Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,365
- 18,152
DahMuulize kama kuna majini mema mbona hatusomi popote mungu akiwatumia majini kama wajumbe wake kwa wanadamu yaani kuwatuma majini kuleta habari njema tunaona mungu akitumia malaika tu ...tukisema muhammad alitokewa na jini mapangoni mbona wanakanusha kuwa siyo jini ni malaika kwanini wasiseme ni jini mchamungu ndiyo kamtokea muhammad
Nasubiri Jibu la hili swali