Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,611
- 5,173
Tupo tu mkuu, ingawa nimuda sasa sijakuona hapa Dodoma... teh[emoji23][emoji23]
Naomba nikuponheze kwa kufikia malengo yako mkuuHiyo hapo...japo bado sijamaliza...mwaka huu kabla haujaisha lazma kuna vitu niviongezeView attachment 1289014
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakustua mkuu, usijaliTupo tu mkuu, ingawa nimuda sasa sijakuona hapa Dodoma... teh[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia wewe..halafu nahisi tunafahamiana[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu sio mambo ya michepuko kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa we ni handsome halafu kenyewe kabayaa that's y kanajistukia[emoji16][emoji16]( natania mkuu)Mkuu acha tu. Mwanamke anatamani usiwe unatoka kwasababu ya migubu na kutokujiamini? Yan unampa furaha asubuhi ikifika mchana anaamua kuanza kuleta malalamishi yaliopita mpaka mtu unashangaa hivi huyu ana akili timamu? Amelogwa? Dah kuna gubu si za dunia hii walah!
Yaani mwaka unaoanza ndio ntakuwa mtakatifu kabisaaaa mwenza,.hapa namalizia tuu makando kando yangu ya mwaka 2019...
Ni katika kuuelekea wokovu mwenza. Nafuata nyayo.Yaani mwaka unaoanza ndio ntakuwa mtakatifu kabisaaaa mwenza,.hapa namalizia tuu makando kando yangu ya mwaka 2019...
Ndio nini kunibadilishia kitambulisho??[emoji849]
Pole mkuu mapito hayoYes Ni kipato tu mkuu.....ila sijapanga naishi kwangu.....kazi iliota mbawa.....more uvumilivu umemshinda....mtoto wa kwanza form three mwakani....
Aisee nimetangazwa Hadi ukweni......Sina maana siprovide
Nakwede nipo Mwanza siku nikikuona nitakusalimia[emoji2]Machimbo Mwanza ni mengi, inategemea wewe unataka chimbo la vigezo vya aina gani! na location pia.
Nakuchek piemu broBaada ya kufika daslam,tuka vuka boda SA kupiga dili moja Kali sana mpaka sasa tuko orange groove hapa Jo'burg mambo ni faya..Tumepiga mpunga Wa kutosha wiki kama mbili hivi nitarejea daslam na ka vw golf kisha nirudi zangu kuvua kijijini kwetu da maisha ya SA si mchezo full bata ..mwakani tena panapo majaaliwa.