wengi tulioomba huu mwaka upite tukiwa hai tu. Kwa kweli ulikuwa mwaka tasa kwangu. Nimepoteza vingi vya thamani mwaka huu, kazi ya 2.4m take home plus kushinda mahakamani mwaka mzima kwa kesi ya madai ya kutungwa. Kikubwa kutenganishwa na mwanangu mpendwa, hakika sitakusahau 2019.Mambo yameniharibikia sana ila nashukuru bado napata pumzi
Pambana man, hakuwa mke wako kutoka kwa Mungu, just anza upya. Watoto ni wako na watarudi.Acha TU mwanamke ameamua kusepa baada ya kipato kupungua....na watoto.
Ha ha ha haaaa!!mkuu huyo fund anakojoa juu ya paa?
ila hongera sana
YalllahNimefanikiwa kuokoka,.
kama kuna uliyekula tunda kimasihara njoo utusimulie mkuuNimegegeda madem 24,.
Duh pambana mkuu one day yes
Kwakweli mkuu.....Relax, maumivu yakizidi ujue Mungu anakuandalia jambo kubwa zaidi
Yeah .......bado Niko down psychologically ila nitainuka tu...Pambana man, hakuwa mke wako kutoka kwa Mungu, just anza upya. Watoto ni wako na watarudi.
Da ulikuwa mwaka mgumu sana kwangu nimempoteza mwangu , nimempoteza dada yangu, nikaibiwa pikipiki mbili hakika ulikuwa mwaka mgumu sana ...
Pole sana kiongozi, tupo wengi tulioomba huu mwaka upite tukiwa hai tu. Kwa kweli ulikuwa mwaka tasa kwangu. Nimepoteza vingi vya thamani mwaka huu, kazi ya 2.4m take home plus kushinda mahakamani mwaka mzima kwa kesi ya madai ya kutungwa. Kikubwa kutenganishwa na mwanangu mpendwa, hakika sitakusahau 2019.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hongera kwa ugunduziMimi nimefanikiwa kujua polepole na kabudi kua ni zero brain