Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

inafurahisha hata mataifa tuliyodhani yana matatizo ya kisiasa na kikabila kama vile algeria na kenya kutumia yanayoendelea huko misri kuleta umoja wa kitaifa na kuwa kitu kimoja ila hali hiyo ni tofauti hapa kwetu ambapo tusio wana ccm tumetangaziwa wazi kwamba ile team ya wendawazimu ambao kila mtu anajifunzia kunyoa haituhusu
kesho wendawazimu hao wanaenda kukutana na mbweha the fox wa jangwani toka algeria,mara ya mwisho wendawazimu hao wa lumumba walipigwa 7-0
Naomba nichukue nafasi kumuomba Mungu awabariki Algeria wapige goals 9-0 hapo kesho.Amen.
Naungana na ww ktk Maombi....Amina Mungu atatenda
 
lawama atatoa kwa wapinzani wa serikali na kusema ndio chanzo cha taifa stars kukanyagwa goli 3
goals 3 kwa wale wendawazimu wanaomfata bashite mkiani kama makondoo anawanunulia viatu na kuwasainia itakuwa ni ushindi mkubwa kwao,watakula 9-0 Mungu wa yakobo atasikia maombi yetu kwa hili maana kule hakuna jecha wala policcm wala tume ya uchafuzi
 
Back
Top Bottom