Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Pole sana kiongozi, tupo wengi tulioomba huu mwaka upite tukiwa hai tu. Kwa kweli ulikuwa mwaka tasa kwangu. Nimepoteza vingi vya thamani mwaka huu, kazi ya 2.4m take home plus kushinda mahakamani mwaka mzima kwa kesi ya madai ya kutungwa. Kikubwa kutenganishwa na mwanangu mpendwa, hakika sitakusahau 2019.

Mkuu upo strong sana na natumai Mungu atanyoosha mipango yako 2020 japo wachawi ni wengi sana dunia hii
 
Pole sana kiongozi, tupo wengi tulioomba huu mwaka upite tukiwa hai tu. Kwa kweli ulikuwa mwaka tasa kwangu. Nimepoteza vingi vya thamani mwaka huu, kazi ya 2.4m take home plus kushinda mahakamani mwaka mzima kwa kesi ya madai ya kutungwa. Kikubwa kutenganishwa na mwanangu mpendwa, hakika sitakusahau 2019.
Kuna kipindi nilitamani niamuke niwe nimekufa ulikua mwaka wamajaribio ya kupima imani yangu kwa mola angu ila tunamshukuru Mungu kugundua kwamba sio kila anae kuchekea anae kusalimia unae ishi nae anakutakia mema, nashukuru Mungu hu mwaka nimezidisha upendo kwa mama angu na watoto wangu wakuzaa, period.
 
Mwaka umeisha na nimejifunza kuwa ndugu wana asilimia 3% katika kufanikisha kupata kazi na asilimia 50% ni juhudi za marafiki na asilimia 47% ni juhudi zangu mwenyewe

Ndugu fresh graduate karibuni mtaani na muonje joto la mtaa
Pia nimuda wakujua ndugu yup mnafiki na yupi yupo sahihi kwako
OVER👌👌
 
Back
Top Bottom