Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mungu ibariki Algeria kesho dhidi ya CCM

Mtegemee jambo lolote la kuvuruga Mjadala wa matokeo ya AFCON
 
Hivi Bashite hajarudi TZ bado?
Ngoja afanye press tuone kama ataendelea kuongea ujinga tena.
Hawezi kurudi amuache mzibua mtaro wake peke yake. Laana kwenye kambi ya hiyo ccm stars.
 
We are together with Taifa Star, kwenye shida na raha... God Bless Taifa Star, God Bless Tanzania... Taifa Star Make Country happy again.....
 
Back
Top Bottom