Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Jini ni roho chafu au mapepo haiwezezekani Kwa binadamu kuwa dini moja na jini hii ni zaidi ya uchawi kabisaa.
Unaabudu pamoja na majini ? Ndiyo maana masheikh wengi ni waganga wa kienyeji kutokana na kuwa pamoja nao
Majinn ni viumbe vya mwenyezi mungu, na wapo wali wazuri na pia wapo waasi au majinn mabaya
 
Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Mbona hata Yesu wanafunzi wake wengine walikuwa mashetani

Mathayo 16:23
Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.

Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
 
Na akamkemea aache ushetani. Maana aliwaza kama awezavyo Shetani. KUWA YESU HAKUFA AU HATOKUFA. ANAYEWAZA HIVYO AU ANAYESEMA HIVYO NI SHETANI. WEWE UNAAMINI YESU ALIKUFA?
 
Yesu alipochagua wanafunzi wake mmoja alimchagua shetani na sio kama hakujua

Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
 
Yesu alipochagua wanafunzi wake mmoja alimchagua shetani na sio kama hakujua

Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?

Shetani alikuwepo kutimiza lile ambalo alipangiwa na hukumu yake aliipata. Je mimi sikununua haya maembe 10 na mojawapo ni bovu? Alama ya kiulizo maana yake nini? Alinunua na akaja jua kuwa moja ni bovu na ndo maana alimwambia huko mbeleni fanya lile ambalo ulipanga kulifanya maana alishajua kuwa walikuwa wanaishi na nyoka katikati yao.
 
Ibilisi yupo kwenye KUNDI LA MAJINI.
alipoasi akageuka kuwa shetani.
Kwa hyo katika MAJINI KUNA MAKUNDI YA MASHETANI MAWILI.mashetani wema na MASHETANI wabaya.
Nahisi hili lipo nje ya uwezo wa wengi kulielewa kama nilivyo mimi au huwa wanaelewa tu bora liende.

Shetani anakuwaje mwema wakati always tumekuwa tukiambiwa shetani ni muovu/waovu sana?unaweza vipi kusema “mashetani wema” huku ikijulikana shetani ni muwakilishi wa mambo maovu/mabaya yasiyofaa?
 
Ukiudhihaki ukristo au Mungu wao au Yesu wao hadharani wakristo wanakudharau na kukuona kama kichaa flani hivi na wanakuacha tu:

Ole wako umkashifu Muhamadi au Allah au Qurani yaani Satanic verses:

Watakuchinja hadharani huku wakimwimbia Shetani Allah Akbar:

Hivi ni Mungu gani anafurahia kuchinjwa kwa watu wake aliyewaumba kwa gharama kubwa sana ?

Shetani Allah hana cha kupoteza, ukimchinja mtu na kulisifia jina lake yeye ndio furaha yake:
Kupitia huu uzi nimepata clue kwamba kwanini huwa waamini wanapata taharuki ya juu sana hata kwa mambo ya kawaida tu linapokuja suala la dini.

Kumbe kuna msukumo usiokuwa wa kawaida unakuwa ndani ya waumini!
 
Shetani alikuwepo kutimiza lile ambalo alipangiwa na hukumu yake aliipata. Je mimi sikununua haya maembe 10 na mojawapo ni bovu? Alama ya kiulizo maana yake nini? Alinunua na akaja jua kuwa moja ni bovu na ndo maana alimwambia huko mbeleni fanya lile ambalo ulipanga kulifanya maana alishajua kuwa walikuwa wanaishi na nyoka katikati yao.
Nilitaka tu ujue kuwa katika wanafunzi wa Yesu pia kulikuwa na mashetani
Hayo mengine hayanihusu

Mathayo 16:23
Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.

Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?
 
Nilitaka tu ujue kuwa katika wanafunzi wa Yesu pia kulikuwa na mashetani
Hayo mengine hayanihusu

Mathayo 16:23
Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.

Yohana 6:70
Yesu akawajibu, Je! Mimi sikuwachagua ninyi Thenashara, na mmoja wenu ni shetani?

Riwaya kutoka Musnad Ahmad (Hadith No. 16245)

Katika Musnad Ahmad, kuna riwaya inayosema:

"Nilimuona Mtume ﷺ akimeza ulimi au midomo ya Al-Hasan bin Ali, na hakuna ulimi wala midomo aliyokimeza Mtume ﷺ itakayoteseka na moto wa Jahannam."

2. Riwaya kutoka al-Mu’jam al-Kabir (Hadith No. 2588)

Katika al-Mu’jam al-Kabir, kuna riwaya inayosema:

"Mtume ﷺ alitoa ulimi wake kwa Hasan na Husayn, na walikuwa wanalia kwa kiu, kisha walitulia."

Hadithi hii imedaiwa kuwa na daraja ya "Hasan" (nzuri) na imepokelewa na wanazuoni kama al-Haythami na ash-Shawkani.

3. Riwaya kutoka al-Adab al-Mufrad (Hadith No. 1183)

Katika al-Adab al-Mufrad, kuna riwaya inayosema:

"Mtume ﷺ alifungua mdomo wake na kuweka mdomo wake kwenye mdomo wa Hasan."
 
Ibilisi yupo kwenye KUNDI LA MAJINI.
alipoasi akageuka kuwa shetani.
Kwa hyo katika MAJINI KUNA MAKUNDI YA MASHETANI MAWILI.mashetani wema na MASHETANI wabaya.

MJINGAWEWE. HAKUNA SHETANI MWEMA NA HATOKUJA KUWEPO HATA SIKU MOJA.
 
Kazi Yangu Kusoma Hoja , Mleta Mada Umeleta Mada Nzito , Ngoja Tusome Comment Jinsi Wasomi Mnavyo Bishana Kwa Hoja
 
Riwaya kutoka Musnad Ahmad (Hadith No. 16245)

Katika Musnad Ahmad, kuna riwaya inayosema:

2. Riwaya kutoka al-Mu’jam al-Kabir (Hadith No. 2588)

Katika al-Mu’jam al-Kabir, kuna riwaya inayosema:

Hadithi hii imedaiwa kuwa na daraja ya "Hasan" (nzuri) na imepokelewa na wanazuoni kama al-Haythami na ash-Shawkani.

3. Riwaya kutoka al-Adab al-Mufrad (Hadith No. 1183)

Katika al-Adab al-Mufrad, kuna riwaya inayosema:
Katika hizo riwaya ulizo hadithiwa hata siku Moja haujawahi kukutana na riwaya inayoelezea mambo mazuri ya mtume?
 
Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Kwahiyo shetani ni muislamu?!
 
Inavyosemekana Kabla adamu hajaumbwa majini walishaumbwa .
Na wakaishi Duniani ila walifanya maovu na uasi Mungu akatuma malaika kwenda kuangamiza hao majini .katika kuangamiza alikuwepo mtoto wa jini ambapo malaika walimuonea huruma na kumuomba Mungu wachukue wakaishi nae mbinguni.mungu mwanzo aliwakatalia ila walimuomba sana akawaambia Mimi najua msichokijua.ni kisa kirefu kidogo
Aiseee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom