Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Pole sana kiongozi, tupo wengi tulioomba huu mwaka upite tukiwa hai tu. Kwa kweli ulikuwa mwaka tasa kwangu. Nimepoteza vingi vya thamani mwaka huu, kazi ya 2.4m take home plus kushinda mahakamani mwaka mzima kwa kesi ya madai ya kutungwa. Kikubwa kutenganishwa na mwanangu mpendwa, hakika sitakusahau 2019.
Mkuu mbona kama nakufahamu..ila pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka umeisha na nimejifunza kua ndugu wana asilimia 3% katika kufanikisha kupata kazi na asilimia 50% ni juhudi za marafiki na asilimia 47% ni juhudi zangu mwenyewe

Ndugu fresh graduate karibuni mtaani na muonje joto la mtaa
Pia nimuda wakujua ndugu yup mnafiki na yupi yupo sahihi kwako
OVER[emoji108][emoji108]
Mkuu mbona umechelewa kuyajua haya?[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka umeisha na nimejifunza kua ndugu wana asilimia 3% katika kufanikisha kupata kazi na asilimia 50% ni juhudi za marafiki na asilimia 47% ni juhudi zangu mwenyewe

Ndugu fresh graduate karibuni mtaani na muonje joto la mtaa
Pia nimuda wakujua ndugu yup mnafiki na yupi yupo sahihi kwako
OVER[emoji108][emoji108]
Halafu hawa ndugu ukishapata kazi wanajisogeza wale vyako[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, pole sana aisee. Hakika ni mtihani mkubwa sana 2019 ilikupatia
Pole sana kiongozi, tupo wengi tulioomba huu mwaka upite tukiwa hai tu. Kwa kweli ulikuwa mwaka tasa kwangu. Nimepoteza vingi vya thamani mwaka huu, kazi ya 2.4m take home plus kushinda mahakamani mwaka mzima kwa kesi ya madai ya kutungwa. Kikubwa kutenganishwa na mwanangu mpendwa, hakika sitakusahau 2019.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah huu mwaka aisee acha upite tu,
1: Nimeibiwa kila kitu mpaka kijiko.

2: Miti yangu Lupembe-Njombe imeungua yote 3 Hectares.

3: Pikipiki yangu wameiba wavuvi wa Mtera,nimeambiwa engine za pikipiki wanazifunga katika boats za uvuvi.

4: Nimefunga mwaka vibaya,mpaka sasa niko njiani natoka Chunya-Bitimanyanga ndani ndani huko,ni siku ya tatu sasa nmekwama barabarani kwasababu ya mvua,(Mzigo unakwenda na maji huu waungwana daah!!)

Bora uhai wakuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom