Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Uvumilivu nao una kikomo chake wema usizidi mno! Kamvumilia sana tangu wananunua la kwanza naona kama ni mtu wa kubadilika angeshabadilika

stable woman, mpaka naandika hapa nimechoka kuvumilia,hapa napanga kumsusia kila kitu,asiniulize nguo ya kuvaa,atayauliza hayo magari yake,
 
Last edited by a moderator:
Huyu mwanaume ana shida mingi mingi ,hebu kaa nae kitako umuulize kwa nini ?
Lakini nachokiona hapo wewe anza kwenda Veta kwa muda wako wa ziada mdogo mdogo unajifunza
Na kama unajua funguo za gari ziko wapi -ukishakuwe mzoefu siku moja unaliwasha na kuondoka nalo
sidhani kama atakasirika
 
Mamndenyi kuna siku gari ilituchomekea tukayumba vibaya mpaka tukaingia mtaroni,nafika ofisini nililia kutwa nzima sikuongea na mtu,ananipa pole ambayo ni helpless kwa tatizo.
 
Last edited by a moderator:
Wala usishindane nae. Anza kujaza kibubu chako kwa ajili ya kujinunulia gari. Mjulishe nia yako hiyo ya kununua gari, usifanye chochote kwa siri. Mungu atakusaidia wakati ukifika utapata la kwako... USIACHE KUOMBA NA KUMTEGEMEA MUNGU.
 
Wala usishindane nae. Anza kujaza kibubu chako kwa ajili ya kujinunulia gari. Mjulishe nia yako hiyo ya kununua gari, usifanye chochote kwa siri. Mungu atakusaidia wakati ukifika utapata la kwako... USIACHE KUOMBA NA KUMTEGEMEA MUNGU.

happiness win asante kwa nasaha make huwa najiskia mnyonge sana.
 
Last edited by a moderator:
jina lako ni kichwa cha habari chajieleza, usiniangushe pls
 
Kama hivo ndivyo mwambie huko tayari tena kwenda kwa miguu au bodaboda najua lazima atasikia kilio chako, maana hata UKAWA wameona Sita hasikii wamejitoa kwenye mchakato wa katiba mpya sasa ameanza kuhaha maana theruthi mbili kwa Zanzibar haitopatikana katu ni mpaka CUF warudi.

maswitule,ha ha ha ha haaaa,acha nicheke niondoe makunyanzi,maana nachukia mpaka sura inazeeka.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! Hii kali sana, pole zako nyingi sana...Wanaume wengine wana roho mbaya kuliko hata shetani!!!! Dah!!!!

.......hahhhahha, hapana bro....hebu msome vizuri huyo mdada hasa pale alipoandika, "nikiomba anifundishe gari hanijibu!"....




#MosKwito !
 
Hata siku 1 Gar hata baba ako hawezi kukufundisha we jitaftie mda ukajifunze driving.
mie at Home niliamua kujitaftia mtu anifundishe maana wakina kaka na watu wengine hata boyfrend akawa anapiga chenga kama hizo ooh ntakufundisha jmosi zikawa nying ka mwaka.


Sent from my iPhone

Aisee,acha nifunge safari ya wiki moja niende kwa ccter anipe tu intro,make yeye ana gar,uzuri zaidi hizi ni auto,hazitonsumbua,make nimeomba nifundishwe bila mafanikio,nikijiiba nkaingia driving school anaweza kunianzishia vanga.
 
je akijua hilo gari na akapewa anao uwezo wa kulihudumia kuweka mafuta au ndo mafuta mume ahahangaike tena kumuwekea?

watu wengine wagumu kufikiri, umeambiwa wanaendesha kampuni wote hata hayo mafuta ya mume wameyachangia wote
 
.......pole bidada, mumeo mbinafsi. Sasa nenda driving school ukajifunze gari. Ukisubiri ufundishwe na mume, utasubiri miaka!!

kikubwa ni kutafuta muafaka kwanza kuhusu huo usafir. Anaweza hata akajua kudrive alafu mume akazingua kumkubalia adrive gari ya nyumbani. Ugomvi utakuwa pale pale
 
Jamani kuna zaidi ya tunavyofikiria. Hakuna cha shule ya udereva wala kuumwa usiku wa manane. Kupanga ni kuchagua, hawa watu wawili hawaendani inavyotakiwa kwa sababu ya kuwa na mwazo tofauti. Yanaweza hayo mawazo yakasababishwa na uchumi/mapato au ushirikina. Wangekaa pamoja wafanye tathmini walikotoka, walipo na wanakoelekea.
 
This is funny... Umekaa na mume miaka kumi hajakufundisha gari bado unataka akufundishe yeye?? what about driving school?? what about other people??

Utansamehe ila kwa jinsi ulivyojieleza ni kama vile mwanamke mzigo, you cant make basic decisions on your own na siajabu jamamaa kukuweka ofisi moja na yeye ni kama anakufuga tu

Women should also push for their agenda in the family... usisubiri mume kwa kila kitu, in most cases unakua unamboa tu na ni rahisi zaidi kukudharau

Imagine three cars bado unataka akufundishe and you are in the marriage for ten years

I dont want to go to other things kama mavazi, unavyojihandle kwake nk maana naweza kukosea

You definitely need help

Janjaweed kila mwanamume ana namna ya kuhandle familia yake,kuna ambao wamewapa wake zao uhuru ilimradi wasivuke mipaka wanayotaka,kuna ambao wamewanyima wake zao uhuru kabisa,ina maana mwanamke hana uhuru wa kufanya chochote,kuna wale ambao wana uhuru kidogo ambao na mm naingia kwenye fungu hili. Ningekuwa nishajifunza siku nyingi bt nikifanya kitu ambacho hakijui ni tatizo,atanisema mpaka ntajuta,mfano mdg tu nikitaka kununua hata pochi ni lazima nimpe taarifa atoe ruhusa. Hiyo ndo system nloikuta tangu naolewa,mwanzo nliiona ngumu bt baadae nikazoea nikaona ndo system nikaikubali
bt for now its 2 much.
 
Last edited by a moderator:
nimemwona mbinafsi hata pale wanapotoka kazini pamoja jamaa bila aibu kwenye gari kapandisha vioo na AC juu mkeo bodaboda shame on him...............unaona taabu gani kwa upendo kumwambia mkeo nimenunua gari nenda kajifunze baada ya hapo unamwonyesha litakalokuwa lake si ndio upendo kwani lazima umjaribu kwa kuangalia atafanya nini.....wakati mwingine mwanaume anakuwa mbogo kiasi mwanamke athubutu kuuliza wala kufanya kitu

Blaki Womani umegusa point muhimu ambayo niliistiri,nikifanya jambo ambalo hana taarifa nalo anakuwa mbogo haswa,hanipigi wala hajawahi kunipiga ila atanisema huyo nitakuwa mdg kama piriton, ukifanya kitu bila kumwambia atahoji kwa nn unajifanyia vitu mm sina taarifa navyo? ndo maana nkajisusia zangu.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom