Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

aisee nakupongeza kwa jinsi umeweza kua objective so far.. umeweza ku deal na issues husika and emotions hazijafanya maamuzi. aisee you have some "man" in you. hongera sana. pole sana kwa tukio ulilopata. hadi hapo naamini utafanikiwa na maamuzi yafwatayo.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Dada angu, mm naona haya maisha watu watakushauri vingi lkn wewe ndio unamjua vzr mmeo, pia hatujui unampenda kiasi gani mmeo.
Pia kwa kuwaitia wazazi uliwapa adhabu kubwa sana, lkn pia baada ya hapo kama mngekubalia ingekuwa siri ya familia yenu

Cheating ya mumewe haihusiani na mke kwenda shule ni tabia. Na sio kwamba alitaka sana mtoto maana walikubaliana wasubiri na ndio maana akamuomba shemejiye atoe mimba. Mnaotetea sijui mnatetea nini. Mdada kusamehe ni muhimu kwako wewe tena nakushauri usamehe. Kurudiana naye, search your heart.
Asante sana Kaunga, nimefarijika.
 
Nataka nikukumbushe kuwa ndoa ya kanisani hususani roma haivunjiki mpaka kifo kiwatenganishe,sasa tujue ndoa yako ni ya imani gani,
lakini pia mpk umefunga bado unasema hapo ni kwako na sio kwa wewe na mmeo na wewe basi ulishaanza siku nyingi kujiweka superior hata kabla ya ndoa,kama ndoa yako inaweza kuvunjwa tafadhali ivunje na uanze maisha mapya bila kuuliza mdogo wako ataishije,kama ndoa yako ni ya kanisani,nenda Kanisani fikisha hilo na uombe radhi kuwa ndoa itakuwepo(haitavujika) lakini utashika hamsini zako!!!Na pete uivue kabisa ifungie kabatini,uanze maisha mapya ambayo yatakufanya usiolewe mpaka mmeo afe,na uwe unahusiano nje ya ndoa!!lakini kubwa lingine na mgawanyo wa mali,kama ndoa inavunjika mahakamani ask for divorce ili kila kitu kigawanywe equally,kama haivujiki ndoa tumia busara na ujasiri mgawane half ya kila kitu!!!as hauna mtoto kuanza maisha mapya ya kwako kwako ni rahisi kidogo!La mwisho mrudie Mungu maana from hapo hata masomo yako unaweza usifannye viziuri,iwe ni kusali saaana na Kusoma tuu!!!
POLE KWA UNAYOPITIA
Soma biblia yako vizuri
 
Pole sana kwa maumivu hayo. Kwa chochote utachoamua kulingana na maono yako ni sahihi kwasababu wewe ndiye uliyekosewa. Una haki ya kuadhibu au kusamehe. Lakini pia lazima ujifunze makosa yako. Maamuzi ya kukataa kuzaa mpaka umalize shule hayakupaswa kuwa ya kwako pekee yako. Kama uliamua hivyo bila ridhaa ya dhati ya mumeo inawezekana hili tatizo umelipalilia mwenyewe.
 
Kulingana maelezo yako nnaona tayari umesha fanya maamuzi.Vuta muda kidogo akili ipumue halafu u refresh maamuzi yako,Hapo kuikarabati hyo ndoa ni ngumu haina maana tena.
 
Don Mangi emu niambie nikamtafute nimuombe msamaha?
Maana tangu afanye ujinga wake hajawahi tamka neno nisamehe zaid ya kusema yaishe basi.
Na Mimi Nina moyo Don Mangi nasikia maumivu pia.

Mimi ninathamani hata kama ni mwanamke sistahiri kuonewa kiasi hiki.

Liwalo acha liwe but I can't take any more step ahead with this man.

Kwa mwanaume kusema "yaishe basi" ni statement ya kutaka ku reconcile ila trust me nikwambie mambo mawili tu ambayo nimeshayaona kwako kuhusu hii case:-

1. You have already made up your mind kuhusu kuachana naye. (maneno yako yanadhihirisha hivyo)
2. You have a "super ego" that you cannot take any initiatives kusolve situation at hand.

"Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu"
This statement made me know what type of a woman you are.


All the best in finding a new husband my dear!!!!!!!!!
 
Hakukua na shetani involved walidhamiria kukusaliti... je mimba isingeingia wangekwambia???? Nakushauri ondoka alikua na uwezo wa kumpata yoyote y mdogo wako wa damu? Ni aibu na fedheha
 
Kwa mwanaume kusema "yaishe basi" ni statement ya kutaka ku reconcile ila trust me nikwambie mambo mawili tu ambayo nimeshayaona kwako kuhusu hii case:-

1. You have already made up your mind kuhusu kuachana naye. (maneno yako yanadhihirisha hivyo)
2. You have a "super ego" that you cannot take any initiatives kusolve situation at hand.

"Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu"
This statement made me know what type of a woman you are.


All the best in finding a new husband my dear!!!!!!!!!
I won't jump into searching a husband instead I will focus on what will make me more respectable.
 
I won't jump into searching a husband instead I will focus on what will make me more respectable.

Good move Leah2! Halafu usitishike na kuambiwa eti unajisikia kwa kuwa umewaomba hao watuhumiwa watoke nyumbani. Hii ni kawaida kuisikia kwa mila zetu hizi za Kiafrika. Lakini pia hata kama ungeondoka wewe na kuwaachia nyumba bado kunawatu wangekwambia unajisikia. Cha msingi ni kufanya lile litakalokupa amani ya moyo kwa sasa ili uweze kusamehe na kuendelea na maisha yako bila ya huyo shemejimume!.
 
Me naona we ndo unawazimu..kwani elimu anayosoma ni kwa ajili ya nani kama sio familia yake...nini kashindwa kufanya katika ndoa yake......we mwanaume unaita elimu madudu leo unazaa watoto unawapeleaka international school for what? Ili wapate faida gani? Madudu unayosema au? why usiwaache waolewa na wazae tu sababu kwa akili yako ndo kazi ya mwanamke...

sasa wewe umeolewa??? kwanza tuanzie hapo. na kama umeolewa baada ya mwezi kuolewa ulimpangia mumeo kuwa unataka kusoma PhD hivyo ufunge uzazi?? mbona kuna watu wanasoma na huku wanazaa?? kama unatabia za kupanga kalenda subiri wadogo zako wapigwe na shemeji yao
 
Hili wazo inabidi ujeumshauri namtoto wako wa kike, maana watu kamanyie ni rahisi sana kushauri kwa watu baki ila si kwa familia zenu. Halafu unafikiri kutokuzaa kwakwe ndio kumemfanya huyo mume azae na sheji yake? Ukweli hata kama Leah angekuwa nawatoto huyu jamaa bado angelala na shemeji yake. N kama swala lilikuwa ni mtoto mbona jamaa alikuwa analazimisha wakatoe mimba. Hii inaonyesha hakufanya ngono kwa lengo la kuzaa bali ni tamaa zake za kimwili.

mwanangu hawezi kuwa kama huyo bi dada, kwanza akishaolewa atazaa hata kama anasoma ibaki hekima za MUNGU sio yeye ajipangie au aruhusu mumewe aoe mke mwingine ili azae alafu yeye asome mpaka vitabu avimalize. wapo wanawake kibao wanasoma na huku wanazaa sio nyie wafuga mikucha na uzungu mwingi mnaopanga maratiba ya kijingajinga. Raha ya ndoa watoto sio pete za vidoleni, hata mbwa wanazo hadi shingoni
 
Dada umeyataka mwenyewe,ukisasa unaponza Ndoa nyingi sana. Kwako wewe umeona kusoma na Ndoa/mtoto bora kusoma matokeo yake imekula kwako.

Hilo ndio tatizo kubwa kaka Frank, yaani mtu hata jamaa hajafaidi tayari umeshaweka ratiba mezani, kisa umeambiwa ukimaliza masters utapanda cheo, na ukimaliza masters utatamani uitwe doct na hapo utaruka majuu 5 years, huku jamaa kashapiga mimba ukoo mzima.
 
Kwa mila zetu Mke kamzalilisha Mme pamoja na hayo asingenfukaza hivi nawe fikiria angekuwa unaweza kurudi kwa huyo mwanamke ? Mwanamke anatakiwa atulie Aache papala kwani mwanaume kuzaa nje ya ndoa ni ajabu,pili angalia Mke wake yuko busy Massa yote hata muda Wa kumhudumia Mme wake hana na kama asingempachika huyo angempachika HG.
Hivi huyu Dada ndo kamzalilisha mmewe ama mme ndo kamzalilisha mkewe? Nauliza tu
 
Nashukuru Evelyn Salt

Pia waulize hawa wanaokushauri je wakati wanaolewa ni ndani ya miezi 6 walifanya kama ulivyofanya wewe au walitafuta mtoto kwanza ndio maujuaji mengine yalifuata??? hili ni swali la msingi waulize. naona hakuna mtu alioyetoa ushuhuda kuwa yeye alifanya kama ulivyofanya wewe na hakuna kilichotokea. akitokea wakusema hivyo mwambie akamuulize mdogo wake shemeji hakupita kweli au bei 3.
 
Back
Top Bottom