Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mi mwnyw kwa uelewa wangu km hamjazaa mkioana hamna ht kutumia kinga mzae tu ndoa znyw mkiona umri umeenda mnakua mnasubiri nini,yani niache kuzaa kisa masters,
Kuna jambo hapo,dada yaonekana ana uwezo kuliko mume hence maamuzi anafanya yeye
Msikilize mwenzi wako km anataka mtoto zaa tu tatzo liko wapi

LadyRed uko sahihi sana, ni ajabu yaani ndoa ina wiki 6 mwanamke ameshakuja na ratiba kama ligi. Ajabu zaidi hakutwambia hizi ratiba za masters aliziweka kwenye vikao vya ndoa au alisubiri hadi amuweke ndani jamaa (manake jamaa ndo kawekwa ndani akatafuna kuku na kifaranga).

Chukua nafasi hii kuwashauri dada zetu kuwa familia zote za Kiafrica wanapenda tangu asili, ndoan ikishafungwa wanasubiria mjukuu, sio masters an PhD. Wanapenda pia kuona mtoto wao awe wa kike au wakiume, ni rijali na hana matatizo ya kupata watoto mapema sana baada ya ndoa, hili linaleta utata sana kwa wanandoa wanapokaa muda mrefu bila kupata mtoto. na familia nyingine ni ugomvi mkubwa.
 
Rohombaya umenena kweli kabisa, watu wanafikiri haya maumbile yamewekwa kama mapambo tu na mtu anaweza kujipangia kuwa subiri nimalizie research ya kuuwa kunguni kwa umeme alafu ndio mume akojoe ndani nizae, wakati huo amejaza vidogo vyake nyumbanio vinakula vizuri vimevimba kila kona huku mke akiwa bize na semina za bagamoyo na research kibaoooooooo, jamaa hawezi kuvumilia, lazima wadogo zenu watarinwa tu.

Kaeni mkijua kuwa mwanamke hata afanyeje, hata asome mpaka kuchimbau mchanga kwa mikono, bado atawajibika kuwa kitulizo cha mwanaume kwa 80% na sio kujifanya bize na mambo ambayo yanakuweka mbali na ndoa zenu. Kma mkuu rohombaya alivyosema, hii ndio asili ya mwanadamu na kujifanya fund wakurekebisha asili hii ndio haya mambo yakukaziwa mabeki 3 na wadogo zenu (warembo na wabichi) itaendelea hadi dunia inatia nanga. Punguzeni mapenzi ya wasap na insta na msijipangie kuwa ukifika muda flani ndio ntafanya jambo flani. Au ikiwezekana hayo yafanyike kabla ya ndoa, lakini wengi hawafanyi hivyo hadi ndoa ipite kwani inaweza kuwa mwisho wa mipango ya ndoa na ukaendelea kuwa mpira wa kona, ukabutuliwa hadi na marefa.
Dah anyway kwakua kila mtu anauhuru wakumshauri huyu mtu acha tumshauri, Ila kama ndo mitazamo yako hii msiishie kulala Na beki 3 Na shemeji zenu laleni kabisa Na Dada zenu wakija kuwatembeleni hapo home ili mfaidi zaidi.ili tuujue uanaume wenu vizuri.
 
una haki ya kukosewa mwanaume hakataliwag kitu shida yenu nyie mlosoma mnajifanya mnapangia wanaume muda wa kuwapa watoto jaribu kumsamehe coz chanzo ni ww mwenyewe
Wote wanaosema chanzo ni mwanamke ni malaya wa mtindo huo na wameuhalalisha uzinzi wa mwenzao,hakunyimwa tendo la ndoa!hata angetaka mtoto angesema kilichomfanya alale na mdogo wa mwenzie ni mtoto?mbona mimba ilipoingia alishauri watoe?alikua hajui kama atasababisha mimba?kwa umri wake angekua mwenzie ndo anamimba ya mdogo ake angejiskiaje?geuzia kwako tuseme mkeo anamimba ya kaka yako au mdogo wako!
Vitu vingine sio kwasababu jukwaa ni huru ndo unambwela tu,tumia kichwa kufikiria sio makalio maana hata wewe yanaweza kukukuta.
Kama unaaleji na mwanamke msomi wewe ni mzembe na muoga na hupendi maendeleo kwanza unawasiwasi na uanaume wako[emoji57]
 
Sina hakika kama umejaribu kuvaa uhusika ukaona jinsi gani ilivyo ngumu. Binafsi sioni sababu ya kumng'ania mwanaume anayenidharau.
Achana na mawazo mgando,lala mbele utakufa ukimwi bure
 
