Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Kwa sababu alikuwa pamoja nao na anri ilipotoka ilisema "msujudieni Adam"
Na hapo aya inasema ila Ibilis alikataa na yeye alikuwa ni miongoni mwa majini

Kwahiyo kabla ya kuasi alikua JINI.
Na sio Malaika.

Na allah alikuwa anaongea na majini.
Si ndio?
 
Kumbe uko serious uliposema Shetan sio kiumbe.

Kwahiyo kote kwenye Quran. Inaposemwa Shetan ina maanisha mtu muovu au Jini muovu.

Hebu Tuanzie hapa.
Au iweke kwa tafsiri nyingne pia iki ueleweke.

Shetan ni yule Mtu au Jini muovu.
Si ndio?
Exactly
 
Kwa sababu alikuwa pamoja nao na anri ilipotoka ilisema "msujudieni Adam"
Na hapo aya inasema ila Ibilis alikataa na yeye alikuwa ni miongoni mwa majini
Hata wangekuwa pamoja
Aya inasema aliwaambia Malaika na sio Majini:

Hivi wewe kama Mwalimu umesimama na wanafunzi wako:
Anakuja mkaguzi wa shule anasema wanafunzi nisalimieni:

Wanafunzi wakamsalimia ila wewe kama mwalimu ukanyamaza
Je utakuwa umetenda kosa ?

Allah angesema haya Msujudieni Adam bila kutaja wahusika:

Jini Ibiri hakuwahi kuambiwa amsujudie Adam walioambiwa ni Malaika tu:
Nashanga anaadhibiwa kwa kukataa amri asiyo ambiwa:
 
Ibilisi hakuwa malaika.
Malaika waliumbwa Kwa Nuru,majini ambapo na ibilisi yupo wameumbwa Kwa moto na Adam alikuwa Kwa udongo.
Ibilisi alikuws maraika kama hujui wewe akili maji
Shetani ni nani?…Tafsiri ya Jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu.

Jina lingine la shetani ni “LUSIFA” Maana yake ‘NYOTA YA ALFAJIRI’. (Isaya 14:12) Jina hili Lusifa aliitwa kabla hajaasi, baada ya kuasi ndio akawa shetani.

Alikuwa ni Malaika wa Sifa (Kerubi) huko mbinguni, alikuwa ni Mzuri kwa mwonekano na mkamilifu katika njia zake zote, aliishi katika taratibu za Mungu, na katika njia za Mungu, na hivyo akapata heshima kubwa mbinguni zaidi ya Malaika wengi (Ezekieli 28:14).. Alikuwa mkamilifu mpaka siku uovu ulipoonekana ndani yake (Ezekieli 28:15).

Kwasababu ya uzuri wake Moyo wake ukainuka, akataka kujiinua awe kama Mungu, aabudiwe kama Mungu na kwa ujuzi wake mwingi akawashawishi theluthi ya Malaika mbinguni (1/3) waambatane naye.

Vita, vikali vikatokea Mbinguni kati ya Malaika waliokataa kuungana na Lusifa na malaika waliokubali kuungana naye. Biblia haisema vita hivyo vilipiganwa kwa muda gani, lakini inasema mwisho wa siku lusifa pamoja na malaika wake walishindwa vita vile, na kutupwa chini duniani (Ufunuo 12:7).

Na vita hivyo bado havijaisha, vita vya kwanza vilipiganwa mbunguni, kati ya Malaika walio upande wa shetani na wale walio upande wa Mungu na Malaika waliokuwepo Upande wa Mungu wakavishinda, lakini vita vya pili na vya mwisho vinapiganwa hapa duniani na hata sasa bado vinaendelea..Na vitaisha mwisho wa dunia.
 
Haujaeleweka.

Quran haijasema kuwa wayahudi ni maadui wa Jibril, malaika wala maadui wa allah.

Pia
Quran 2 :62
"Hakika Walio amini, na Mayahudi na Wakristo, na Wasabai; yeyote atakaye muamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho na akatenda mema basi watapata malipwa yao kwa Mola wao Mlezi, wala haitakuwa khofu juu yao, wala hawatahuzunika.

Msisitizo weka hapo "mwenyezi Mungu"
Hawajaandika allah wenu.

Adui wa jibril ni Shetan na ndio aliyeshusha Quran kwa idhin ya allah.

(According na Quran)
Hapa nilikuuliza una ushahidi gani kuwa aya imetaja Mwenyezi Mungu na sio Allah
Lete aya kama ilivyoandikwa kwa Kiarabu tujithibitishie ili usiwe kama yule hamisi
 
Hata wangekuwa pamoja
Aya inasema aliwaambia Malaika na sio Majini:

Hivi wewe kama Mwalimu umesimama na wanafunzi wako:
Anakuja mkaguzi wa shule anasema wanafunzi nisalimieni:

Wanafunzi wakamsalimia ila wewe kama mwalimu ukanyamaza
Je utakuwa umetenda kosa ?

