Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,349
- 8,081
Give them an inch they take yard, Give them the yard they take mile... Aint no use Leah2, total distruction is the only solution. Achana naye move on na mishe nyingine.
Huu ushauri ni rahisi sana kuutoa kama Jambo halijakufika eti Yule mtoto aje Hapo seriously? Wanaume bana.How old are you?
Partly kabla ya kuanza kumlaumu mumeo nitakulaumu na wewe.
Wanaume ni wadhaifu being a man I know this, na wanahitaji kufuatiliwa kwa ukaribu sana hasa kwenye mambo kama haya yanayohusisha hisia. Ki mtazamo sijui namna mambo unavyoyaendesha nyumbani kwako ni maoni yangu kuwa unaipa sana kazi yako na masomo as priority kuliko mume wako (sisemi usithamini kazi) to me, family comes first. Na hiyo weakness shetani ndio akapitia hapo hapo.
- Kutokuufwatilia kwa karibu uhusiano kati ya mdogo wako na shemeji yake. Mbali na kuwa ni ndugu yako wa damu,utakuwa unajua tabia zake na ni mwanamke kama wanawake wengine.
- Hilo la kuchelewa kumzalia mumeo mtoto. Inaweza kuwa lilikuwa jambo lako tuu na namna alivyokubali inaweza kuwa kutokana na sababu zako ila je? mliridhiana pasipo shaka kwamba atakubali wewe umalize kusoma ndio umzalie mtoto?
Bottom line: Fuata ushauri wa wazazi, dogo arudi kijijini ajifungue mtoto, mtoto akiwa mkubwa, aje hapo nyumbani, kaeni kikao cha kifamilia mdogo wako na mumeo waombe msamaha kwa jambo lililotokea na mzungumzie utaratibu wa matunzo ya mtoto. Life goes on. Ukishindwa hilo. File for a divorce ukaolewe na mtu atakayekusubiria umalize shule (tena Masters, unga na PHd kabisa) ndio ukubali kumzalia mtoto.
Jaman cha Mara 7*70, acheni ujinga wa kizamani, soma amri ya sits ya Mungu inasemajeMsamehe 7x70. ..
Huu ushauri mzuri aisee nimekupenda ulivyomshauri.Leah2
Tambua kuwa hapo hakuna ndoa tena. Mme wako ameshavunja misingi ya ndoa kwa:
(1) Kufanya uasherati
(2) Kuzaa mtoto nje ya ndoa.
Ingelikuwa tayari nyie mna watoto, ungelisema ngoja tuendelee kuishi pamoja kwa ajili ya kulea familia/watoto.
Watoto hamna, je unachotaka kukivumilia ni kipi?
Umnaweza kuachana kwa kosa la uzinzi Ila kama anakifua asamehe Ila hii ndoa imeingiwa Na mdudu sio rahisi.Imeandikwa samehe saba mara sabini, sisi wanaume ni mbwa.
Muachie dogo kwanza ana mimba yake, we kasome na PHD kabisa. Ki ufupi apo shule ilikuponza. Alaf elim haina mwisho sista, Kwa nini usingesema uzae ndo ukaendelee na shule!!?, na hakika hata mdogo ako angeona mna mtt ange chukulia uzito hiyo kitu, next time ujue ku prioritize mambo ya muhim