leah2
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 584
- 1,441
- Thread starter
- #221
Don Mangi emu niambie nikamtafute nimuombe msamaha?Mnaoshauri aachane na mumewe kuna mambo mawili kama si matatu:
1. Mumewe being desperate atamuoa huyo mdogo mtu (in which im not sure kama bado hajafanya hivyo) kawafukuza kwake na hajui walipokwenda. Mdogo mtu hana kazi, lazima atamtegemea shemeji mtu. Mume mtu ni mfanyabiashara, vi shilingi vya hapa na pale havimpigi chenga. In her life, she (leah) will never get away with this itakuja kuonekana ni mke alishindwa kumzalia mtoto and mume ended up eloping with her sister. Itakuuma zaidi kuliko kuachana na mumeo
2. Mtoto atakayezaliwa bado atakuwa anakupa uchungu, unless kama utakuwa na control juu ya ukuaji wake na aku acknowledge kama "mama mkubwa" point ambayo ukiachana na huyu mumeo hii heshima haitakuwepo tuu. A second thing you will not get away with it.
3. Undugu una heshima, utakapomrudisha mumeo nyumbani, utaset clear boundaries na ndugu yako kwamba una maamuzi juu ya ndoa yako kama mke wa ndoa,nafasi ambayo yeye hatakuwa nayo.
So uchaguzi bado ni wako, ila kwa upumbavu wangu naona madhara yakuachana ni ya muda mrefu na kidonda chake kitakuuma zaidi kuliko hilo lililotokea.
Maana tangu afanye ujinga wake hajawahi tamka neno nisamehe zaid ya kusema yaishe basi.
Na Mimi Nina moyo Don Mangi nasikia maumivu pia.
Mimi ninathamani hata kama ni mwanamke sistahiri kuonewa kiasi hiki.
Liwalo acha liwe but I can't take any more step ahead with this man.