Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.

Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?
Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?

Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei

Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani

Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo

Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist

nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise

Dear Game Theory,
Leo umenigusa kwa mara ya kwanza, kwa maana kuwa all of among the posts you routinely make, hii leo nadhani umepost ukiwa hujaamka vizuri, au pengine unaweza kuwa ume-delegate powers to someone else, doesn't look like one of your "always subtancial posts", naweza kusema hivyo!
Game, look:
1.Taifa la Tanzania kutokuwa na dini, haimaanishi kuwa watanzania hawana dini, isipokuwa ni kwamba Taifa halifungamamni na itikadi ya dini yoyote ile kati ya zile zilizopo amabazo wananchi wake wanaziamini

2. Ni watanzania wachache sana ambao hawana dini (atheists). Problem ni kwamba watu wengi huwa tunachukulia kuwa "Paganism" siyo dini, na hivyo kuwaona watu wasioenda misikitini au makanisani kama hawamjui Mungu. Paganists wana dini sema tu their way of worshipping ni tofauti na ile inayofanywa na waumini kwenye majumba matakatifu km vile misikiti na makanisani. Hivyo Paganists wanaamini uwepo wa Mungu 100% ispokuwa njia yao ya ku-communicate naye (Mungu) ni tofauti na zile ambazo wengi tunazitumia hasa kwenye huu ulimwengu wa kisasa.

3. Soma vipi, pata degree zote duniani, lakini be careful; UWEPO WA MUNGU SIYO DEBATABLE! Just use your common sense at the lowest level, unahitaji akili timamu tu ku-confirm hili, hata darasa la kwanza halihitajiki kujua hili. Mfano; look at the things around you, the computer you are using, the chair you are sitting on, the floor on which your office chair rests, the building your office is in, the roads, the truck you use to and fro your working place, etc etc etc. Utakuta kwamba kati ya vitu hivi vyote nilivyovitaja, hakuna hata kimoja ambacho kimetokea from the air, ALL IS MAN MADE! Now, using a similar analogy, go back, look around you. You feel the air; you breath it in and out! Go outside, there are living creatures; PEOPLE, ANIMALS, TREES etc etc etc. Category ya pili ya vitu hivi hakuna mwanadamu wala mnyama aliye na uwezo wa kuvitengeneza. Mti hauwezi kumtengeneza binadamu, and vice-versa!, Now, my question to you is, nani amewezesha uwepo wa vitu hivi ambavyo haviwezi kujitengeneza wala kutengenezana vyenyewe? Jibu ni obvious kwamba ni MUNGU, unless if you are suggesting an alternative name to GOD, call HIM whoever, but retain and reserve His powers and authorities!

Rationale:Kila mmoja wetu anawajibika kutoa justifications za uwepo wa Mungu kwa kizazi kijacho, bila kujali kizazi hiki kitakuja kuwa na ma-atheists, pagans au watu wenye kufuata itikadi ya dhehebu fulani, si kosa. Hivyo watoto lazima waimbe MUNGU IBARIKI TANZANIA, bila kujali watakuja kufuata nini huko mbele, KWA SABABU MUNGU YUPO!Get me? If not, let me know and will come to you latter!
 
Sio tu kwenye wimbo wa Taifa, Bungeni pia kila siku kabla kuanza porojo zao Spika anamtaja Mungu mara kadha; Viapo vyote IKULU kwa wateuliwa na Rais wanakwenda mbali zaidi kwa kushika Biblia/Qurani ingawa wakimaliza tu kuapa rushwa/ufisadi kama kawa; Mahakama zetu nazo unaapa kwa kumtaja Mungu; yaani hata ile kusema Taifa halina DINI ni porojo tu.
 
Sio tu kwenye wimbo wa Taifa, Bungeni pia kila siku kabla kuanza porojo zao Spika anamtaja Mungu mara kadha; Viapo vyote IKULU kwa wateuliwa na Rais wanakwenda mbali zaidi kwa kushika Biblia/Qurani ingawa wakimaliza tu kuapa rushwa/ufisadi kama kawa; Mahakama zetu nazo unaapa kwa kumtaja Mungu; yaani hata ile kusema Taifa halina DINI ni porojo tu.


viongozi wa Tanzania = mafisadi

Does this imply that kwenye wimbo wa Taifa tunaimba Mungu awabariki mafisadi?
 
Ndio Mama. Tena hata huko makanisani/misikitini wanaombewa kwelikweli!


Mungu wangu, is it possible kubadilisha wimbo wa taifa, kubadilisha viongozi is plan b katika kulinda heshima ya Mungu. Je na hao viongozi m-badala watakuwa wanafanya yanayowapasa kama viongozi hadi waombewe kwa Mungu au ndio yaleyale..... kama sio ufisadi, basi ukandamizaji etc.
 
Imagine mwanao kila siku asubuhi kabla hajaenda darasani anaimbishwa nyimbo ya Taifa na kwa walio America its much worse kwani kule kuna hiyo pledge of allegiance. What a load nonsense!

Kwa sababu imagine Tanzania kuna makabalia au watu wangapi wasio na dini lakini kila kukicha wanaona serikali haiishi ku accomodate hawa ma religious nutjobs tulijikita kwenye idara mbali mbali za serikali

Iddi ikifika utaona watawala wanajipanga kula iddi na waislam kwa kutumia infrastructure za walipa kodi ambao kuna kundi kubwa tuu ambalo hawamwamini huyo Mungu

Ikifika Christmass ndio usisikie maana kuanzia TVT mpaka idara za serikali utashangaa kuona mapambo ya christmas bila kuangalia sensitivity za wasio wakristo


Sasa mtoto unapomwambia MUNGU WABARIKI VIONGIZI WAKE....etc hii ni mbaya sana kwa sababu tunaambiwa tuamini DOGMA this is really dangerous kwetu kama taifa

Personally haya mambo yaniboa sana.Nadhani its about time tukabadilisha nyimbo ya taifa na kutoa MUNGU kwa sababu sidhani kama huyo Mungu ananafasi kwenye kuendesha mambo ya kiserikali ambayo inakusanya kodi toka kwa watu wasio na dini

GT naomba kukuuliza tu MUNGU ni yupi unayemsemea hapa? Taifa kama taifa naamini halijamtaja Mungu wa wakatoliki, wa waislamu, wa baniani na wengi tu wanaoaminiwa na waumini wa dini husika. Nyimbo wa Taifa linalomtaja Mungu umekuwa generalized bila kutaja ni mungu yupi hasa anayelengwa. Sitaki kuamini kuwa hakuna mtu yeyote ambaye hana imani yake. Imani inayomfanya mtu huyu aiamini katika imani fulani ndiko kwenye Mungu wake!
GT una imani yako,,, je katika upembuzi wako umepata kusikia nyimbo yoyote ya taifa fulani ikitaja Mungu wa imani fulani?
Hata matambiko yalifanywa kwa walioamini matambiko haya na ndiko mungu wao alikokuwa kama walivyoamini.
Ungesema baadhi ya shule ziache kulazimisha watoto kufuata matakwa ya shule fulani fulani kwa sababu ya umiliki wake hapo tungekuelewa.
 
Mungu wangu, is it possible kubadilisha wimbo wa taifa, kubadilisha viongozi is plan b katika kulinda heshima ya Mungu. Je na hao viongozi m-badala watakuwa wanafanya yanayowapasa kama viongozi hadi waombewe kwa Mungu au ndio yaleyale..... kama sio ufisadi, basi ukandamizaji etc.

Mama, GT hapa hakutaka tumtaje Mungu kwenye nyimbo ya Taifa. Ndio kilio chake. Ila kama nimekuelewa hapo kabla hatuimbi wimbo wa Taifa kama tuimbavyo nyimbo zingine. Una maana ya kukumbusha sisi na viongozi wetu wajibu wetu kwa taifa. Kuwaombea viongozi wetu ni kuwakumbusha kuwa wana wajibu wa kuwaongoza kwa maadili kadiri ya matakwa ya katiba ya nchi husika. Mafisadi hawawezi kutufanya tubadilishe wimbo wa taifa ili tusijesema au kuimba wabariki viongozi wake.
Mwisho kwa wote wanafahamu kuwa hata mheshimiwa mmoja wa nchi hii huapa pale kwenye lile jumba letu (sijui la sanaa za maneno) kw aaminivyo yeye na hata wimbo wetu huimba sana!
 
Ungesema baadhi ya shule ziache kulazimisha watoto kufuata matakwa ya shule fulani fulani kwa sababu ya umiliki wake hapo tungekuelewa.

Hata hii nayo haijakaa vema sana.
Hivi,wakati tunapeleka watoto wetu shule za kikristo ilhali watoto ni waislamu,tunatarajia nini?
Na usinidanganye kwamba,tunakuwa hatufahamu hili kwani shule nyingi hutoa requirements,na kwa kukubali kupeleka watoto pale inaonyesha kukubaliana na requirements za shule hizo.
Sisi wazazi ndio tunaowaweka watoto wetu in those positions...mostly kwa mapenzi mema.
 
Hata hii nayo haijakaa vema sana.
Hivi,wakati tunapeleka watoto wetu shule za kikristo ilhali watoto ni waislamu,tunatarajia nini?
Na usinidanganye kwamba,tunakuwa hatufahamu hili kwani shule nyingi hutoa requirements,na kwa kukubali kupeleka watoto pale inaonyesha kukubaliana na requirements za shule hizo.
Sisi wazazi ndio tunaowaweka watoto wetu in those positions...mostly kwa mapenzi mema.

Mkuu nashukuru angalao umenielewa na hata kuwaelimisha akina GT.
 
Hii yote ni shibe tu kwa kuwa mmeshiba ndio mna muda wa kubishana kwenye mambo haya.

The bottom line it doesnt make any difference kama utamtaja/muamini Mungu au laa.

Mkishamaliza kwanini tunavaa nguo wakati kuna "naturalist" hawaamini mambo ya kuvaa nguo vipi nao haki zao? we can go on gay marriage etc

Goodluck!

Wameshiba na Kidogo basi!!

Hawa wamevimbiwa kabisaa.
 
X-Paster, Mtindio, Maxishimba, et al. naona wameamua kukaa pembeni....

Mpaka kufikia ukarasa wa 11 n.k sijapata mwelekeo wa thread.

1. Maana naona kana kwamba hoja kubwa ilikuwa ni kwa nini kuna M/Mungu kwenye wimbo wa taifa ..


2. Lakini 'wakulu' hawakuishia hapo, bali wakafikia hatua ya kucontest uwepo wa M/Mungu.


3. Baada ya kufaulu 1) na 2) 'wakulu' hawa wakaenda mpaka kudispute uwezo wa M/Mungu na sifa zake.

Mpaka hapa nimeshindwa kuchangia kwa sababu hoja nilizoziweka hapa peke yake, ukiziweka pamoja zinakuwa illogical regardless premises za kila moja ni za kweli au zina mashaka..


Nways, labda nitoe tu maoni tu kama ifuatavyo:

Ili kuweza kumscrutinize Muumbaji you should be in the same level kama Yeye au kuzidi ili kweli ujiaminishe kwamba wafahamu unachofanya. Kinyume cha hapo, itakuwa ni kusherehesha baraza huku ukikufuru.


Naomba tumwache Mungu aendelee kuitwa Mungu..


Your brother in Christ,


Abdulhaleem al Masih
 
Ni swala moja kupeleka mtotot wako wa kiislamu kwenye shule ya kikristo, au wa kikristo kwenye shule ya kiislamu, kwa hiari yako.Ni swala jingine kabisa kwa kila mtoto mtanzania kulazimishwa kumhimidi mungu, hata kama haamini kwamba yupo!

KUweka huu mfano kuna distort the argument, hakuonyeshi in any way that the two are equal.
 
This heavy dose of regular -if not daily- calculated Juche-like indoctrination, especially during the formative years of childhood, can take a deeprooted seat in the subconscious that any type of rational reasoning in the future may find irreedimably lost.

It is for this reason we must fight to rid our schools and all public places of any utterances that may promote these mythological tribal rituals, tribal rituals that are not even our own might I add.

Can you provide examples of such....?
 
Back
Top Bottom