Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Uwe unamvizia kila akitaka kwenda kazini unamuwahi unayatoboa matairi na bisisi magari yote ili mpande bodaboda wote
unataka kuleta matatizo .....mi naona anunuliwe bodaboda yake.....
 
hata katika hili unaweza ukasema tunataka kuonewa huruma??

Kwanini asijitengenezee utaratibu wa umiliki? Nenda driving school jifunze then uendeshe akikupokonya ndo tujue moja'

Ila sio kuja kulalamika right away
 
Kwanini asijitengenezee utaratibu wa umiliki? Nenda driving school jifunze then uendeshe akikupokonya ndo tujue moja'

Ila sio kuja kulalamika right away

kwann asimfundishe yeye ili kuokoa gharama za muda na fedha za ada??
 
Story kama za Suprise hizi.

Anyway pole, wait till hubby apate muda atakufunza tu huku anakutekenya vipaja. Usihau kuvaa short ndio utwaweza jifunza uzuri.
 
Last edited by a moderator:
Duh unaporudi nyumbni unapandishwa boda boda na yeye anakuja na miguu 4. Hongera dada kwa moyo wa uvumilivu sidhani kama mko wengi. Fuata ushauri wa wadau hapo juu nenda driving school na ujiamini.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Kama angekuwa ni Ablessed ndiye anafanyiwa hivi hilo varang'ati lake njemba ingejuta kukufahamu lol! hahahahaha....Mzima lakini rafiki?

Duh unaporudi nyumbni unapandishwa boda boda na yeye anakuja na miguu 4. Hongera dada kwa moyo wa uvumilivu sidhani kama mko wengi. Fuata ushauri wa wadau hapo juu nenda driving school na ujiamini.
 
Last edited by a moderator:
Jinsi ulivo andika inaonyesha dizain huna busara.Dharau,kiburi na hasira vimekujaa kichwani.endelea kusugua gaga mpaka utapojua jinsi ya kumandle mume baada ya kuacha hivo vitabia,sabab nahis ukiachiwa usafir hizo tabia zitakua maradufu,kila la kheri ktk kusugua gaga na kupigwa na upepo na vumbi ktk bodaboda
 
hahahaaaa.. ww sio kabisaaa... uyo mwanaume atakua na matatizo. hawez kuwa mbinafsi namna hii. bibie nenda driving school uyo muache km alivyo
yie kuna watu wabinafsi acheni sio kwamba hampendi ukute anampenda tena sana tu sema ubinafsi na uchoyo umemjaa hadi kwenye damu!
 
akikupa gari unao uwezo wa kuweka mafuta na kulihudumia au ndo kila siku unataka yeye awe anakuwekea mafuta wewe unakanyaga tu mmoto au? maana ni wepesi wa kulaumu lakini sidhani kama unao huo uwezo wa kuhudumia hilo gari.

mkuu bodaboda ni 4,000 daily,kampuni inaingiza pesa nzuri,so suala la mafuta ni juu ya kampuni,make hata watu tuliowaajiri wana transport allowance,seuze mimi?mm nahis ni roho yake tu mbaya
 
mkuu bodaboda ni 4,000 daily,kampuni inaingiza pesa nzuri,so suala la mafuta ni juu ya kampuni,make hata watu tuliowaajiri wana transport allowance,seuze mimi?mm nahis ni roho yake tu mbaya
Pole Mama huyo komaa nae haiwezekani kuumia muumie wote kula ale peke!!
 
unataka kuleta matatizo .....mi naona anunuliwe bodaboda yake.....

yani mkuu hapa ndo najiandaa kuondoka home,nachanja hapa relini natokeza kuleeeeeee,ni mwendo wa dk 50 hv kufika mjini,daaah sometym nalia mbaya.
 
Acha tu kupanda boda boda kwa maana mwisho wa siku utakuwa hauna mguu au mkono na huyo mwanaume ndo atakusahau kabisa.

Omba MUNGU wako kwa imani yako kuna mwaka atabadilika tu.
 
Back
Top Bottom