Hahahahahahaha hapana hata mimi ningevumila si wanasemaga mvumilivu hula mbivu. Lkn hii haikubaliki yaani mr anatembelea miguu 4 halafu mke boda boda hii ndoa ina shida si kweli kama kuna amani na kuthaminiana. Wakati mwingine kina mama wamekua wapole sana au sijui wanaogopa . Inapaswa kumueleza mr yale yanayoumiza moyo na hata akijifanya kubadili mada ni vizuri kusisitiza mpaka muafaka upatikane.Kwi kwi kwi kwi lol!!!! Kama angekuwa ni Ablessed ndiye anafanyiwa hivi hilo varang'ati lake njemba ingejuta kukufahamu lol! hahahahaha....Mzima lakini rafiki?
Siyo kweli bana mi nilifundishwa gari na mume wangu,labda useme ni wanaume wachache wanaofanya
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app
Mbona nimekwisha oza kabisa, natafuta tu jinsi ya kumuingia dingi yako.
Hehehehe serious tutaishia njiani kila siku
Mfwatilie nyenzo zake haraka, kwa nini atake kuonekana mwenyewe mwenyewe wakati ana mke? wewe mama panga ratiba zako ziende sambamba na wewe. pamoja na kujifunza kudrive. adjust time table yako ikae sawa na yake nadhani kuna kitu utagundua
kwanin tuishie njian? maana huyu dada analalamika wakat na yeye ana uwezo wa kununua lake
nashangaa kuona haya, na ulivyotegemezi. duh
Unavaa kimini daily naona mambo mazuri uzalendo utanishinda
ofis gan nivae kimini ahahaaa na hivi sina mguu ni shida hapa full nguo ndefu
habari wana Mmu
Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.
mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.
wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.
Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.
nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.
Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Blaki Womani umegusa point muhimu ambayo niliistiri,nikifanya jambo ambalo hana taarifa nalo anakuwa mbogo haswa,hanipigi wala hajawahi kunipiga ila atanisema huyo nitakuwa mdg kama piriton, ukifanya kitu bila kumwambia atahoji kwa nn unajifanyia vitu mm sina taarifa navyo? ndo maana nkajisusia zangu.....
Wakati mwingine watu wanachukuliaga hizi kama story kutokana tu na jinsi zinavyowasilishwa.
Back to topic:nenda driving school ukasome na utajua kuendesha gari hayatapark tena hapo.
Atakua Ana Maagano Fulani, Ivi Anasalig Uyo? Jaribu Kumwambia Siku Moja Usiku Mfanye Maombi Akikataa Ujue Izo Gar Ni Fisi
Subiri vilaza wezako watakuja kukupa pole
Kwa hiyo umekuja kutafuta bwana mwenye gari humu JF au?