hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,669
- 27,559
Kabla ya Uislamu hakuna kitu kiliitwa dini, Bali Imani ya Mungu YehovaAdam alikuwa dini gani
Kabla ya Uislamu hakuna kitu kiliitwa dini, Bali Imani ya Mungu YehovaAdam alikuwa dini gani
🤣🤣🤣🤣.umeshachanganyikiwa wewe.ukristo na uyahudi?Kabla ya Uislamu hakuna kitu kiliitwa dini, Bali Imani ya Mungu Yehova
Alizidishiwa hayo.Alipambwa vzuri sana.Vito gani wewe wakati aliumbwa Kwa moto tu.hawafikii hata malaika waliumbwa Kwa NURU
kama vitu gani alivyopambwa navyo,?vya thamani?Alizidishiwa hayo.Alipambwa vzuri sana.
kama vitu gani alivyopambwa navyo,?vya thamani?
Hazikuitwa dini, kasome historia🤣🤣🤣🤣.umeshachanganyikiwa wewe.ukristo na uyahudi?
Aliyekuja kuziita dini nani?Hazikuitwa dini, kasome historia
Anzia mwanzo ndy utapat the way alivyo ila kama Alisilimu basi mpeni hongera zake😁😁
Mwanadamu, umfanyie maombolezo mfalme wa Tiro, umwambie, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe wakitia muhuri kipimo, umejaa hekima, na ukamilifu wa uzuri.
Malaika hawezi kulala na binadamu Kwa sababu malaika hana jinsiaWale malaika waliolala na wanadamu ... Sio matamanio Yale Mimi najua MUNGU
ila alikuwa mkuu wa sifa huko juu ndy maana unaona kuna matari na filimbi yan aliumbwa naz😵nce alivyo mess up tu basi so hilo wazo la kusilimu angaelipata akiwa kule kule juu before hajaja kueneza majini huku duniani.Mwanadamu, umfanyie maombolezo mfalme wa Tiro, umwambie, Bwana MUNGU asema hivi; Wewe wakitia muhuri kipimo, umejaa hekima, na ukamilifu wa uzuri.
13 Ulikuwa ndani ya Adeni, bustani ya Mungu; kila jiwe la thamani lilikuwa kifuniko chako, akiki, na yakuti manjano, na almasi, na zabarajadi, na shohamu, na yaspi, na yakuti samawi, na zumaridi, na baharamani, na dhahabu; kazi ya matari yako na filimbi zako ilikuwa ndani yako; katika siku ya kuumbwa kwako zilitengenezwa tayari.
🤣🤣🤣Unajikuta sungura.nani kakwambia hizo sifa alipewa IBILISI?
Hyo Ezekiel 28 hakuna sehemu imemtaja ibilisi wewe umepata wapi?ila alikuwa mkuu wa sifa huko juu ndy maana unaona kuna matari na filimbi yan aliumbwa naz😵nce alivyo mess up tu basi so hilo wazo la kusilimu angaelipata akiwa kule kule juu before hajaja kueneza majini huku duniani.
Na hakuna binadam aliye umbwa hvyo isipokuwa huyo malaika muasi.Stick na material ndy utamjua nani anaye semwa.Hyo Ezekiel 28 hakuna sehemu imemtaja ibilisi wewe umepata wapi?
KILA JINI NI SHETANI. MFALME SULEIMAN WA QURAN NDO ALIKUWA ANAFANYA KAZI NA MAJINI. MAJINI YOOOOTE NI MASHETANI NA HAYANA WEMA. KIUFUPI NI MASHETANI YOOTE. NA SULEIMAN KATIKA BIBLIA ALIMKOSEA MUNGU ALIPOANZA FUATA IMANI ZA NAMNA HIYO.Kila SHETANI NI JINI.
ILA SIO KILA JINI NI SHETANI.
ndo maana Kuna majini walikuwa wanafanya kazi na nabii Suleiman.
Usikariri
Mungu wangu ni Mungu Mkuu, Jehovah, Yahweh.Mungu wako ni nani,?
Wewe ndio hauna akili.
Ameitwa Mohamed au Ally?Hajasilimu na kama angesilimu asingekuwa anaitwa shetani anymore
Kila siku nakufunza ,kuziita dini ni baada ya kuja mudi ,Aliyekuja kuziita dini nani?
Ndo maana nawaambia ukristo na uyahudi sio dini ni majina ya watu.na wewe unathibitisha kuwa hazikuitwa dini