H r n
JF-Expert Member
- Oct 3, 2019
- 1,014
- 1,900
Hili limekuwa likinikishangaza sana 😢 majibu sipati,alisema suzy nimeolewa na mume wangu kwa miaka 5 na tuna watoto 2, na tumejenga nyumba yetu nzuri na tuna usafiri wetu, kwa kifupi maisha yetu si haba. Kinachashangaza kuhusu mume wangu hapendi kuona ndugu zangu kuja kwetu tulipo, either kwa kukaa au kusalimia, sijawahi hata muelewa ni kwanini.
Kuna siku nilimpa taarifa mdogo wangu wa kike na wakiume wanakuja nashangaa SURA yake ilibadilika ,na si mara moja ila kwa upande wa kwao huwa wanakuja bila hata taarifa nikitoka kibaruani huwa nawakuta tu yaani nabaki nashangaa kwa nini iwe hivyo je ? Sipaswi mimi kutembelewa na ndugu zangu! Au nakosea wapi mimi?, wenzangu ipoje kwenu huko ? Aliuza suzy