Choosen85
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,257
- 5,172
Adui namba moja wa taifa hili ni ccm wote walioko huko wapo kwaajili ya maslahi yao tu na si taifa hili na raia wa nchi hii.
Wapo tayari CCM ishinde kwa damu ili tu walinde wanachoiba.
Wakuu mdogo wangu anayenifuata wa kike amemkataa mama yetu kabisa kwa madai kwamba ana maumivu makali sn juu ya mama sjui walifanyiana nn wao ndo wanajua sasa.
Iko hivi mimi na huyo mdogo wangu tulilelewa mazingira ya bila mama mimi kwa aunt ambaye mi ndo nilijua ni mama yangu na wakati huohuo mdogo wangu yeye aliishi na mzee.
Binafsi nilikuja mjua mama au kuonana naye kwa mara ya kwanza nikiwa nimehitimu std 7 hata skuwa naamjua na wala yeye hakunijua mpk tulipotambulishwa aisee.
Kwa kifupi hatuna mapenz na mama kbs maana waliachana na mzee tukiwa bado wadogo sn na kisa cha kuachana binafsi nmekuja kujua ukubwani ni mambo mazito sn yaliyochangiwa na nduguze na mzee akina aunt inaumiza sn mambo ya wanadamu hawa 😪😪
Sasa leo nilipata taarifa za mama anaumwa hawezi hata kutembea chakula chenyewe shida maana anaishi kwa kutegemea kilimo tu kwaiyo yupo kitandani ni mgonjwa anaumwa madonda yanamsumbua bs nikawasiliana na mtu nitume hela wamnunulie chakula kidogo.
Nikaamua kumjuza na mdogo wangu akasema yeye kuwasiliana na mama hapana sababu hana bond naye na haya mama ndo aliyataka na ana maumivu makali sn juu ya mama yetu ambayo kashindwa kusamehe kbs.
Binafsi nimemsihi asamehe imekuwa ngumu kwani anadai bora angefanyiwa na mtu mwingine bt siyo mama mzazi.
Imebidi nikubaliane naye tu hakuna namna, ila wazazi jamani muwe makin na watoto wenu mambo yako na mumeo au mkeo yasikufanye usahau watoto wako aisee utaishia kuwalaani na kuwalaumu tu ila inaumiza sn maana hata mimi mama yangu sijiskii kbs kwamba nina mama ni ile bs tu sa tafanyeje na ndiye mama sina mwngne kama yeye.
Changamoto nyingine mama naye waganga wa kienyeji aliwahi kuja kwenye shughuri fulan akawasiliana na mwanamke niliyekuwa naishi naye akamwambia eti ampelekee soksi yangu au kaoshi ambayo ina jasho langu sjui alikuwa anavitaka vyann huwa nikikumbuka nachoka sn jamani daaaah ila mama yangu mama yangu 😪😪😪 Mungu amrehemu tu.
KAMA KUNA MWENYE USHAURI, MAJUNGU, KEJELI, MATUSI KARIBU.