HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,317
- 103,576
Tokea 2016 mambo yamekuwa mabaya na hayaonekani kuwa mazuri. Ngoja tuone itakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha TU mwanamke ameamua kusepa baada ya kipato kupungua....na watoto.
Dah..pole sana! I like ww ni mpambanaji!usikate tamaa!hongera
Heri yako wewe hata umefanikiwa kusajili laini mimi hata hilo linaelekea kunishinda🙆🏻Nimefanikiwa kusajili laini zangu mbili za simu kwa alama za vidole...
#dumesuruali...
Pole sanaDa ulikuwa mwaka mgumu sana kwangu nimempoteza mwangu , nimempoteza dada yangu, nikaibiwa pikipiki mbili hakika ulikuwa mwaka mgumu sana ...
Pole sana pambana mkuu kuna walio kutwa na makubwa zaidi waka wachina na nyumba zao wakaamua kuishi maisha mapya!!!Mkuu acha tu. Mwanamke anatamani usiwe unatoka kwasababu ya migubu na kutokujiamini? Yan unampa furaha asubuhi ikifika mchana anaamua kuanza kuleta malalamishi yaliopita mpaka mtu unashangaa hivi huyu ana akili timamu? Amelogwa? Dah kuna gubu si za dunia hii walah!