Mungu kwenye nyimbo ya Taifa WHY?

Sidhani kama kuimba 'Mungu' kuna uhusiano na imani au uelewa wa kitu.
I chanted a-e-i-o-u after I knew how to read and write.I also sang every word of ''Hit em up'' before I was even able to fully introduce myself.Do I believe in violence?Hell no!Was a-e-i-o-u useful in my reading development?...of course not!
Na kwa kutumia hii theory yako,shouldn't every student be excelling at academics given the amount of singing done in almost every subject at lower levels?
One more thing.
''...God keep our land glorious and free...'' ring a bell?A developed nation for you!It's about time we start coming up with better excuses for our nation's retardation.

If that is the case, kwa nini wanaimba?
 
Nation retardation comes pale utakapoona wizara inatumia bajeti ya zaidi ya laki 5 kununua mapambo ya Christmas.

Thats why i agree with Pundit on Marx who made some valid points by criticising the religious outlook as one that interprets the world from an extra-terrestrial vantage point - the religious outlook is an estranged outlook. He wants humanity to discard these illusions such as the belief in an afterlife, in order to concentrate on improving real life, hence the criticism of religion must turn into the criticism of earth.

The next question je kuna mtawala yuko tayari tukajadili hii ya kuwalazimisha watoto kuimba nyimbo ya taifa?
 
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.

Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?

Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?

Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei

Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani

Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo

Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist

nawasilisha hoja and yes i dare be different kwenye hili unless kuna mtu anahoja ya kuniconvince otherwise

Mungu sio Dini bali ni Roho Kamili isioonekana bali itendao kazi kuzidi ufahamu wa kiumbe yoyote.

Hata kama huna Dini huwezi ukaondoa uwepo wa Mungu na ukuu wake. Ni sawa na Leo kwa vile hufuati mrengo wa chama chochote cha siasa basi useme huitambui serikali.

Leo hii wewe unaitwa Game theory kwa vile una uhai ambao hauna mamlaka nao anytime can be taken na jina lako likaitwa Marehemu GT. Hakuna sayansi iliyoweza kuthibitisha source ya uhai na mara utokapo jinsi ya kuurudisha. maana hiyo ni siri pekee mwanadamu aliofichwa na Mungu kuijua na hata afanyaje hatokaa kamwe aweze kuijua. Siku mwanadamu akiweza kurudishiwa uhai kisayasi kuanzia siku hiyo nitaamini hakuna Mungu.

Unless you have his Breath you are nothing but useless Body. your acklodgement is only because you are breathing otherwise huna tofauti na vinyago vya kimakonde.

Heshima ya huyo aliye hold breathing yako ilaendelea kuwepo pale pale no matter what. na nilazima tuutambue uwepo wake kwenye Taifa letu tena katika heshima ya juu sana.

Kama unaweza kukiheshimu kitambaa chenye Rangi nne Kijani njano nyeusi na Bluu kinapopandishwa au kushushwa kwenye mlingoti. ukasimama kwa heshima Dakika moja nzimaaaaaa sembuse kwa huyo anaekupa uhai wa kuja hapa JF kutoa mada!

Asante Naomba kuwakilisha
 
Nyani,

With all due respect, this does not "prove" that there is a god anymore than a person shouting "Great Loch Ness Monster" proves that indeed there is a Loch Ness monster.

You missed the point....this guy doesn't believe that there is God out there somewhere. So if that's the case, then why did he scream God's name when he felt helpless? I agree with you that yelling "oh my God" doesn't prove that God exists but why yell God when you empatically claim God doesn't exist? Some may say "oh my God" is just a catchprase but I say hearing it from a person who says God doesn't exist is more of a Freudian slip than a catchphrase....when dude felt helpless, felt threatened, needed to feel protected....guess what he did....he yelled God's name.....so what does that tell you?
 
Nation retardation comes pale utakapoona wizara inatumia bajeti ya zaidi ya laki 5 kununua mapambo ya Christmas.

Thats why i agree with Pundit on Marx who made some valid points by criticising the religious outlook as one that interprets the world from an extra-terrestrial vantage point - the religious outlook is an estranged outlook. He wants humanity to discard these illusions such as the belief in an afterlife, in order to concentrate on improving real life, hence the criticism of religion must turn into the criticism of earth.

The next question je kuna mtawala yuko tayari tukajadili hii ya kuwalazimisha watoto kuimba nyimbo ya taifa?

GT,

Hawawezi kukubali kwani wanajua hii ni tool ya kuwakeep watu in check. Ukiwaambia watu CCM inawataka mlipe kodi na mtii viongozi wanaweza ku question. Ukiwapa watu mstari wa biblia unaosema wananchi watiini viongozi wenu kwa sababu mamlaka hayo wamepewa na mungu, na mwingine unaosema watumwa watiini mabwana zenu, watanywea wote.

Mimi siwezi kumuabudu mungu ambaye amesema yeye ni mungu wa waisraeli.

Mimi siwezi kumuabudu mungu asiyeweza ku reconcile the great question of human freewill being incompatible with god's perfect knowledge.
 
wimbo wa taifa ungekuwa kwa kiarabu aaaah! nisingesikia haya...
 
You missed the point....this guy doesn't believe that there is God out there somewhere. So if that's the case, then why did he scream God's name when he felt helpless? I agree with you that yelling "oh my God" doesn't prove that God exists but why yell God when you empatically claim God doesn't exist? Some may say "oh my God" is just a catchprase but I say hearing it from a person who says God doesn't exist is more of a Freudian slip than a catchphrase....when dude felt helpless, felt threatened, needed to feel protected....guess what he did....he yelled God's name.....so what does that tell you?

His God and your god may be two totally different things. You may believe in a personal god who sits in heaven and is omnipotent, omniscient. He may believe in the elegancy of mathematical symmetry and at that very point in the fabric of space-time continuum may have been reflecting on the effort to untangle whatever Kaluza-Klein spatial unobtrusiveness creeping upon him by the sheer will for teleportation to a baby universe through a double-wormhole passageway leading to a singularity at the edge of the multiverse.
 
...labda kwakuwa calamities zinapozidi inakuwa rahisi kumsingizia huyo Mungu, hasa kwa ule msemo maarufu "...yote ni mipango ya Mungu, kazi ya mungu haina makosa!"

:(
 
GT,

Hawawezi kukubali kwani wanajua hii ni tool ya kuwakeep watu in check. Ukiwaambia watu CCM inawataka mlipe kodi na mtii viongozi wanaweza ku question. Ukiwapa watu mstari wa biblia unaosema wananchi watiini viongozi wenu kwa sababu mamlaka hayo wamepewa na mungu, na mwingine unaosema watumwa watiini mabwana zenu, watanywea wote.

Mimi siwezi kumuabudu mungu ambaye amesema yeye ni mungu wa waisraeli.

Mimi siwezi kumuabudu mungu asiyeweza ku reconcile the great question of human freewill being incompatible with god's perfect knowledge.

Ni Mungu gani huyo aliyesema yeye ni Mungu wa WaIsraeli? Ina maana misahafu ya Kishinto, Kihindu, na ya imani zingine inasema hivyo?
 
Mungu sio Dini bali ni Roho Kamili isioonekana bali itendao kazi kuzidi ufahamu wa kiumbe yoyote.

Hata kama huna Dini huwezi ukaondoa uwepo wa Mungu na ukuu wake. Ni sawa na Leo kwa vile hufuati mrengo wa chama chochote cha siasa basi useme huitambui serikali.

Leo hii wewe unaitwa Game theory kwa vile una uhai ambao hauna mamlaka nao anytime can be taken na jina lako likaitwa Marehemu GT. Hakuna sayansi iliyoweza kuthibitisha source ya uhai na mara utokapo jinsi ya kuurudisha. maana hiyo ni siri pekee mwanadamu aliofichwa na Mungu kuijua na hata afanyaje hatokaa kamwe aweze kuijua. Siku mwanadamu akiweza kurudishiwa uhai kisayasi kuanzia siku hiyo nitaamini hakuna Mungu.

Unless you have his Breath you are nothing but useless Body. your acklodgement is only because you are breathing otherwise huna tofauti na vinyago vya kimakonde.

Heshima ya huyo aliye hold breathing yako ilaendelea kuwepo pale pale no matter what. na nilazima tuutambue uwepo wake kwenye Taifa letu tena katika heshima ya juu sana.

Kama unaweza kukiheshimu kitambaa chenye Rangi nne Kijani njano nyeusi na Bluu kinapopandishwa au kushushwa kwenye mlingoti. ukasimama kwa heshima Dakika moja nzimaaaaaa sembuse kwa huyo anaekupa uhai wa kuja hapa JF kutoa mada!

Asante Naomba kuwakilisha

Mjomba you are missing the point completely ndio maana nilishukuru san pundit alipoleta point ya Marxism kwenye hiii thread.

Sisi tuliamua kufuata siasa za kujamaa and contrary to what you want us to believe, hakuna anaykukatalia mawazo yako lakini tunachokikataa ni kuburuzwa kila kukicha eti mawakwa ya Mungu au ndio Mungu keshamaua teana!

Furthermore kurekebisha mawazo yako ningependa kukufahamisha kuwa I don't think that Marx would disrespect rights. There is a difference between arguing against something and disrespecting the rights of your opponent. For example, I am arguing against you, but I respect your rights to believe what you want. Lakini hili la nyimbo ya Taifa its something we ought to look into deep badala ya kuja na innuendos zisizoweza kuelezeka. Lakini Usilete hoja za kutaka kulaumu Karl Marx kwa kila kitu

Mfano in post-revolutionary Russia, Lenin hakupiga marufuku dini, japo wale ma BOLSHELVIKS walistress kuwa mitazamo ya kidini ina held back genuine social solidarity in that they project one's hopes of a better life on to a post-death situation, thereby excusing any social problem and letting the tyrants off the hook....hili tumeliona sana wakati wa Nyerere na waliomfuata baadae
 
Imagine mwanao kila siku asubuhi kabla hajaenda darasani anaimbishwa nyimbo ya Taifa na kwa walio America its much worse kwani kule kuna hiyo pledge of allegiance. What a load nonsense!

Kwa sababu imagine Tanzania kuna makabalia au watu wangapi wasio na dini lakini kila kukicha wanaona serikali haiishi ku accomodate hawa ma religious nutjobs tulijikita kwenye idara mbali mbali za serikali

Iddi ikifika utaona watawala wanajipanga kula iddi na waislam kwa kutumia infrastructure za walipa kodi ambao kuna kundi kubwa tuu ambalo hawamwamini huyo Mungu

Ikifika Christmass ndio usisikie maana kuanzia TVT mpaka idara za serikali utashangaa kuona mapambo ya christmas bila kuangalia sensitivity za wasio wakristo

Sasa mtoto unapomwambia MUNGU WABARIKI VIONGIZI WAKE....etc hii ni mbaya sana kwa sababu tunaambiwa tuamini DOGMA this is really dangerous kwetu kama taifa

Personally haya mambo yaniboa sana.Nadhani its about time tukabadilisha nyimbo ya taifa na kutoa MUNGU kwa sababu sidhani kama huyo Mungu ananafasi kwenye kuendesha mambo ya kiserikali ambayo inakusanya kodi toka kwa watu wasio na dini

Tupatie mifano ya Nchi zenye wimbo wa taifa usiotaja Mungu.

Taifa sio serikali. Taifa ni watu. Serikari ni kanuni za utawala na uongozi. na ndo maana kila kinachofanywa na serikali hakiangalii watu bali kanuni zilizowekwa. leo hii serikali inatekeleza matakwa ya ccm japo wanachi wengine hatuyataki lakini kwa vile ni kanuni inabidi tukubaliane nayo tu maana tumekubaliana kama taifa kuwa chama kitakachotawala ndio kitaongoza serikali vile kinavyoona ni sahihi.

Wimbo wa taifa ni alama yetu watanzania imani na utamaduni wetu watanzania ndio mshikamano wetu. Ndo maana hatajwi Mungu wa Imani ya makundi bali anatajwa Mungu kwa ujumla wake. Mungu wa waislamu si sawa wa wakritu au wahindu au wapagani. lakini ukishasema Mungu unakuwa umetaja Ujumla wao kila mtu na aichukue hiyo Mungu kwa jinsi anavyoiamini Moyoni mwake.

Kwa hapo hakuna dini bali kuamini tu kuna Mungu. jinsi anavyoabudiwa ni mtu na kuamini kwake[Hapa ndipo Dini inaingia sasa].
 
Leo nitazungumzia jambo ambalo wengi wenu mmekuwa WANAFIKI na huwa mnajaribu kwa kila hali kulikwepa.

Nchi na serikali hazina dini lakini kwa nini Mungu anaimbwa kwenye nyimbo ya Taifa?
dada/kaka look serikali haina dini,kweli lakini je umejiuliza serikali inaamini Mungu? jibu ni ndiyo.Ndio maana wanatumia biblia ya kuran kuapisha watu wao wa serikalini ikiwa na mana serikali haina dini lakini inaaamini uwepo wa MUngu
Najua kama watanzania wanayohaki ya kuwa na dini wanazotaka lakini hamuoni kama hii ni hatari kwa wale wasiamini Mungu?

Chukulia wewe ni mzazi na huamini mambo ya dini halafu unampeleka mwanao shule kule ataimbishwa nyimbo ya taifa wee mpaka anamaliza primary sasa hamuoni kama huku ni kumlazimisha mtu aamini jambo ambalo hakuna aliyethibitisha kama lipo? yaani hii ni doctrination mbaya sana ? Hlafu mnashangaa kwa nini hatuendelei
Again lazima ujue Mungu ni nani au nini?
Mungu ni Nguvu ya asili iiliyopo kila mahali.Mungu hana dini hana kabila sio mzungu,muarabu wala muafrika Mungu ni kila mtu anakaa ndani ya kila mmoja.

hata wanasayansi wanaopinga uwepo wa Mungu wanapinga uwepo wa Mungu huyu anaebudiwa na wengi wetu lakini na wao wana Mungu wao wanaomuabudu,ooyi

Mungu ni nguvu ipo na Mungu sio muislamu au mkristo,mpagani au myahudi Mungu hana dini,dini ni kama kilevi hakukosea aliposema karl marx

Nadhani its time tukabadili nyimbo ya taifa halafu hawa ma religious nutjobs wakikataaa tukaburuzane mahakamani

Sometimes we have to stand up for something badala ya kufuata mkumbo

Its really sad wanavyowadoctrinate watoto wadogo mashuleni kuwafanya waamini kitu ambacho no one has ever proved that it exist
Hapo unajikita zaidi kwenye dini kamanda.......lazima ujilazimishe kuelewa kuwa Mungu hana Dini,ukishaelewa hapo tutakwenda sawa...alikuwepo kabla ya hizi dini ni nguvu iliyokuwepo na itakayokuwepo.......
 
Ni Mungu gani huyo aliyesema yeye ni Mungu wa WaIsraeli? Ina maana misahafu ya Kishinto, Kihindu, na ya imani zingine inasema hivyo?

Lets see...the so called Mungu wa waisraeli :

a) He supposedly wrote a load of books (as claimed by various different religions) through human translators. These are frequently factually incorrect, self contradictory and ‘frozen in time’.

God would be able to do better. As a chosen method of communicating with humans, they seem almost entirely ineffective as demonstrated by the plethora of alternative interpretations which all appear to be equally valid, no matter how abhorrent.

b). The god of scripture seems unusually keen on laws, judgements and punishments on earth, even though he supposedly wants us to make our own choice and will reward us, or not, in the end anyway, and following on from point 1, doesn’t seem to have a problem with evil.

c). The god of scripture is vengeful, goes in for human sacrifice and is not above killing innocent children to make a point...mfano nilishautoa MV BUKOBA et al

d). God frequently resorts to threats and promises of reward to ‘help’ us make our ‘free’ choice.

The problem hapa ni kuwa hiyo god hypothesis doesn’t help us understand anything we can’t already explain. It doesn’t explain where god came from, why he does or doesn’t do things, what the purpose of life is, etc. it simply postulates an answer which by its own definition we can’t understand.

so why have MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU?

