Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Mwaka unaisha, umefanikiwa kufanya nini?

Kuishi kwa furaha bila kuwa na pesa na pia kumwacha mtu aliyekuwa ananitesa 🙏🙏 on to the next one
 
Nimefanikiwa kuona Ubungo interchange ikijengwa na bar ya jirani yangu hivyo nimafanikio makubwa kwakweli
 
Kipya cha 2019...
IMG_20190828_175951.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom