Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

...'nadhani' wasomwamini Mungu wana 'the right of remaining silent' pale yanapotamkwa maneno "mungu ibariki..." kwenye wimbo wa Taifa.
Uzuri wa ule wimbo haujataja ni Mungu yupi akanakusidiwa....kutokumuabudu Mungu na kuabudu sayansi,miti,chupa......ni Mungu pia......angatajwa Mungu wa Iringa,Makka,kilosa hapo sasa kungekuwa na maswali
 
Hapo ndio kwenye tatizo........kuna God,god na gods sijui unanipata?

Biblia yenyewe iko incosistent, mwanzo unaambiwa wakamfanya mtu kwa mfano wao, halafu unaambiwa kuna mungu mmoja ana nafsi tatu.Halafu yule mjanja yesu naye mungu, ingawa alikufa, wakasema kafufuka.

Tabu tupu.
 
Wamemtaja mungu anayesikiliza maombi, the personal god. That is abhorring if not appalling enough.
 
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.

Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?

Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?

Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei

Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani

Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo

Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist

nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise

Makubwa haya!! Hatuendelei kwa sababu katika wimbo wetu wa Taifa kuna neno Mungu!!!? :confused:

Asilimia kubwa duniani ya watu wanaamini kuwepo Mungu, pamoja na kuwa kuna miungu tofauti kati ya hao walioamini lakini mimi kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote ule wa kuwa na neno Mungu katika wimbo wa Taifa.

Mungu anawapenda viumbe wake wote aliowaumba na kuwaweka hapa duniani bila upendeleo wowote kwamba huyu ni dini hii na yule ni dini ile. Hivyo kwa Tanzania Waislamu, Wakristo, Wahindu n.k. sidhani kama wanaona tatizo lolote la kuwa na neno mungu kwenye wimbo wetu wa Taifa na pia napinga kabisa wazo la kusema kwamba Tanzania haiendelei kwa sababu tu tuna neno Mungu katika wimbo wetu wa Taifa.
 
Hapo ndio kwenye tatizo........kuna God,god na gods sijui unanipata?

Things like, god /gods/God cannot be tested. He moves in mysterious ways. You cannot know the mind of god. You can't find god except through faith (where faith is believing something without evidence), etc. etc.

That doesn't mean that statements made about certain gods can't be shown to be inconsistent or that there is any more likelihood of a god's existence than me being the next messiah.

So why should our children sing a national anthem in praise of something that no one has proved it exist?
 
Makubwa haya!! Hatuendelei kwa sababu katika wimbo wetu wa Taifa kuna neno Mungu!!!? :confused:

Asilimia kubwa duniani ya watu wanaamini kuwepo Mungu, pamoja na kuwa kuna miungu tofauti kati ya hao walioamini lakini mimi kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote ule wa kuwa na neno Mungu katika wimbo wa Taifa.

Mungu anawapenda viumbe wake wote aliowaumba na kuwaweka hapa duniani bila upendeleo wowote kwamba huyu ni dini hii na yule ni dini ile. Hivyo kwa Tanzania Waislamu, Wakristo, Wahindu n.k. sidhani kama wanaona tatizo lolote la kuwa na neno mungu kwenye wimbo wetu wa Taifa na pia napinga kabisa wazo la kusema kwamba Tanzania haiendelei kwa sababu tu tuna neno Mungu katika wimbo wetu wa Taifa.

Religious people have a tendency to include all sorts of caveats into their definition of god specifically to render the hypothesis untestable. Now are you one of them?
 
The personal god, the one that supposedly listens to prayers of people saying "Mungu Ibariki Tanzania"

Time in time out, apart from a few mafisadi, we have not seen much of the so called baraka.It is time people should focus somewhere else, like working hard and industriously.
Unaposema god ni kitu kingine lakini God ndio nakuelewa na yupo mmoja kama nilivyokuambia ni Nguvu uwe myunani au nani sijui lakini mwishowe utafika kwa huyu God.......

Usilalie katika machapisho ya watu baadhi wanaotafuta Udaktari wa falsafa.....wewe jiulize ukilala unakuwa na fahamu,je ulitoka wapi,utakwenda wapi.......umefuatilia somo la galaxy...

wanasema dunia yetu tuko kwenye milky way galaxy ambayo inacomprise sayari zoote 8..na inaaminika kuna magalaxy zaidi ya milioni 150,ooyi
ziko wapi na nani moderator wao?
 
Things like, god /gods/God cannot be tested. He moves in mysterious ways. You cannot know the mind of god. You can't find god except through faith (where faith is believing something without evidence), etc. etc.
Unaamini uwepo wa Mungu?
 
Unaposema god ni kitu kingine lakini God ndio nakuelewa na yupo mmoja kama nilivyokuambia ni Nguvu uwe myunani au nani sijui lakini mwishowe utafika kwa huyu God.......

Usilalie katika machapisho ya watu baadhi wanaotafuta Udaktari wa falsafa.....wewe jiulize ukilala unakuwa na fahamu,je ulitoka wapi,utakwenda wapi.......umefuatilia somo la galaxy...

wanasema dunia yetu tuko kwenye milky way galaxy ambayo inacomprise sayari zoote 8..na inaaminika kuna magalaxy zaidi ya milioni 150,ooyi
ziko wapi na nani moderator wao?

Answer to your above post: 2 words:

Logical fallacy.
 
Biblia yenyewe iko incosistent, mwanzo unaambiwa wakamfanya mtu kwa mfano wao, halafu unaambiwa kuna mungu mmoja ana nafsi tatu.Halafu yule mjanja yesu naye mungu, ingawa alikufa, wakasema kafufuka.

Tabu tupu.
Biblia ni kitabu kama vitabu vingine vya dini zingine......sitaki kuingia zaidi kwenye dini kwanza tumalize la Mungu....suala la ufufuko wa Yesu inabidi lianzishiwe thread yake
 
Makubwa haya!! Hatuendelei kwa sababu katika wimbo wetu wa Taifa kuna neno Mungu!!!? :confused:

Asilimia kubwa duniani ya watu wanaamini kuwepo Mungu, pamoja na kuwa kuna miungu tofauti kati ya hao walioamini lakini mimi kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote ule wa kuwa na neno Mungu katika wimbo wa Taifa.

Mungu anawapenda viumbe wake wote aliowaumba na kuwaweka hapa duniani bila upendeleo wowote kwamba huyu ni dini hii na yule ni dini ile. Hivyo kwa Tanzania Waislamu, Wakristo, Wahindu n.k. sidhani kama wanaona tatizo lolote la kuwa na neno mungu kwenye wimbo wetu wa Taifa na pia napinga kabisa wazo la kusema kwamba Tanzania haiendelei kwa sababu tu tuna neno Mungu katika wimbo wetu wa Taifa.

Hatuendelei kwa sababu tunang'ang'ania idea zilizowafaa watu wa medieval ages huko kupita hiyo age kuingia katika age yetu, sasa sisi hatuzihitaji hizi ideas tena, zimeshatupitisha tulipozihitaji zitupitishe lakini tunazing'ang'ania.

Ni kama mtu anayekwenda Mjimwema Kigamboni (I miss that side of Dar) akavuka na mtumbwi kutoka Ferry mpaka Kigamboni, badala ya kuuacha mtumbwi pale pwani yeye anataka aubebe kichwani.Ingawa mtumbwi huu ulikuwa mzuri sana majini katika kumvusha sehemu ulipohitajika, huku nchi kavu ni mzigo tu na hauhitajiki.

Waisraeli walipokuwa jangwani walikuwa na a very strict hygiene code, waliambiwa ilikuwa ni amri ya mungu kuwa ukinya shonde ni lazima ulifunike kwa mchanga. Hii belief ya mungu na Taurat ilikuwa muhimu kwa kiasi chake ku maintain usafi kwa watu ambao walikuwa hawajaendelea kisayansi, leo hii watu wanajua bacteria na excreta inavyosambaza magonjwa, huhitaji kuwaambia watu kuwa mungu kasema funika gimba na udongo, waambie tu kuna bacteria.

Sasa the god idea ndiyo hizo habari za ancient history na medieval people kuambiana mungu kasema usipofunika shonde (ashakum si matusi) huendi peponi wakati tunajua hygiene ni muhimu kwa sababu zinazoweza kuonyeshwa wazi na sayansi, wala hamna haja ya kumu invent mungu.

Ndiyo maana Pierre Simon Laplace alisema "I have no need for that hypothesis"
 
Makubwa haya!! Hatuendelei kwa sababu katika wimbo wetu wa Taifa kuna neno Mungu!!!? :confused:

Asilimia kubwa duniani ya watu wanaamini kuwepo Mungu, pamoja na kuwa kuna miungu tofauti kati ya hao walioamini lakini mimi kwa maoni yangu hakuna ubaya wowote ule wa kuwa na neno Mungu katika wimbo wa Taifa.

Mungu anawapenda viumbe wake wote aliowaumba na kuwaweka hapa duniani bila upendeleo wowote kwamba huyu ni dini hii na yule ni dini ile. Hivyo kwa Tanzania Waislamu, Wakristo, Wahindu n.k. sidhani kama wanaona tatizo lolote la kuwa na neno mungu kwenye wimbo wetu wa Taifa na pia napinga kabisa wazo la kusema kwamba Tanzania haiendelei kwa sababu tu tuna neno Mungu katika wimbo wetu wa Taifa.

Wow. An insecurity breech has been noted.
 
Religious people have a tendency to include all sorts of caveats into their definition of god specifically to render the hypothesis untestable. Now are you one of them?

Ha ha ha you can make your conclusion based on what I wrote in that piece.

Have a great day :)
 
Biblia ni kitabu kama vitabu vingine vya dini zingine......sitaki kuingia zaidi kwenye dini kwanza tumalize la Mungu....suala la ufufuko wa Yesu inabidi lianzishiwe thread yake

The personal god, huyo anayeimbwa kwenye "Mungu ibariki" is a fallacy.
 
Ha ha ha you can make your conclusion based on what I wrote in that piece.

Have a great day :)

One down 6 to go!

typical cowardice shared by you so called religious folks who get emotional and irrational because someone has challenged somethin you've been brainwashed into believing with absolutely no proof other than wtf your own mind manifests.
 
This idea that secular society is the most efficient might not be as correct as people might think... The predominant faiths in Tanzania i.e Christianity, Islam and Hinduism (in all their different sects) all arise from foreign sources. A systematic engulfing by the advocates of these faiths over the centuries (in the case of islam) and over the last 180 years in the case of Christianity has left us with a feeling as though these things were always around. That is without doubt not the case, nontheless throughout time different civilizations have been influenced by others' faiths and cultures.

Nyerere was Pan-African/catholic/humanist/intellectual/socialist/dictator...

He was Karl Max, the Pope, Voltaire and Lenin... all in one.. Or to be more precise he sampled from all that and not to mention his African Chiefly background.. Since he had such a great influence on the formation of our state, we could say that the religious side of him rubbed off on some of the symbols of the state... kwamfano wimbo wa taifa kuwa na 'Mungu' lakini vile vile he was in consensus na watanzania walio wengi, ambao wamekuwa na 'dini' kwa muda mrefu sasa.. (ntaelezea kwanini dini is in quotation marks in a minute). Sasa wazungu wameamua hawataki dini tena, Europe has become a largely secular society, as opposed to its former alias of 'christendom'... America is a different case of course, kwasababu there religion deeply rooted in a strange way... maana its a mutated form of christianity which was seeded by the so called pilgrims.
This new secularism and new-age thinking ndio inalead to such threads as this one, disputing the non-religious nature of the Tanzanian State.lol

Nianze na watanzania, sisi as a majority, hatuna dini, tuna 'dini' and this is an entirely different phenomenon. Few people actually understand in the correct depth the meaning of their own faith no do they take the time to actually learn in and research into the history of God, their religion and its origins and the current manifestations of those origins which we see kwa Kakobe, Lwakatare, Msikiti wa Mwembechai , Jamat Khan, Krishna-temple of Upanga etc. Zaidi ya tunachofundishwa Sunday school, madras tukiwa watoto, few people have a good sense of what they actually believe. Dini dhaifu, is at times worse than no dini. Religion of convenience.. that is what we have. Mtu ukiona, ukiwa na matatizo, ukiwa umekufa, then u need God, ukiwa na mtihani, ukipata kitu kizuri, maybe a new job.. "Asante Yesu!!" utaskia..lol au "Alhamdulilah"...
Lakini kiukweli tukifuatilia mafundisho ya hizi dini zetu.... in terms of percentage, how much of our lives are really dedicated to them..???

Mimi sioni kama kusema Mungu ibariki Tanzania ni tatizo au the Prayer given before a session of Parliament starts... because it makes us (Tanzanians feel better about ourselves and our improvised spirituality).. As part of our religious convenience farce, we need Eid and Xmas and Easter to remind us of our act ili tusisahau kabisa..lol But let me not put everyone in a single pot, wapo walio more observant of their faiths, lakini sio viongozi wetu maana kwakua wote ni washirikina, The Abrahamic faiths dont really tolerate much of that kwahiyo wao ndio wanakua best served with religious convenience kuliko wengineo.... Tubakie tu na hako kautaratibu chetu..!!! lol
 
Back
Top Bottom