Patiently waiting for your answers
 
His God and your god may be two totally different things. You may believe in a personal god who sits in heaven and is omnipotent, omniscient. He may believe in the elegancy of mathematical symmetry and at that very point in the fabric of space-time continuum may have been reflecting on the effort to untangle whatever Kaluza-Klein spatial unobtrusiveness creeping upon him by the sheer will for teleportation to a baby universe through a double-wormhole passageway leading to a singularity at the edge of the multiverse.

Well, there you have it....whatever he believes in, whatever gives him strength, whatever gives him hope, whatever gives him comfort, whatever he invokes when he needs help....be it binary, mathematical formulas, etc....is his God/ god. Heck...some worship cows...maggots....
 
Tupatie mifano ya Nchi zenye wimbo wa taifa usiotaja Mungu.

Taifa sio serikali. Taifa ni watu. Serikari ni kanuni za utawala na uongozi. na ndo maana kila kinachofanywa na serikali hakiangalii watu bali kanuni zilizowekwa. leo hii serikali inatekeleza matakwa ya ccm japo wanachi wengine hatuyataki lakini kwa vile ni kanuni inabidi tukubaliane nayo tu maana tumekubaliana kama taifa kuwa chama kitakachotawala ndio kitaongoza serikali vile kinavyoona ni sahihi.

Wimbo wa taifa ni alama yetu watanzania imani na utamaduni wetu watanzania ndio mshikamano wetu. Ndo maana hatajwi Mungu wa Imani ya makundi bali anatajwa Mungu kwa ujumla wake. Mungu wa waislamu si sawa wa wakritu au wahindu au wapagani. lakini ukishasema Mungu unakuwa umetaja Ujumla wao kila mtu na aichukue hiyo Mungu kwa jinsi anavyoiamini Moyoni mwake.

Kwa hapo hakuna dini bali kuamini tu kuna Mungu. jinsi anavyoabudiwa ni mtu na kuamini kwake[Hapa ndipo Dini inaingia sasa].

Umeshau kundi la wasioamini Mungu ambao watoto wao wanasoma shule je katiba yetu inawalinda hawa?

Je unakubaliana na majeti ya laki 5 kwa ajili ya mapambo wizara ya serikali wakati wa krismasi?
 
Ni Mungu gani huyo aliyesema yeye ni Mungu wa WaIsraeli? Ina maana misahafu ya Kishinto, Kihindu, na ya imani zingine inasema hivyo?

Huyu mungu wa waisraeli ni wa kikristu, I was addressing the Christian massive.Huko kwa wahindu na washinto hakuna "mungu" ila kuna "miungu" na ancestral worship, kwa hiyo tunapozungumzia monotheism hata hawapo hao.
 
GT,

Hawawezi kukubali kwani wanajua hii ni tool ya kuwakeep watu in check. Ukiwaambia watu CCM inawataka mlipe kodi na mtii viongozi wanaweza ku question. Ukiwapa watu mstari wa biblia unaosema wananchi watiini viongozi wenu kwa sababu mamlaka hayo wamepewa na mungu, na mwingine unaosema watumwa watiini mabwana zenu, watanywea wote.

Mimi siwezi kumuabudu mungu ambaye amesema yeye ni mungu wa waisraeli

Mimi siwezi kumuabudu mungu asiyeweza ku reconcile the great question of human freewill being incompatible with god's perfect knowledge.

Ama kweli akili nyingi huondoa maarifa! yaani hujui Mungu alikuwa anazungumza kwenye mazingira gani kwa nini alisema hivyo?? Hint: Biblia inahita kusomwa yote.... usichopoe baadhi ya vifungu...
 
Marx had it best, religion is the opium of the hoi polloi, so the statist and intelligentsia (Nyerere, Mwinyi et al) presented themselves as ultra religious while their level of education afforded them the scope to realize the god idea is just hogwash based in some ancient mythology, mainly designed to oppress and keep the oppressed in check.
Mazeee unapindisha mada.......lets talk about God na sio Dini ni vitu viwili tofauti saana tena saana

Some learned advocates of the god idea, profess their knowledge of the instrumentality nature of the whole charade, in other words, they
ndio tunamixiana hapo.......jamani tunamuongela nani god au God?
 
Back
Top Bottom