Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Baada ya kufika daslam,tuka vuka boda SA kupiga dili moja Kali sana mpaka sasa tuko orange groove hapa Jo'burg mambo ni faya..Tumepiga mpunga Wa kutosha wiki kama mbili hivi nitarejea daslam na ka vw golf kisha nirudi zangu kuvua kijijini kwetu da maisha ya SA si mchezo full bata ..mwakani tena panapo majaaliwa.
Hili dili gani?
 
Mwaka Unaisha na somo na experience za kutosha lakini katika vitu namshukuru Mungu

Mbali na kufanikiwa anzisha biashara tofauti ila hamna shida nilikua napata kama

  • upatikanaji wa wafanyakazi bora na waaminifu

asee eneo hili limenitesa sana mwaka 2019 nilikua napanga pangua panga pangua Thank God

Hajaniacha Nimefanikisha Pata wasaidizi BORA kabisa kabla hata sijafunga 2019.

Next Year kwa imani naamini utakua mwaka mwingine wa aina yake Mungu Anisaidie.
 
Huu mwaka hapana..Kuanzia mwezi January hadi juzi nimetumia muda kusuluhisha migogoro na mke na hatimaye nimeamua aondoke na nisimione tena. Kabishi kana gubu ingawa kamewekeza kwangu but to hell kakipata mimba zinatoka kwasababu ya migubu yake! Dah atakayeokota hilo bomu basi naye ana mwaka wa kupoteza.

Huu mwaka uishe niendelee na mambo yangu ila sitauhesabu...Kwenye mishe zangu napo Magu kazingua ila nashukuru hajavuruga...Kivuruge ni hicho kimwanamke hovyo kwelikweli...Nakiacha na hakitaona chochote kilichowekeza maana kuninyima mimi furaha gharama zake hakitaweza kulipa kenge wahed...Mwaka mzima natumia hela kusuluhisha mambo ya kipumbavu kabisa!
 
Pole sana mkuu piga kazi mwisho wa siku atajuta!
Mkuu acha tu. Mwanamke anatamani usiwe unatoka kwasababu ya migubu na kutokujiamini? Yan unampa furaha asubuhi ikifika mchana anaamua kuanza kuleta malalamishi yaliopita mpaka mtu unashangaa hivi huyu ana akili timamu? Amelogwa? Dah kuna gubu si za dunia hii walah!
 
Hiyo hapo...japo bado sijamaliza...mwaka huu kabla haujaisha lazma kuna vitu niviongeze
Ebu tupia picha ya ghetto mkuu..

Sent using Jamii Forums mobile app
brad_hord_ford___B2-JzLwn87c___.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom