Da!!!!,lakini pamoja na ubaya wa shetani,lakini sijawahi ona sehemu yoyoe imeandikwa shetani alikuwa anapiga pombe,wala hakuwa m2 wa mademu,wala hakuwai kulawiti wala kulawitiwa,,,kwa mujibu wa QURQN tukufu,,,,laana ya shetani ilitokana na kukataa kusujudia sanamu la nabii ADAM!!,,,na shetani alimlalamikia MUNGU kwamba,hakika,,,hawa binadamu watakuja kuchafua dunia na watakukera sana na kweli tunamkera sana MUNGU!! usije kushangaa sisi BINADAMU ndio MASHETANI na SHETANI ndio BINADAMU<<<<<,,,,,,,,,,leo hii kuna ROBOTI huko china lnabeba mimba!!! lakini ata ukiangalia maendelio tuliyo nayo,,ukifikiri kwa kina sisi NDIO MASHETANI WENYEWE!!!,,,,,,,,,2natengeneza MAKOMBORA ambayo ata majini hawana speed ya hayo makombora!!