miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
nenda kajifunze driving school anza mchakato wa kununua lako kwa hela yako basi
Wala usishindane nae. Anza kujaza kibubu chako kwa ajili ya kujinunulia gari. Mjulishe nia yako hiyo ya kununua gari, usifanye chochote kwa siri. Mungu atakusaidia wakati ukifika utapata la kwako... USIACHE KUOMBA NA KUMTEGEMEA MUNGU.
Heee huyo mume asiwe mkinga au mrombo
pengne alitoa lift kwa mchepuko mume akamind!
point of correction.. huyo ni mke na sio demu tafadhali
bas ntakuwa nakupeleka ofisin na kukurudisha
Ndo maana napenda mke wa kichaga hakyanannenda kajifunze driving school anza mchakato wa kununua lako kwa hela yako basi
unachekesha weyeee...habari wana Mmu
Niko kwenye ndoa miaka 10 sasa,tumejiajiri tuna kaofisi ketu mjini,tunafanya kazi pamoja na mume wangu.
mume wangu ana gari 3,kwa kawaida yeye huwahi ofisini mapema kufungua,mm nafanya mawili matatu kwanza ili kuiacha nyumba sawa.
wakati nakwenda kibaruani humfahamisha mume wangu ambaye hunitumia usafiri wa bodaboda.Hata wakati wa kurejea home nachukua bodaboda na yy anakuja na gari yake full kiyoyozi.
Nikiomba anifundishe gari huwa hanijibu lolote(anapotezea) na ataanzisha mada nyingineeee. Maswala mengine ya nyumbani yako vizuri tatizo ni hapo tu kwenye usafiri.
Akienda na gari moja mawili yanapark hapo nyumbani yakipigwa jua na vumbi,na daily anachange analotaka.
nimechoka kutembea na bodaboda,potelea mbali,nimeamua kupiga zangu kwa mguu wakati magari yako home.
gari hizi amenunua tukiwa pamoja kwenye ndoa,wakati tunaoana hatukuwa hata na baiskeli.
Aaaghrrrrr,,,,,,,acha tu nisuse,inatia hasira sana na inanyongesha pia.
Patience123 weka namba ya simu ya mumeo ili tumuulize ili kubalance hii habari uloleta.
Hujambo dadangu? za masiku?
Hayo si magari.... misukuleee tu wanawake tuna majaribu!!! akileta mdomo mdomo atatolewa na yeye!
Ndo maana napenda mke wa kichaga hakyanan
Bila shaka jamaa anatokea klm?
Ha ha nioe mimi
nenda kajifunze driving school anza mchakato wa kununua lako kwa hela yako basi
Hata hivyo mke huwa hafundishwi gari na mume hata siku moja. Uzoefu unaonyesha hivyo. Driving school ndio mpango mzima