Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Mume ana gari tatu, natembea kwa miguu

Kama kuna jirani yako especially kijana wa kiume, anza kuomba lift daily na ukiwa unaomba lift uwe unamwambia mumeo kwamba nipo njian nakuja nimepata lift ya kaka mmoja. Siku nyingine akikwambia twende home mwambie tangulia nanii alisema atanipa lift,,,,ukikaa kidogo nyumbani uwe unamuelezea kumbe honi unabonyeza kwenye stering yule kijana alinielekeza n.k....... Ukifanya hivyo mara mbili tatu utaona anapata wivu na atakufundisha gari ili usiombe lift.

But sio ishu sana kwenye miti hakuna wajenzi kuna wengine tuliwapeleka watu driving kufuata leseni tuu nayo anataka umfuatilie ukimfuatilia leseni ukampa bado anakwambia sijisikii kuendesha ohhh mara usiku sioni vizuri barabarani, ye anapenda ol the time uwe dereva wake.....dahhh!!kweli dunia ina mambo.
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

Mama, ya nini kulalamika na kuna ma driving schooll yapo kibaaaooo, huyo mumeo ndo yeye peke ake anayejua kuendesha magari tuu, gari tatu nabado unatembelea kwa mguu, you aren't serious. Au ndo nyie wanawake wa hata balbu ikiungua unamuita mumeo aje abadilishe, women who cant take the initiatives, embu nyanyuka mama, atakuchapa ukimwambia umepata driving school?? kwani ni ghali sana kiasi kwamba utashindwa kulipia?
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.


Labda masharti ya sangoma-mke asipande gari
 
Nenda driving school then nunua vitz yako nawe utambe hapa mjini
 
sasa ukipata mweleka wa pikipiki nani atamtunzia familia yake na kumsaidia mambo hayo ya ofisi.Huo ni ubinafsi.Kitahidi ukajifunze.
 
Jitaidi ujifunze kuendesha halafu muombe dada yako au kaka amaye analo extra uwe unaliendesha ataona aibu tu. Wakoloni bado wapo!
 
kwann asimfundishe yeye ili kuokoa gharama za muda na fedha za ada??

Hata hvyo hatujaambiwa behind the scene. Usikute huyo demu ndo matatizo anatafuta sympathy kwa watu tu
 
mie ningekuwa simpi utamu. yaani antembeze kwa miguu halaf usku na pichu inavuliwa!!!!!
hebu tumia ulichonacho upate ukitakacho.
 
Janjaweed kila mwanamume ana namna ya kuhandle familia yake,kuna ambao wamewapa wake zao uhuru ilimradi wasivuke mipaka wanayotaka,kuna ambao wamewanyima wake zao uhuru kabisa,ina maana mwanamke hana uhuru wa kufanya chochote,kuna wale ambao wana uhuru kidogo ambao na mm naingia kwenye fungu hili. Ningekuwa nishajifunza siku nyingi bt nikifanya kitu ambacho hakijui ni tatizo,atanisema mpaka ntajuta,mfano mdg tu nikitaka kununua hata pochi ni lazima nimpe taarifa atoe ruhusa. Hiyo ndo system nloikuta tangu naolewa,mwanzo nliiona ngumu bt baadae nikazoea nikaona ndo system nikaikubali
bt for now its 2 much.

sweetheart, umemfikisha huyo mume hapo...

You didnt stand for what a woman has to stand for wakati mnaanza kuijenga nyumba; sasa ameondoa uhuru wako wa kuwaza mwenyewe, uhuru wa kufanya maamuzi madogo na kiakili yake ya kawaida wewe ni wake sio kwamba yeye ni wako... ameamua kukumiliki!!

Kubadilisha hali after 10 years ni ngumu sana, na sidhani kama JF inaweza kukutoa saaana kihivyo upate suluhu...

The best way ni kutafuta avenues kama semina za ndoa, retreats, kumwambia ukweli wa jinsi unavyojisikia, lakini cha muhimu zaidi ni kuonyesha kuwa your wiser, older, smarter and better in decision making and your judgements... kumbuka hizi "opinions" wanazowekewa watoto, wake/waume au ndugu juu ya namna ya kuishi huwa zinapata nafai na kuanza kuaminika kuwa ni ways of life

You cant stop something you have allowed to happen for ten years... you can try to push you agenda for change taratibu but with care and humility

Ila lazima ajue unavyojisikia hata kama inamkera, a persistent woman always gets what she wants, hata kama ataongea kama kasuku, you will soon see changes
 
habari wana Mmu

Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.

mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.

wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.

Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.

nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.

Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.

Patience123, nahisi utakuwa mbishi sana mumeo anapokuwa anakuelekeza kitu ndo maana hata ukimwambia kitu anabaki amekutizama na hakujibu chochote. Angekuwa na namna ingine ya kulea watoto angeshakutema siku nyingi.

Haiingii akilini mwanaume unaemuheshimu umwambie kitu kama hicho kisha akuchunie. Na hapo penye red panadhihirisha jinsi ulivyojeuri kwa mumeo.

Halafu mambo ya ndani kwako kwa nini uyaanike hapa? Ulishawahi kujiiuliza kwa upande wako umechangiaje katika kulifanya hili lisitokee, yaani asikufundishe wewe kuendesha gari?
 
Last edited by a moderator:
Hata hvyo hatujaambiwa behind the scene. Usikute huyo demu ndo matatizo anatafuta sympathy kwa watu tu

Patience123 weka namba ya simu ya mumeo ili tumuulize ili kubalance hii habari uloleta.
 
Last edited by a moderator:
happiness win asante kwa nasaha make huwa najiskia mnyonge sana.

Usijisikie unyonge. Inuka changamka mwambie Mungu haja za moyo wako. Binadamu tuna mambo mengi sana na mengi yamejificha katika mioyo yetu. Ukute hata huyo mumeo hana jinsi kuna mambo yanayomsababishia kuwa hivyo. Huna sababu ya kuvutana naye na kushindana sana. Omba hekima kutoka kwa Mungu.... mchunguze ni kwa nini..... wewe mshirikishe mambo yako.
 
Ni muda mrefu sana humu ndani iliwahi kutolewa thread ya namna hii kama miaka miwili imepita dada analalamika mumewe alikuwa hivi.Dada alikuwa anafuga kuku hata akitaka kupeleka mayai kwa wateja muda mwingine jamaa hata kama alikuwa hana safari atamkataza aache gari.Haya ni material tuu ni zaidi ya utu na uthamani alionao mkeo katika nyumba ndio maana wakaviita vyombo vya moto pia.
 
Back
Top Bottom