Dah anyway kwakua kila mtu anauhuru wakumshauri huyu mtu acha tumshauri, Ila kama ndo mitazamo yako hii msiishie kulala Na beki 3 Na shemeji zenu laleni kabisa Na Dada zenu wakija kuwatembeleni hapo home ili mfaidi zaidi.ili tuujue uanaume wenu vizuri.

hahahahahah twawala hawa wadogo zenu ndio damu moja na nyie mnaojifanya mwapenda sana vitabu na kusahau kupanua mkatuzalia watoto. na huko kwenye msaters hamkawii kushikishwa meza na hao tutorial assist,
 
Kumpa nafasi mdogo wako wa kumtendea mambo ya kimahaba mumeo huku ukiwa umebweteka kama yeye ndo kaolewa huwa mnachangia kwa kiasi kikubwa. Chukua nafasi ya mke na wajibika kama mke. Mtalia lia sana kwa wadogo zenu na mahausi geli kupigwa ukuni.

Eti aliposhtuka kuwa hawa jamaa wanauhusiano wala hakustuka sana, aliwaacha. thubutuuuuuuuuuuuuuuuu ni wangapi wanaoweza kuhimili mambo haya humu?? sio kwamba na yeye ana mtu humo kwenye masters anapasha kiporo cha jamaaa?? kuna mambo mengi hapa yamekaa vibaya
 
Hapo dadangu kuna harufu ya kiburi kwa mumeo (nazungumza kwa unyenyekevu). Kwann nasema una kiburi kwa mumeo???
Amekuoa halafu wewe ukampa masharti ya kutomzalia mtoto. Hapa yaelekea ulimgomea hata kumpa tamu kadiri atakavyo. Tamu aliipata kwa masharti/ratiba yako ama ulimpa tamu kwa kumlazimisha achomekee kwanza (avae kondom).
Mumeo alikuoa ili apate tamu asilimia 100. Masharti yamfanya aombe pumziko.
Anyway tuyaache hayo, nini suluhisho maana yashatokea.
Fuata ushauri wa wazazi, vinginevyo utamchukia mdogo wako mpk ufikie hatua ya kutaka kukumuua. Maana hutapata mchumba mapema kwasabb ya hofu iliyojengwa na tukio hili. Hivyo utaamua kugawa tamu hovyo, yaani kuwa kahaba. Ukiharibikiwa, mfano upate gonjwa kama ukimwi utajua aliyesababisha ni dogo. Utamfanyia.
Ndoa inamawasiliano aliekwambia ni mashart nani ?ulikuepo?we huna mashart?kama hutaki siunasema?haya tuseme mwenzio haridhiki na kipato chko kama moja ya sharti akalalwe nje?kwa wenye kipato kikubwa?akabebe mimba ?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Wewe dada nimefuatilia comments zako kwenye huu uzi na inavyoonesha ni jeuri kiburi,na huna heshima kwa mumeo. hapa hutaki kuongea yote ila inaonesha kwenye ndoa yenu kulishakuwa na nyufa ambazo hapa hutaki kuziweka wazi, na hii inapelekea hata mumeo kutoona na kuwa mzito kusema nisamehe kwan anajua ukikubali kumsamehe atarud kwenye mateso ambaypo atleast mdogo wako aliweza kuyafuta japo sio kuyamaliza..

wengi wanakuambia uachane na huyu mumeo utampata mwingine fine unaweza achana naye lakin kwa attitude hii uliyonayo hutadum na huyo mwingine na atakuja mwingine na mwingine wote hutaweza kwan ndioa zinahitaji masikilizano sio wew uamue tu si zai mpaka nimalize mastaz kwan nani kakwambia mastaz ndio kipimo cha kuzaa subiri umalize na phd kabisa ndio uzae.

Na wengi hawayaoni haya kwa kuwa ni habari ya upande mmoja..laiti kama mumeo nae angeanzisha thread juu ya hii situation kila aliyekupa pole hapa angekuona shetan kama wew haupo...

Ni hayo tu
Naona unaona ya ndani kwa watu sasa,eti inaonyesha kwenye ndoa yenu kuna nyufa....[emoji2] [emoji2] jifunze kufikiri vizuri sio kuhisi hisi tu vitu usivyovijua
 
Mjinga ni wewe na hao unaowaaminisha kuwa wewe ni mwerevu, umgekuwa mwerevu ungeifuga hiyo papa yako hadi ikavunda ndio tungejua kuwa wewe ni mjanja. lakini kama unapanua na watu wanatundika huna ujanja wowote, haya usizae hadi uwe professa uone kama haitanuka tope
Uzuri mama yako anakisoda ndo mana nirahisi kutukana maumbile ya kike.
 
Pole sana, Umechukua maamuzi sahihi.. wasiwasi wangu ni kama utaweza kuuishi huo uamuzi! All the best
 
Nao, masters someni na kuzaa mzae, mke wangu hana haja yakupewa mimba na kaka yangu maana nashughulika ipasavyo na watoto MUNGU anatujaalia. fugeni mapapuchi yenu mnasingizia kuzaa, vyo vyote duniani (labda upewe taarifa mapema) vinakubali mwanamke abebe mimba na wana special exams and other services. sasa hawa walioweka utaratibu huu hawakujua kuwa kuna kusoma masters?? mbona wameweka utaratibu huo?? au hapo chuoni kwake huyu dada huo utaratibu haupo??? wewe kama una mume bwege mpangie hadi mishindo ya in and out sio mm.
Unajibu kana kwamba una siri zote za mkeo ha haaa,hakuna aliekua na haja ya kumpa mimba shemeji yake ni uzinzi uliwaponza,ndo mana watoto wako hawafanani[emoji12]
 
Wewe dada nimefuatilia comments zako kwenye huu uzi na inavyoonesha ni jeuri kiburi,na huna heshima kwa mumeo. hapa hutaki kuongea yote ila inaonesha kwenye ndoa yenu kulishakuwa na nyufa ambazo hapa hutaki kuziweka wazi, na hii inapelekea hata mumeo kutoona na kuwa mzito kusema nisamehe kwan anajua ukikubali kumsamehe atarud kwenye mateso ambaypo atleast mdogo wako aliweza kuyafuta japo sio kuyamaliza..

wengi wanakuambia uachane na huyu mumeo utampata mwingine fine unaweza achana naye lakin kwa attitude hii uliyonayo hutadum na huyo mwingine na atakuja mwingine na mwingine wote hutaweza kwan ndioa zinahitaji masikilizano sio wew uamue tu si zai mpaka nimalize mastaz kwan nani kakwambia mastaz ndio kipimo cha kuzaa subiri umalize na phd kabisa ndio uzae.

Na wengi hawayaoni haya kwa kuwa ni habari ya upande mmoja..laiti kama mumeo nae angeanzisha thread juu ya hii situation kila aliyekupa pole hapa angekuona shetan kama wew haupo...

Ni hayo tu

thehunk kwanza hongera kwa udadavuzi huu mzuri sana, mm naungana na wewe kwa asilimia zote, kwanza inawezekana hii nyumba yake kaipata kwa kuwa na vidumu hasa kipindikile cha wazee wakumwaga mapesa, sasa kajumba chake kamoja na hako ka masters ka kuhonga honga inakuwa shida sana kwa wanaume.

ni wanaume wengi sana wanakutana na masahibu haya lakini wanavumilia kutokana na hali zao kiuchumi kuwa mbaya. wanalazimika kukaa kimya na kuwaogopa wake zao hadi kushindwa hata kuwasaidia ndugu zao, manake kwa stori hii hapo home hapakuwa na mtu zaidi ya huyo mdogo wake na bidada aliyesaidia kazi za dada yake. wanaume watazidi kuumia kwa kuendekeza wanawake wa staili hii manake siku ikijulikana unapumzika kwa dada wa tigopesa basi utafukuzwa kama kuku.

Wanawake ili mpate amani katika ndoa zenu, usijiamulie mweneyewe kila kitu katika nyumba kisa tu wewe ndio mwenye nyumba. Ndoa sio mali wala mashauzi, furaha ya ndoa watoto jamani.
 
Rohombaya umenena kweli kabisa, watu wanafikiri haya maumbile yamewekwa kama mapambo tu na mtu anaweza kujipangia kuwa subiri nimalizie research ya kuuwa kunguni kwa umeme alafu ndio mume akojoe ndani nizae, wakati huo amejaza vidogo vyake nyumbanio vinakula vizuri vimevimba kila kona huku mke akiwa bize na semina za bagamoyo na research kibaoooooooo, jamaa hawezi kuvumilia, lazima wadogo zenu watarinwa tu.

Kaeni mkijua kuwa mwanamke hata afanyeje, hata asome mpaka kuchimbau mchanga kwa mikono, bado atawajibika kuwa kitulizo cha mwanaume kwa 80% na sio kujifanya bize na mambo ambayo yanakuweka mbali na ndoa zenu. Kma mkuu rohombaya alivyosema, hii ndio asili ya mwanadamu na kujifanya fund wakurekebisha asili hii ndio haya mambo yakukaziwa mabeki 3 na wadogo zenu (warembo na wabichi) itaendelea hadi dunia inatia nanga. Punguzeni mapenzi ya wasap na insta na msijipangie kuwa ukifika muda flani ndio ntafanya jambo flani. Au ikiwezekana hayo yafanyike kabla ya ndoa, lakini wengi hawafanyi hivyo hadi ndoa ipite kwani inaweza kuwa mwisho wa mipango ya ndoa na ukaendelea kuwa mpira wa kona, ukabutuliwa hadi na marefa.
Hajasema wameshindwa kufanya tendo la ndoa jamani,wal kumnyima mwenzie,inamaana we mwanaume ukipata kazi ya mbali mkeo ni sahihi kutimiza haja zake kwa mwanaume mwingine?kama si sahihi uhalali wa mumewe kulala nje ya ndoa unatoka wapi?au ndo dini tena?hta waislam wanaambiwa waoe sio watie kila mtu
 
Unajibu kana kwamba una siri zote za mkeo ha haaa,hakuna aliekua na haja ya kumpa mimba shemeji yake ni uzinzi uliwaponza,ndo mana watoto wako hawafanani[emoji12]

hao watoto wangu umewaona wapi?? endelea kusoma PhD wadogo zako wanafumuliwa marinda
 
hahahahahah twawala hawa wadogo zenu ndio damu moja na nyie mnaojifanya mwapenda sana vitabu na kusahau kupanua mkatuzalia watoto. na huko kwenye msaters hamkawii kushikishwa meza na hao tutorial assist,
Hapa nakuona ni roho ya wivu tu wala si jingine kinachokusumbua kwani mtu kua Na masters dhambi? Subiri binti yako akikua usimpeleke shule kabisa ili akiolewa awe anapanua Na kumzalia mmewe.
Wakati mwingine tutumie akili zetu vizuri kutafakari kama shida ni mtoto kwanini alitaka mimba itolewe?
Huyu bwana si kwamba alinyimwa tendo la ndoa Na mkewe ni tabia yake tu mbovu ya umalaya hakuna kingine.
Kua mwanaume si sababu yakumtetea mwanaume mwenzio aliyevurunda tuwe kwakweli jamaa kachemka.
 
Uzuri mama yako anakisoda ndo mana nirahisi kutukana maumbile ya kike.

kama unataka mpambano huo wa matusi hapa utaupata kamwe, wanawake nawaheshimu na siwezi kuwatukana, ila yako ukiipiga kufuli kuwa hutaki kuzaa, itatoka uhoko
 
Hapa nakuona ni roho ya wivu tu wala si jingine kinachokusumbua kwani mtu kua Na masters dhambi? Subiri binti yako akikua usimpeleke shule kabisa ili akiolewa awe anapanua Na kumzalia mmewe.
Wakati mwingine tutumie akili zetu vizuri kutafakari kama shida ni mtoto kwanini alitaka mimba itolewe?
Huyu bwana si kwamba alinyimwa tendo la ndoa Na mkewe ni tabia yake tu mbovu ya umalaya hakuna kingine.
Kua mwanaume si sababu yakumtetea mwanaume mwenzio aliyevurunda tuwe kwakweli jamaa kachemka.

Shule ataenda na mimba atabeba kwa mapenzi ya MUNGU sio kwa kupanga yeye. kwani vyo havipokei wanafunzi wajawazito???? chuo gani hicho?? tutajie basi tujue.
 
Hajasema wameshindwa kufanya tendo la ndoa jamani,wal kumnyima mwenzie,inamaana we mwanaume ukipata kazi ya mbali mkeo ni sahihi kutimiza haja zake kwa mwanaume mwingine?kama si sahihi uhalali wa mumewe kulala nje ya ndoa unatoka wapi?au ndo dini tena?hta waislam wanaambiwa waoe sio watie kila mtu

kwani anafanya masters chuo cha mbali?? na huko mbali nafuata nini?? hao wanaosoma mbali wakirudi tz wanajipya gani?? tunatakiwa tuvienzi vyo vyetu na kuleta innovation sio kukimbilia CHINA na UK
 
Back
Top Bottom