Allah angesema haya Msujudieni Adam bila kutaja wahusika:

Jini Ibiri hakuwahi kuambiwa amsujudie Adam walioambiwa ni Malaika tu:
Nashanga anaadhibiwa kwa kukataa amri asiyo ambiwa:
Na wewe kama mwalimu umesimama na wanafunzi wako akaja mkaguzi akasema "njooni" itakuwaje hapo

Anyway Allah alimuuliza Ibilis mbona husujudu na akatoa sababu zake na wala hakusema kwa sababu hujaniambia hiyo inaonyesha kuwa na yeye alijumuishwa pia
 
Ibilisi alikuws maraika kama hujui wewe akili maji
Shetani ni nani?…Tafsiri ya Jina shetani ni ‘mshitaki’ au ‘mchongezi’. Kazi yake ni kuwashitaki watakatifu mbele za Mungu.

Jina lingine la shetani ni “LUSIFA” Maana yake ‘NYOTA YA ALFAJIRI’. (Isaya 14:12) Jina hili Lusifa aliitwa kabla hajaasi, baada ya kuasi ndio akawa shetani.

Alikuwa ni Malaika wa Sifa (Kerubi) huko mbinguni, alikuwa ni Mzuri kwa mwonekano na mkamilifu katika njia zake zote, aliishi katika taratibu za Mungu, na katika njia za Mungu, na hivyo akapata heshima kubwa mbinguni zaidi ya Malaika wengi (Ezekieli 28:14).. Alikuwa mkamilifu mpaka siku uovu ulipoonekana ndani yake (Ezekieli 28:15).

Kwasababu ya uzuri wake Moyo wake ukainuka, akataka kujiinua awe kama Mungu, aabudiwe kama Mungu na kwa ujuzi wake mwingi akawashawishi theluthi ya Malaika mbinguni (1/3) waambatane naye.

Vita, vikali vikatokea Mbinguni kati ya Malaika waliokataa kuungana na Lusifa na malaika waliokubali kuungana naye. Biblia haisema vita hivyo vilipiganwa kwa muda gani, lakini inasema mwisho wa siku lusifa pamoja na malaika wake walishindwa vita vile, na kutupwa chini duniani (Ufunuo 12:7).

Na vita hivyo bado havijaisha, vita vya kwanza vilipiganwa mbunguni, kati ya Malaika walio upande wa shetani na wale walio upande wa Mungu na Malaika waliokuwepo Upande wa Mungu wakavishinda, lakini vita vya pili na vya mwisho vinapiganwa hapa duniani na hata sasa bado vinaendelea..Na vitaisha mwisho wa dunia.
Sasa wewe umezungumza kwa upande wa biblia na mada inahusu kwa upande wa Qur'an
 
alikuwa miongoni mwa majini.
Baadae akaasi .alipoambiwa amsujudie Adam akakataa akasema yeye kaumbwa na moto na Adam kaumbwa na udongo.ndipo Mungu akamlaani ibilisi na kuwa jini muovu.
Kabla ya kuasi inasemekana ibilisi alikuwa jini mwema na alikuwa anafanya ibada kama malaika
Hivi unajua kwa nini alikataa.
Shetani ameumbwa tofauti amepambwa na vito vingi vya thamani.

Ameishi na muumbaji karibu kuliko binadam ndy maana Alishindwa. Ila kimamlaka tumepewa sisi.
 
Tumeelewa msimamo wako.

Wakat binadam anaumwa Mungu alikuwa na majini au malaika?.
Hapa nilikuuliza una ushahidi gani kuwa aya imetaja Mwenyezi Mungu na sio Allah
Lete aya kama ilivyoandikwa kwa Kiarabu tujithibitishie ili usiwe kama yule hamisi

Naomba Iweke hapa kwa screenshot.
Maana tafsiri ya Quran ya kwenye sim ndio inasema hivyo.
 
Screenshot_20250829_074735_Chrome.jpg
 
Hivi unajua kwa nini alikataa.
Shetani ameumbwa tofauti amepambwa na vito vingi vya thamani.

Ameishi na muumbaji karibu kuliko binadam ndy maana Alishindwa. Ila kimamlaka tumepewa sisi.

Quran inajichanganya.

Hapa inasema Shetan/Ibilisi ni malaika.
Surah Al Baqarah sura ya 2 aya ya 43
Surah Al ‘Araf sura ya 7 aya ya 17
Surah Al Hijr sura ya 15 aya ya 28-31
Surah Al Isra sura ya 17 aya ya 61
Surah Ta Ha sura ya 20 aya ya 116

Aya zote zinasema Shetan alikuwa malaika na akakataa kumsujudu Adam.

Ila hapa ndio tunaona ametajsa kama jini
Surah Al-Kahf sura ya 18 aya ya 50

"Hakika tuliwaambia Malaika: "Msujudieni Adam." Wakainama isipo kuwa Ibilisi alikuwa miongoni mwa Majini.

Tuelewe ipi.?
 
Duh yani wangejua kuwa hao malaika walishuhudia uumbaji hao makobazi wangechoka.

Sasa huyo jini alimsujudia vipi adam wakat walikuwepo huku down kitambo sana. kbla hata ya uumbaji.
 
Sasa swali gani hili na wewe 🤣🤣🤣
 
Watafute historia kwa nini aliasi na alivyo asi alikuw wapi na sas yupo wapi.
 
Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Na hicho ndicho kipenzi cha ALLAH, Mtume pekee aliyekirimiwa uwezo huo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom