Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Nilichofanikiwa mwaka huu nashukuru mungu nina afya njema kabisa,
Fikiri kabla ya kutoa maoni,suala la afya sio juhudi zako ni kudura za Mungu,wewe taja ulichofanikiwa kwa kutuia nguvu kazi yako ya mwili na maarifa
 
Mimi mafanikio au kutofanikiwa nitacomment tar1 ,Mwaka haujaisha huu waungwana ......ukiusema vibaya unaweza kupita na wewe jumla jumla
 
Pole sana mkuu
Namshukuru Mungu sana
1. Nina afya njema kwa mwaka mzima
2. Nimefanikiwa kupunguza addiction inayonisumbua kwa muda mrefu
3. Nimejifuza kwa vitendo makosa yanayonirudisha nyuma kiuchumi
4. Nimefanya saving kubwa kuliko mwaka jana
5.Nimenunua electronics devices nzuri sana such as iPhone

The bad thing I’ve lost my brother in this December...

All in all, namshukuru Mungu naomba aninyeshee neema na baraka zake 2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupata a beautiful baby boy,
Kua close na my partner,
Kifupi sikukuu itakua poa sana kwa upande wetu na mwaka tunaufunga kama tulivyojipangia.
 
Back
Top Bottom