Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Nimesoma kwa masikitiko sana..............pole sana leah2.

Leah umesema unafanya kazi na kusoma masters pia.Mara nyingi nafasi kwa mambo ya kifamilia uwa ni mdogo, na hii ndio sababu ya mumeo kuanza kutoka na mdogo wako.Hivyo Mazingira "yaliwashawishi" hasa ukizingatia mdogo wako alikuwa kamaliza chuo na anatafuta kazi. LEAH SAMEHE MAMA ILI YAISHE UWE NA AMANI TENA
Sina hakika kama umejaribu kuvaa uhusika ukaona jinsi gani ilivyo ngumu. Binafsi sioni sababu ya kumng'ania mwanaume anayenidharau.
 
nao;
Nimemjibu mtu mmoja humu anaitwa "Linguistics" swali hili hili lako. Naomba msimlinganishe me na ke haswa kwenye hili jambo la ndoa.
Mwanaume akichepuka na mchepuko ukaleta tunda (mtoto) halafu me akamleta nyumbani, wewe mama unampokea kwa amani tu. Wapo wengi wamefanya hayo na amani ipo hadi kesho.
Lakini wewe ke ukachepuka, labda mumeo yupo mbali na hawezi kurudi kabla ya mwaka. Nakuambia, utaitoa tu. Kwa nini, kwa sababu unaleta damu nyingine nyumbani kwangu.
Wewe ni mali ya mumeo (so to speak). Utawezaje kumleta hapo nyumbani? Huyu bidada, mdogo wake wa tumbo moja ndiye amewazalia nyumbani kwake mtoto ambaye yeye anakiri hajawa tiyari kupata. Basi amsamehe mdogo wake, amzalie huyo mtoto, amchukue mtoto ka wake na maisha yaendelee ila mdogo mtu asirudie tena.
Kufukuza mume na dadake sio akili.
Nina wasiwasi na ufahamu wako.
 
Pheew....ni ngumu sana hiyo. I feel for you, lakini maisha lazima yasonge.

Kwanza nampongeza mleta mada, she's brave n' wise. Ni wachache sana wanaweza kulibeba swala kama hilo kiustaarabu namna hiyo, hongera sana.

Ningekuwa mimi, hapo hakuna ndoa tena. Ningemuacha aendeleze mapenzi na huyo dogolasi. Hutakuwa na amani tena ukiishi na huyo bwana hadi uingie kaburini, na hata ukiachana nae bado utazidi kuumia kwa miaka mingi tu ijayo. Lakini ni bora mkiachana. I can't imagine phucking my sisyer-in-law. Dunia imejaa uchafu jamani.

Once again, pole sana!!!
Thank you, kweli ilikuwa ngumu na wala siwezijisifu kuwa nahekima bali niseme ni Mungu tu ndiye aliyeniongoza..ukweli ni kwamba mtu huwa na hekima pale anapokuwa hanatatizo lkn inapofika saa ya tatizo tena la bila kutegemea mara nyingi huongozwa na jazba au hamaki ktk kutatua, nimejipa muda najua nitalimaliza pamoja na Mungu kwa uongozi wake. Nashukuru sana maana tangu nimelileta huku naona kama nimetua mzigo.
 
Aah mimi ni nani hadi nikusamehe mpendwa, me mwenyewe nahangaika kuomba misamaha daily uwii. Ujue uzinzi ni mgumu sana kuushinda, ndo maana tumeambiwa kabisa "IKIMBIENI ZINAA ". Sema wanaume mnafanya uzinzi ni kama haki yenu ya msingi, kwamba ikitokea tu nafasi ya kuzini, basi hata mtu ahangaiki kujisogeza, chance imepatikana.

You spoke well, kwamba tunahitaji muongozo wa Mungu kuushinda uzinzi (na sio tu uzinzi ila dhambi zote). Niliquote ulivyoongea pale juu kwamba hata ingekutokea wewe umepewa huo uhuru wa kuwa na mke wa mdogo wako, ungefanya kama mume wa Leah. Ndo tunarudi pale pale kwamba mnaona uzinzi kama ni suala la kawaida na haki. Huo uhuru ungepewa na mdogo ako wa kike, ungezini pia? Why not, si uhuru umepewa jamani. Kama tunategemea muongozo wa Mungu basi tusiglorify dhambi kiasi hicho. BTW Mchungaji, mlokole, kiongozi yeyote wa dini, anabaki tu kuwa binadamu kama binadamu wengine. As a matter of fact wote Tumesamehewa Dhambi na si Majaribu, tena wao ndo wanajaribiwa kuliko hata sisi. Mwisho wa siku kila mtu atasomewa hukumu yake na huwezi kusema kwa sababu fulani alifanya hivi na mimi nilifanya.
Unaongea points mpaka unanishangaza atakayebishana nawewe atakuwa ameamua tu you speak what has to be spoken by a wise lady as Heaven sent.
I bless you my friend. you once again touch my heart.
 
Changamoto za kijamii.. Hamna ushauri mzuri kama ule unaotoka moyoni mwako Trust your instincts. Kama ziliweza kukueleza kuna jambo baina ya hao wawili.. I think the right decision is laying beneath it.

note: every choice has its consequences. But above all, mdogo wako atabaki kuwa mdogo wako lkn mume unaweza kupata mwingine na maisha yakaendelea.

Angalia namna kuweka mahusiano yk wewe na mdogo wako at the moment.
 
Unaongea points mpaka unanishangaza atakayebishana nawewe atakuwa ameamua tu you speak what has to be spoken by a wise lady as Heaven sent.
I bless you my friend. you once again touch my heart.
Awwww swts, Glory be to God. Please tukosee tu, but sio kujustify makosa yetu. Bless you too my dear
 
!
!
Katika uzi huu kuna watu wanajifanya wakristo mpaka ugali wanasongea msalaba... Wakati kiukweli ni wa ovyo mno. Nyambaf
 
Changamoto za kijamii.. Hamna ushauri mzuri kama ule unaotoka moyoni mwako Trust your instincts. Kama ziliweza kukueleza kuna jambo baina ya hao wawili.. I think the right decision is laying beneath it.

note: every choice has its consequences. But above all, mdogo wako atabaki kuwa mdogo wako lkn mume unaweza kupata mwingine na maisha yakaendelea.

Angalia namna kuweka mahusiano yk wewe na mdogo wako at the moment.
Mawazo yako are the best for the consultant to refer. You gave the critical way to solve her individual problems, but also you remind her that she is biologically related to that young stupid girl! Mwanamme kufanya upuuzi, muadhibu kwa uzito wa kosa lake, all about.
 
Hapo dadangu kuna harufu ya kiburi kwa mumeo (nazungumza kwa unyenyekevu). Kwann nasema una kiburi kwa mumeo???
Amekuoa halafu wewe ukampa masharti ya kutomzalia mtoto. Hapa yaelekea ulimgomea hata kumpa tamu kadiri atakavyo. Tamu aliipata kwa masharti/ratiba yako ama ulimpa tamu kwa kumlazimisha achomekee kwanza (avae kondom).
Mumeo alikuoa ili apate tamu asilimia 100. Masharti yamfanya aombe pumziko.
Anyway tuyaache hayo, nini suluhisho maana yashatokea.
Fuata ushauri wa wazazi, vinginevyo utamchukia mdogo wako mpk ufikie hatua ya kutaka kukumuua. Maana hutapata mchumba mapema kwasabb ya hofu iliyojengwa na tukio hili. Hivyo utaamua kugawa tamu hovyo, yaani kuwa kahaba. Ukiharibikiwa, mfano upate gonjwa kama ukimwi utajua aliyesababisha ni dogo. Utamfanyia.
 
Hapo dadangu kuna harufu ya kiburi kwa mumeo (nazungumza kwa unyenyekevu). Kwann nasema una kiburi kwa mumeo???
Amekuoa halafu wewe ukampa masharti ya kutomzalia mtoto. Hapa yaelekea ulimgomea hata kumpa tamu kadiri atakavyo. Tamu aliipata kwa masharti/ratiba yako ama ulimpa tamu kwa kumlazimisha achomekee kwanza (avae kondom).
Mumeo alikuoa ili apate tamu asilimia 100. Masharti yamfanya aombe pumziko.
Anyway tuyaache hayo, nini suluhisho maana yashatokea.
Fuata ushauri wa wazazi, vinginevyo utamchukia mdogo wako mpk ufikie hatua ya kutaka kukumuua. Maana hutapata mchumba mapema kwasabb ya hofu iliyojengwa na tukio hili. Hivyo utaamua kugawa tamu hovyo, yaani kuwa kahaba. Ukiharibikiwa, mfano upate gonjwa kama ukimwi utajua aliyesababisha ni dogo. Utamfanyia.
Kweli akili ni nywele....
 
Pole sana uwamuzi wako ni sahihi na uwe na ujasiri wa namna hiyo kwani ungepaniniki ungeuwa. Mtangulize mungu. Azidi kukulinda kwani unakazi yako nawe kwa uwezo mungu naminiutapata anaejua. Kuwa mtu wa mambo. Amina
 
Pole sana dada
I can at least feel what you are into by certain percent

Unajua kushauri mtu hasa kwenye issues material kama hii ni karama ambayo baadhi ya watu wamejaaliwa.

Ninachoweza kukushauri ebu waone watu kama akina Chris Mauki nadhani you can come up with what to do.
 
Wewe dada nimefuatilia comments zako kwenye huu uzi na inavyoonesha ni jeuri kiburi,na huna heshima kwa mumeo. hapa hutaki kuongea yote ila inaonesha kwenye ndoa yenu kulishakuwa na nyufa ambazo hapa hutaki kuziweka wazi, na hii inapelekea hata mumeo kutoona na kuwa mzito kusema nisamehe kwan anajua ukikubali kumsamehe atarud kwenye mateso ambaypo atleast mdogo wako aliweza kuyafuta japo sio kuyamaliza..

wengi wanakuambia uachane na huyu mumeo utampata mwingine fine unaweza achana naye lakin kwa attitude hii uliyonayo hutadum na huyo mwingine na atakuja mwingine na mwingine wote hutaweza kwan ndioa zinahitaji masikilizano sio wew uamue tu si zai mpaka nimalize mastaz kwan nani kakwambia mastaz ndio kipimo cha kuzaa subiri umalize na phd kabisa ndio uzae.

Na wengi hawayaoni haya kwa kuwa ni habari ya upande mmoja..laiti kama mumeo nae angeanzisha thread juu ya hii situation kila aliyekupa pole hapa angekuona shetan kama wew haupo...

Ni hayo tu
 
Who exactly do u think u are??? Acha kutokwa povu ovyo, hii ni open forum na kila mtu ana haki ya kutoa mawazo
kumbe unajua kwamba hii ni OPEN FORUM na kila mtu ana HAKI ya kutoa mawazo? mimi si miongoni mwa hao WATU wenye haki hiyo? sasa mbona haki yangu unaiminya? ni kina nani hao wenye haki ya kutoa maoni peke yao?
 
Nakuona ktk level ya juu ya ujinga wako

Mjinga ni wewe na hao unaowaaminisha kuwa wewe ni mwerevu, umgekuwa mwerevu ungeifuga hiyo papa yako hadi ikavunda ndio tungejua kuwa wewe ni mjanja. lakini kama unapanua na watu wanatundika huna ujanja wowote, haya usizae hadi uwe professa uone kama haitanuka tope
 
Kuna baadhi ya wanaume ni chefu usipote muda kujibishana nao pengine baada ya kujua Bibi Dada anamalizia masters roho ya wivu imemkaba hana lolote kakomalia kweli ingekua ndo mkewe katiwa mimba Na kaka yake sijui angesemaje pfyuuu

Nao, masters someni na kuzaa mzae, mke wangu hana haja yakupewa mimba na kaka yangu maana nashughulika ipasavyo na watoto MUNGU anatujaalia. fugeni mapapuchi yenu mnasingizia kuzaa, vyo vyote duniani (labda upewe taarifa mapema) vinakubali mwanamke abebe mimba na wana special exams and other services. sasa hawa walioweka utaratibu huu hawakujua kuwa kuna kusoma masters?? mbona wameweka utaratibu huo?? au hapo chuoni kwake huyu dada huo utaratibu haupo??? wewe kama una mume bwege mpangie hadi mishindo ya in and out sio mm.
 
Hivi kumbe kusoma ni nyodo? Baadhi ya wanaume ni watu wa ajabu sana

Sio ajabu Leah, ulivyoona una mahali pakuishi, una kazi nzuri na unataka kupanda vyeo so uolewe ili mashost wasikunange kuwa huna mume, lakini ndoa kwako ni kazi na vyeo. pambana na vyeo na shule MUME HUMUWEZI
 
Nilitaka kutoa ushauri wangu.. ila dada Leah ni wazi ameshaamua. Majibu yake yanajieleza. Ushauri tofauti ni kujichosha.
 
Dah.. leah2 pole sana, nothing you can change, nawe ni sehemu ya matatizo hayo kwani umechangia kwa kiasi kikubwa. Ulikuwa na stress za kazi na masomo kwa muda wa miaka 2 kwa kweli ni vigumu sana kutekeleza wajibu wako kama mwanamke. Tumekuwa tukijaribu kukataa kutii asili za uumbaji wetu na mwisho wake tukiangukia katika matatizo makubwa ambayo tunakosa suluhisho. Kwa urahisi kabisa kuifanya dunia iende smoothly bila matatizo wajibu wa mwanamke ni kumfariji mwanaume naye mwanaume wajibu wake mkuu ni kumlinda/kumtunza mwanamke. Hii haipingiki kwa technology wala nini na itaendelea hadi mwanadamu atakapotoweka hapa duniani. Ni ukweli mchungu[emoji4]

Rohombaya umenena kweli kabisa, watu wanafikiri haya maumbile yamewekwa kama mapambo tu na mtu anaweza kujipangia kuwa subiri nimalizie research ya kuuwa kunguni kwa umeme alafu ndio mume akojoe ndani nizae, wakati huo amejaza vidogo vyake nyumbanio vinakula vizuri vimevimba kila kona huku mke akiwa bize na semina za bagamoyo na research kibaoooooooo, jamaa hawezi kuvumilia, lazima wadogo zenu watarinwa tu.

Kaeni mkijua kuwa mwanamke hata afanyeje, hata asome mpaka kuchimbau mchanga kwa mikono, bado atawajibika kuwa kitulizo cha mwanaume kwa 80% na sio kujifanya bize na mambo ambayo yanakuweka mbali na ndoa zenu. Kma mkuu rohombaya alivyosema, hii ndio asili ya mwanadamu na kujifanya fund wakurekebisha asili hii ndio haya mambo yakukaziwa mabeki 3 na wadogo zenu (warembo na wabichi) itaendelea hadi dunia inatia nanga. Punguzeni mapenzi ya wasap na insta na msijipangie kuwa ukifika muda flani ndio ntafanya jambo flani. Au ikiwezekana hayo yafanyike kabla ya ndoa, lakini wengi hawafanyi hivyo hadi ndoa ipite kwani inaweza kuwa mwisho wa mipango ya ndoa na ukaendelea kuwa mpira wa kona, ukabutuliwa hadi na marefa.
 
Back
Top Bottom