Kubwjing
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 2,909
- 5,233
Astakhafirullah, Astakhafirullah, AstakhafirullahKwahiyo shetani ni mwisilam?
Astakhafirullah, Astakhafirullah, AstakhafirullahKwahiyo shetani ni mwisilam?
Kumbe shetani ni muislamu?Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Makobaz ni viumbe gani?Alaf kabla ya hayo yote.
Hapa Shetan anaishusha Quran kwa makobaz na majini.
Quran 2:97 -98
"Sema: Aliye kuwa ni adui wa Jibril, basi huyo ndiye aliye iteremsha Qur'ani moyoni mwako kwa idhini ya Mwenyezi Mungu, inayo thibitisha yaliyo kuwa kabla yake, na ni uwongofu na bishara njema kwa Waumini.
Aliye kuwa adui wa Mwenyezi Mungu na Malaika wake na Mitume wake na Jibril na Mikail, basi hakika Mwenyezi Mungu ni adui wa makafiri."
Amakweli Allah ni punguani.Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Sasa mkuu hii mada haipo upande wa biblia ipo according to Qur’an kwa hiyo hoja zako ziwe kwa mujibu wa Qur’anTafuta historia vzur.
Hakuna jini mbinguni.
Hayo majini yaliuza hati miliki ya mamlaka yakatolewa.
Nikuonyeshe?Hiyo ni tafsiri .
Kwa Kiarabu ni ٱللَّٰه.
Na kwenye Screen shot zote hizo sijaona hilo neno.
ٱللَّٰه - allah
hapo walikusudia ni mwenyezi Mungu.
Ambalo liko neno la nne kutoka kushoto kwenda kulia. Kwenye mstar wa pili kutoka juu.
الله - mwenyez Mungu
mungu wenu na shetani ni mmoja. Ila wangu ni wa tofauti na wenu. Mimi simwamini allah na ni najisi kwangu simtambui kama Mungu. huyo ni Ibilisi
okay samahani mana nikisema mbingu kila mtu ana mbingu yake anayo ijua.Sasa mkuu hii mada haipo upande wa biblia ipo according to Qur’an kwa hiyo hoja zako ziwe kwa mujibu wa Qur’an
Sawaokay samahani mana nikisema mbingu kila mtu ana mbingu yake anayo ijua.
Wala usimdhihak, mueleweshe tu SheikhBro umeelewa hiyo aya vzr ama mambo ya Roho mtakatifu yamekupoteza ndo maana mnapuliza ⛽️ gas
enyi wagalatia msio na akili ni nan amewaroga “
Eeh watu mnafukua kweli yaani huku polepole anafukua ccm huku chizi maharifa anafukua .Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:
“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”
Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Umeelewa mada au umelewa?? Unaambiwa waliokiri ni Majinn wewe unatutajia Shetani, hujui hata tafautiKumbe Shetani ni muislam 😂😂😂
Hao majini walioamini si ndiyo hawa wa jamiiforum? Hapa jukwaani kuna kila Aina ya majini huwa nikisoma comment zao unaona kabisa hawa ni zaidi ya mapepoHapa majini yalisikia Quran na Kuiamini
Quran 72:1-2
"Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu!"
Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi"
👇👇Na hapa wanakaamua kuwa waislam.
Quran 72 : 12- 14
"Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia.
Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini.
Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa
Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu."
Kwahiyo Majini pia ni waislam
Jini ni roho chafu au mapepo haiwezezekani Kwa binadamu kuwa dini moja na jini hii ni zaidi ya uchawi kabisaa.Makiristo yanapaswa kujua tafauti ya Jinn na Sheitwan Ibilis