Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Wenyewe wamekiri hapa tena kwa maandiko ya Kwenye Quran kuwa kuna hayo majini na mashetan ambao ni waislam 😁😁😁😁

Na ambao sio waislam.

Ushawah sikia jini anaitwa Emmanuel au Jina lolote la Kikristo.

Weng wanajiita Maimuma. Aisha. Nk
Ndio hawa hawa pepo wachafu.

Kwahiyo Hao pepo wachafu ni waislam.
Nimewahi kukutana na watu wawili wasiofahamiana, ambao wote wanakwenda kanisani kisiri kila jumapili na kikubwa kilichowatia shaka ni kipengere cha eti kuna majini YachaMungu katika uislamu. Wakakosa Imani na uislamu wao.
 
Ujumbe aliopewa Mtume ulikuwa kwa Wanadamu na Majini na Mashetani.

katika Qurani na Hadithi za Mtume mtume kuna dalili zilizo wazi zinazoyakinisha kuwa Mtume alikuwa akikutana nao na kuwafundisha dini.

Na hata wakati mwingine Majini walikuwa wakitoa majibu mazuri zaidi kuliko Binadamu kwenye masuala ya dini.

Na mfano ni wakati waliposomewa Suratir Rahmaan. Hadithi iliyopokelewa na Jaabir bin Abdallah R.A.A. na iliyotolewa na Ttirmidhi kasema,
“Wakati ambapo Mtume S.A.W. alipowasomea Majini Suratir Rahmaan, “
لَقَدْ قَرَأْتُهَا ‘‘يعني سُورَةَ الرَّحْمَنِ’’ عَلَى الْجِنِّ …، فَكَانُوا أَحْسَنَ مَرْدُودًا مِنْكُمْ ، كُنْتُ كُلَّمَا أَتَيْتُ عَلَى قَوْلِهِ ]فَبِأَيِّ آلاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ[ قَالُوا: لا بِشَيْءٍ مِنْ نِعَمِكَ رَبَّنَا نُكَذِّبُ ، فَلَكَ الحمد
Maana yake, “Hakika nimewasomea Majini (yaani Suratir Rahmaan)…wamejibu vizuri zaidi kuliko nyinyi. Kila nilipofikia kauli Yake (Mwenyezi Mungu S.W.T.) “Fabiayyi A-alaai Rabikumaa Tukadhibaan.) Maana yake, “Basi ipi katika neema za Mola wenu ambayo mnayoikanusha kuwa si kweli?” (Basi Majini) walijibu “Laa bishaay Min Niamika Rabbana Nukadhibu, Falakal Hamdu.” Maana yake,
“Hakuna neema yoyote katika neema Zako Mola wetu tunayoikadhibisha, bali tunashukuru.” Na Mtume S.A.W. alipowasomea Wanadamu hawakujibu chochote, akawaambia, “Ndugu zenu wa Ki-Jini wamejibu jawabu nzuri waliposikia haya.”

Copy and paste
From Castle_Lite
Wapi imetaja mashetani?
 
KILA JINI NI SHETANI. MFALME SULEIMAN WA QURAN NDO ALIKUWA ANAFANYA KAZI NA MAJINI. MAJINI YOOOOTE NI MASHETANI NA HAYANA WEMA. KIUFUPI NI MASHETANI YOOTE. NA SULEIMAN KATIKA BIBLIA ALIMKOSEA MUNGU ALIPOANZA FUATA IMANI ZA NAMNA HIYO.
Elimika . majini ni viumbe kama tulivyo sisi.wapo wema na wabaya usikariri
 
Ibilisi hawezi kupewa hadhi hyo.maana hata Adam mwenyewe HAKUPEWA.
Adam ni nyama na amepewa mamlaka ya kiungu.

Huyo ni moto na hajapewa hayo mamlaka yoyote.

Tunatazama historia ya huko nyuma na kwanini alifanya uasi.

Ila tuishie hapa mana kasha silimu basi mkumbusheni swala 5 asisahau.
 
Weka aya kuwa Quran imeziita ukristo na uyahudi ni dini
Qur’ani inazitambulisha kwa maneno ya kidini. Kwa mfano:

Al-Yahud (Wahudi) na An-Nasara (Wakristo) zinatajwa kama makundi yenye imani za kidini.

Aya kama Al-Maidah 5:82 inasema:

“Hakika utapata watu wanaokupenda zaidi ni wale wanaoamini; na utapata wale waliokupenda kidogo zaidi ni Wahudi na Wakristo...”

Hapa Qur’ani inaweka wazi kuwa Wahudi na Wakristo ni makundi yenye dini, kwa maana wanaafuata mfumo wa imani na ibada tofauti na Uislamu.
 
Mungu ni sifa siyo jina.
Sawa hyo hyo sifa ya Mungu katika BIBLIA ya kiarabu imeandikwa vipi?
Au Hilo YAHWEH.nioneshe katika biblia ya kiarabu
Mungu ni mmoja tofauti ni LUGHA .
KIEBRANIA - Yahweh
Kiswahili Mungu,kizungu GOD ,kiarabu ALLAH?
 
Qur’ani inazitambulisha kwa maneno ya kidini. Kwa mfano:

Al-Yahud (Wahudi) na An-Nasara (Wakristo) zinatajwa kama makundi yenye imani za kidini.

Aya kama Al-Maidah 5:82 inasema:

“Hakika utapata watu wanaokupenda zaidi ni wale wanaoamini; na utapata wale waliokupenda kidogo zaidi ni Wahudi na Wakristo...”

Hapa Qur’ani inaweka wazi kuwa Wahudi na Wakristo ni makundi yenye dini, kwa maana wanaafuata mfumo wa imani na ibada tofauti na Uislamu.
Nikajua zingeitwa NI DINI.
Haya nikisema uyahudi ni Jina la mtu nitakuwa nakosea?
 
Nani kasema hivo ?
Najua haujui . uyahudi ni Jina liliotokana na mtoto wa 4 wa nabii yakobo aliyeitwa YUDA AU YEHUDA.sasa kile kizazi chake ndo kikaja kujiita wayahudi. Yaani watoto wa yuda wakaanzisha na dini yao wakaiita judaism.ndo maana mtume musa hakuwa MYAHUDI.una swali?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom