Anzisha uzi wako utukane ,usitafute umaarufu kwenye nyuzi za watu,kama unataka mpambano huo wa matusi hapa utaupata kamwe, wanawake nawaheshimu na siwezi kuwatukana, ila yako ukiipiga kufuli kuwa hutaki kuzaa, itatoka uhoko
Anzisha uzi wako utukane ,usitafute umaarufu kwenye nyuzi za watu,kama unataka mpambano huo wa matusi hapa utaupata kamwe, wanawake nawaheshimu na siwezi kuwatukana, ila yako ukiipiga kufuli kuwa hutaki kuzaa, itatoka uhoko
Ndo akilizako zilipo matakoni
Unakurupuka mno soma hata kidogo utulie uelewe sio kujibu tukwani anafanya masters chuo cha mbali?? na huko mbali nafuata nini?? hao wanaosoma mbali wakirudi tz wanajipya gani?? tunatakiwa tuvienzi vyo vyetu na kuleta innovation sio kukimbilia CHINA na UK
Anzisha uzi wako utukane ,usitafute umaarufu kwenye nyuzi za watu,
Mkuu kila la kheri sina sababu ya kujibizana vibaya.Shule ataenda na mimba atabeba kwa mapenzi ya MUNGU sio kwa kupanga yeye. kwani vyo havipokei wanafunzi wajawazito???? chuo gani hicho?? tutajie basi tujue.
Unakurupuka mno soma hata kidogo utulie uelewe sio kujibu tu
Mkuu kila la kheri sina sababu ya kujibizana vibaya.
Unabahati mbaya kwangu mtoto sio ishu wapo sita,nataka watu kama nyie mnaohalalisha vitendo vya kifirauni mjue jamaa amekosea,sio kusapoti inamaana hamuwezi kukemea ubaya hata kidogo au kwasababu mwanamke anaelalamika humjui sura?tuseme dada zako ndo wamefanywa hivi utacomment hivi?Zako umezifungia ili usizae, kazana huku wadogo zako wanakusaidia. tena kama umeleta 1 ongeza wa 2 ili jamaa awe anabadilisha ladha huku ukiendelea na RESEARCH
Unabahati mbaya kwangu mtoto sio ishu wapo sita,nataka watu kama nyie mnaohalalisha vitendo vya kifirauni mjue jamaa amekosea,sio kusapoti inamaana hamuwezi kukemea ubaya hata kidogo au kwasababu mwanamke anaelalamika humjui sura?tuseme dada zako ndo wamefanywa hivi utacomment hivi?
Kaka kuzaa hushauriwi ,kuzaa unaamua,au itokee tu unaumwa na lazima uzae iliuendelee na matitabu,huyu nimtu mzima,huwezi kumwambia zaa ndo uende shule kila mtu na kipimo chake cha maisha,na hata hatumshauri asizae tunamshauri jinsi ya kuhandle shida alionayo ambayo inaweza kumpata hata dada zako na ushauri wa humu ukakusaidia siku moja.kama unawatoto 6 mwenzio hana hata mmoja na ratiba kibao, huoni kuwa ushauri wako hujamtendea haki huyo dada?? yeye hana hata 1 na anaweka ratiba za mechi zakupata watoto. mshauri azae japo 2 ndio aanze kukimbizana na madesa
Huyu si taahira. Lazima kuna aina fulani ya ubishi/masharti magumu aliyowekewa. Bahati mbaya sana tunajadili suala hili baada ya kusikiliza upande mmoja. Halafu watu mnatoa hukumu kwa mwanaume.Ndoa inamawasiliano aliekwambia ni mashart nani ?ulikuepo?we huna mashart?kama hutaki siunasema?haya tuseme mwenzio haridhiki na kipato chko kama moja ya sharti akalalwe nje?kwa wenye kipato kikubwa?akabebe mimba ?
Mwambie mkuu. Huwezi kusema huzai hadi umalize masters mtu akuvumilie. Tena wanakuaga wabishi hawa. Hats kutoa tamu hawatoi ipasavyo. Mara ooh nitakuwa bagamoyo kukusanya vipepeo. Mara ooh leo wale inzi ndo washatotoa sasa naenda kuandika repoti yake.SAMEHE 7 x 70. Lakini pia hata wewe ulikosea sana pale ulipofanya maamuzi ya kugoma kuzaa eti hadi umalize MASTERS DEGREE. Sikuona sababu ya wewe kugoma maana level hiyo ya masomo unaruhusiwa kuwa na familia/kuzaa kwani wewe ni mtu mzima sasa.
Mkuu hata mm nimeona huyu dada hana adabu kwa mumewe. Huwezi ukaolewa halafu ulete masharti kwamba mpk umalize masters. Hivi huyu wa wapi huyu? Kwann alikubali kuolewa sasa? Hajui kwamba wanaume wanaoa baada ya umri kuwa umesonga sasa wanataka wapate watoto? Halafu linabinya pua hapa eti nishaurini mdogo wangu ana mimba ya mume wangu. Ushauri hapa amuheshimu mumewe. Vinginevyo huyu hatokuja kuolewa tena!!!!Wewe dada nimefuatilia comments zako kwenye huu uzi na inavyoonesha ni jeuri kiburi,na huna heshima kwa mumeo. hapa hutaki kuongea yote ila inaonesha kwenye ndoa yenu kulishakuwa na nyufa ambazo hapa hutaki kuziweka wazi, na hii inapelekea hata mumeo kutoona na kuwa mzito kusema nisamehe kwan anajua ukikubali kumsamehe atarud kwenye mateso ambaypo atleast mdogo wako aliweza kuyafuta japo sio kuyamaliza..
wengi wanakuambia uachane na huyu mumeo utampata mwingine fine unaweza achana naye lakin kwa attitude hii uliyonayo hutadum na huyo mwingine na atakuja mwingine na mwingine wote hutaweza kwan ndioa zinahitaji masikilizano sio wew uamue tu si zai mpaka nimalize mastaz kwan nani kakwambia mastaz ndio kipimo cha kuzaa subiri umalize na phd kabisa ndio uzae.
Na wengi hawayaoni haya kwa kuwa ni habari ya upande mmoja..laiti kama mumeo nae angeanzisha thread juu ya hii situation kila aliyekupa pole hapa angekuona shetan kama wew haupo...
Ni hayo tu
Una haki ya kutoa maoni, lakini una wajibu wa kuheshimu maoni ya wengine pia. Wewe kama nani mpaka untolee maneno machafu na kunihukumu kua eti ni muuaji mkubwa? Mwenye haki ya kuhukumu ni Mungu peke ake, sio wewe binadamu mwenzangu ambae pengine una dhambi nyingi na kubwa kuliko mimikumbe unajua kwamba hii ni OPEN FORUM na kila mtu ana HAKI ya kutoa mawazo? mimi si miongoni mwa hao WATU wenye haki hiyo? sasa mbona haki yangu unaiminya? ni kina nani hao wenye haki ya kutoa maoni peke yao?
Uzuri nyie sio Mungu,Mungu hana choyo atampa mme mwema mpaka ashangae,atampa mme mwenye hekima Na busara hadi ataushangaa ukuu Wa Mungu ulivyo,Na Leah tunaomba utatupa mrejesho hapa ili watu kama hawa waushangae ukuu Wa Mungu pia,maana kutokupata mtoto kwa kipindi hicho ilikua ni makubaliano kati ya wanandoa hawa Na sivinginevyo.Mkuu hata mm nimeona huyu dada hana adabu kwa mumewe. Huwezi ukaolewa halafu ulete masharti kwamba mpk umalize masters. Hivi huyu wa wapi huyu? Kwann alikubali kuolewa sasa? Hajui kwamba wanaume wanaoa baada ya umri kuwa umesonga sasa wanataka wapate watoto? Halafu linabinya pua hapa eti nishaurini mdogo wangu ana mimba ya mume wangu. Ushauri hapa amuheshimu mumewe. Vinginevyo huyu hatokuja kuolewa tena!!!!