Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

hili swala hata mimi nimelishuhudia kwa shemeji zangu wa kichaga zaidi ya watatu wana hii tabia tena wengine mke anakata hadi majani ya ng'omne wakati vibaruwa wamejaa jijini.

Makubwa
Hiv kuna wanawake wapole hivi?
Bora uonekane tu mkorofi somtym
 
Kumbe ya kwake so sio lazima kukuachia, na kama mngekuwa mlitafuta pamoja usingesema yakwake!! Anyway, kama ni kijiwe kimoja basi muende pamoja na mtudi pamoja kwa gari 1 coz itapunguza pia gharama..
 
faiza foxy

Kwa gari kama yeye,si yapo?

Sasa ulitaka utembee kwa gari? upandishwe gari? au uendeshe gari? hueleweki unajuwa.

Sisi Waislaam, tunaamini usichokitumia kwa wakati huu si rizki yako, huwezi kulazimisha. Hata nguo zako zilizoko kabatini au sandukuni saa hizi si rizki yako, pengine kuna mende huko au panya wanakula rizki yao kwa raha zao.

Rizki yako ni ile unayoitumia kwa wakati huu tu.

Kuna watu utasikia wana majumba 20, wanayatumia yote? wengine wanatafuta walinzi na kuwaweka na kuwalipa juu, kujenga wejenge wao, mlinzi wamlipe na nyumba aitumie bure, huyo ndiye mwenye rizki yake.

Kipato chako siyo chote ni rizki yako. Kumbuka hilo. Na kipato chake siyo chote rizki yake au yako. Kumbuka na hilo.
 
yani mkuu hapa ndo najiandaa kuondoka home,nachanja hapa relini natokeza kuleeeeeee,ni mwendo wa dk 50 hv kufika mjini,daaah sometym nalia mbaya.

pole sana.....hizi ndoa zina siri nyingi sana......
 
Sijambo,
Tumepotezana.

........... Ni heri umemwambia ukweli ili ajue mbivu na mbichi.
Pengine mwenzetu anabaki huko kwenye maduka akishona cherehani usiku na mchana
kinachoenda home ni kivuli chake tu.

Hujambo dadangu? za masiku?

Hayo si magari.... misukuleee tu wanawake tuna majaribu!!! akileta mdomo mdomo atatolewa na yeye!
 
anza kuchukua taxi jamaa aone gharama ndo atajua maana ya kukufundisha.....
 
Mhhh kwa ulivoelezea sidhani kama kuna ushirikina hapo...
Ushaona hakufundishi kuendesha jifunze mwenyewe,kuna driving school kibaooo
another option ni kuwa mnatoka wote asubuhi na jioni...
Hehehhe habibty gari 3 af nitembee na mguu?? hapana aisee,afu eti nasusa kabisa,kwa kisa kipi,tena umemvumilia tangu hana kitu...it's ur right to enjoy the goodlife now..,shaurilo take action kabla hajahongwa dada wa mjini hapo
 
wanamume tuna mawazo kwamba mwanamke ukimpa uhuru wa gari atakuwa mzurulaji.
 
wanamume tuna mawazo kwamba mwanamke ukimpa uhuru wa gari atakuwa mzurulaji.

mhhhh
Uzururaji tabia ya mtu tu mkuu,mwingine gari hana anaswampa na miguu kutwa hakauki nyumba za watu
 
Haitasaidia kwani anaweza kuyauza yote ghafla kumkomoa tu mkewe kisa kajifunza gari wanaume acheni unyanyasaji kwa wake zenu mtu anaekujali kwa shida na raha yani hata uanguke bila nguo yeye atakuwa wakwanza kukufunika na sio mchepuko wala ndugu yako aaaaaghaa inakera sana.

Yaani inauma kwa kweli, mi wangu alinifundisha ile siku nakaa kwenye steringi na kupiga stata gari inaanza mdogomdogo alianza kunigombeza oooh umeanza mbio,mara utagonga!!mpaka nikachanganyikiwa nikamrudishia funguo na kujiapiza sitaki tena kufundishwa nae. Najiandaa kwenda driving school.Nijinunulie kigari changu.Wanaume ni wabinafsi sana!!
 
Siku jamaa akiumwa halafu kumpeleka hospital mpaka driver anatafutwa. Duh binadamu wengine

Kabisa!! Jamaa aliugua alikuwa anapanda bodaboda, mke ndo wakumuhudumia kila kitu, gari imepaki tu!ndugu wakamuuliza kisa cha kutokumfundisha gari mkewe kabaki kimya, alivyopona asb ye anaondoka na gari mke anapanda 55.Inauma sana sana.
 
Hii handithi tungepata na upande wa pili nahisi kuna mengi zaidi tunafichwa zaidi ya hili
 
ubinafsi mbaya sana.........

halafu kuna uwezekano unamzidi huyo mumeo uwezo wa kiakili na yeye analitambua hilo sasa ndiyo anatumia baadhi ya vitu kujiridhisha nafsi yake kuwa naye ana uwezo wa kukutawala.

Hilo nalo neno....
 
huo muda wa kumfuatilia atafute hela au aende kujifunza driving hiyo ndiyo dawa ya mtu kama huyu... kumfuatilia ataleta chuki na ugomvi usiokuwa na mwisho na mfarakano wa familia ashindwe hata kufanya mambo yake ya maendeleo ... mama mda wako wote tafuta hela nunua kivitz chako uachane na bodaboda wasijekutengua kiuno bure huyo mumeo hawezi hata kukuudumia ukiwa mgonjwa never count on him.. he is selfish.. SHOW HIM U CAN EVEN WITHOUT HIM..

Sawa kabisa!! hiyo ndio dawa yake.
 
pole nenda driving school halafu jidundulizie nawewe ununue lako kama yeye hataki uyatumie au ukute ni magari ya masharti kwa kalumanzila aliambiwa asimpakize mke lol:A S wink:
 
maswitule,ha ha ha ha haaaa,acha nicheke niondoe makunyanzi,maana nachukia mpaka sura inazeeka.

Pole jamani you are too patience, funguka lazima ataelewa na unavyoonekana ukiwa na sura nzuri hivo haipendezi uzeeke mapema eti. kufika mwakani hajakuruhusu uendeshe mpe red kadi ukianza na yellow atajua umhimu wako.
 
Duuuhh!!!! Inauma hebujaribu kukumbu ka hizo mali mme pezipatajee?? So baada ya halo hebujaribu kufiklia kutakuwa kuna kitu anakuficha then kaanaye muwekane wazi
 
Back
Top Bottom