Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,614
😅NIMEOKOKAAAA
😅NIMEOKOKAAAA
Huwezi kuwa nyumba ndogo! yule si jimbo liko wazi, mkewe alishatangulia mbele za haki! Ni mgane. Waweza kuingia mazimaa. hahahahahah
hhahahaha, hebu fika hapo Central kwa RPC umuombe namba za huyo mdingi! hahahahahahahHahahhaahah!nakumbuka hyo ishu tena ilikua kipindi hiki hiki cha xmas!khaa kumbe nafasi iko wazi kbs jaman nahangaika mie kupigwa jua?mwenye namba za mheshimiwa jaman pm me!
tatizo lipi hiloKuna tatizo la kiufundi mwaka Huu ngoja nisubirie 2020
Kwa hiyo "Kondoo" walionona hutafuni?Mwaka huu kwa mara ya kwanza nilichaguliwa kuwa mzee wa kanisa mwenye umri mdogo kabisa kati ya wazee wa kanisa wanne wa makamo Kanisani kwetu, namshukuru Mungu nimemtumikia kwa kiwango cha kuridhisha kwa kadri alivyoniwezesha, Mwaka huu pia nimefanikiwa kuwalea wanangu mapacha ambao wametimiza mwaka mmoja mwezi novemba na mkono wa Bwana umekuwa juu yao wana afya tele, upendo,umoja na amani katika familia yangu vimeimarika zaidi mwaka huu.
Masuala mengine kama vile kipato, kujenga, kununua gari na mafanikio mengine ya kimaisha, hata kesho ni siku!!